biashara

  1. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je Unatumia Bolt Business katika Biashara yako?

    Moja kati ya huduma ya kipekee ambayo nimekuwa nikitumia ni huduma ya BOLT Business Kwa wajasiriaali wengi ambao biashara zao huwahitaji kusafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine uhitaji wa huduma bora ni moja kati ya jambo la muhimu sana,Mara nyingi baadhi yao hulazimika ama kusafiri na...
  2. Dumelang

    JamiiForums Tanzania “Uchuuzi” Biashara zinazowalemaza Watanzania

    Tanzania tuna vijana wengi wenye mitaji na wanaojua kufanya biashara. Tatizo mara nyingi si mtaji, bali ni namna tunavyoutumia mitaji yetu. Fikiria Kijana ana Sh milioni 10, 20, 50 au 100, mara nyingi anawaza kwenda China, ananunue nguo, viatu, vipodozi au vifaa vya simu, nk anarudi na kuuza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara yakukodisha gari ALPHAD

    Wakuu ushauri wenu tafadhali nataka kununua gari aina ya ALPHAD kwa ajili ya biashara yakuwakodishia watu wenye safar zakifamilia kama kwenda kwenye harusi,misiba,shughuli binafsi, Wazoefu hii biashara ikoje
  4. Dream Touch

    JamiiForums Tanzania Wapi napata mabalo ya mitumba ya bidhaa hizi

    Naomba kujua nitapata wapi duka la balo za nguo za mtumba Bei ya jumla, mfano Kadeti Shuka Pullover Jacket Sweta Jeans Jeje Gauni za kike Nguo za watoto Viatu
  5. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Natafuta MTU wa kuniandikia proposal ya biashara ya milioni Tano chap.

    Ninahitaji Hilo kama upo nichel 0747464239
  6. Dr. Said

    JamiiForums Tanzania Levels 4 za Kutumia AI: Kutoka Kuuliza Maswali Hadi Kuwa na Mfanyakazi wa AI

    Hello wadau, Nikikwambia kuwa siku za karibuni biashara nyingi zitakuwa na wafanyakazi wa AI utaniamini? Sizungumzii ChatGPT ya kumuuliza maswali, kupata majibu na kuondoka. Ninazungumzia AI anayefahamu biashara yako, bidhaa unazouza, wateja unaowalenga, aina ya matangazo unayopenda na kazi...
  7. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je, Unatumiaje AI katika Biashara yako?

    Habari za wakti huu; Miaka ya 90 wakati TEHAMA imepamba moto Duniani kwa tuliokuwepo kufahamu namna ya kutumia Computer ilikuwa ni TREND na ni Muhimu.Katika Kipindi waliibuka watu waliotajirika na hata waliofilisika. Kw sasa hivi tuko katika zama za mbele zaidi ambazo ni zama za AI.Na kwa sasa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wenye biashara za hotspot mnapoteza wateja na pesa kwa kununua vifaa feki au kuwapa kazi kina fundi Maiko, Hii wifi ya 3 nakutana na shida ile ile

  9. K

    JamiiForums Tanzania BIASHARA YA UCHAWA: Kutoka kwa Franco wa Zaire Hadi Kwenye Media na Mitandao ya Tanzania—Je, ni Mkakati, Njaa au Kifo cha Hoja?

    Muziki na siasa ni mapacha wa damu waliofanya kazi pamoja tangu zamani. Katika miaka ya 1980, Jamhuri ya Zaire (sasa DRC) ilishuhudia kilele cha propaganda ya kisanaa kupitia wimbo wa kihistoria wa "Candidat Na Biso Mobutu" (Mgombea Wetu Mobutu) uliotungwa mwaka 1984 na nguli wa Rumba, Franco...
  10. dotdotdot

    JamiiForums Tanzania Biashara Yako Haionekani Mtandaoni? Hapo Ndipo Unapopoteza Wateja

    Mteja anapotafuta jina la biashara yako mtandaoni na asilipate, anafikiria nini? Huenda akaanza kujiuliza kama biashara bado ipo au inaweza kumsaidia. Mara nyingi hatakupigia simu kuuliza. Na kama profile ya biashara yako kwenye Google haina hata namba ya simu, hapo ndo imeenda kabisa. Atahamia...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Biashara ya madawa ya kulevya aina ya pombe inafaida sana kwa serikali.

    Miaka ya 1800 katikati mskaburu wa Afrika Kusini waliunda taifa lao la Orange Free State. Wakakaa na kupanga mikakati ya nchi. Wakaona moja ya njia ya uhakika kupata pesa ni kupitia kodi kwenye pombe. Pombe ni madawa ya kulevya yenye faida sana. Basi wakapiga marufuku import ya pombe ili...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri, nataka kufanya biashara ya daladala. Wazoefu naomba ushauri

    Nataka kuingia kwenye biashara ya daladala, lakini nahitaji ushauri wa wazoefu. Kwa walio kwenye biashara hii, ni mambo gani muhimu ninayopaswa kuzingatia kabla ya kuanza?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wafanya biashara wengi wa dala dala wamepaki gari zao? Je, hii biashara hailipi?

    Ukipita hapa mjini na ukiangalia maeneo ya kupaki magari na vituo vya mafuta utakuta dala dala nyingi ziko hoi. Wengi wamepaki na zimeharibika. Tatizo ni nini???
  14. Vien

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wenzangu, tupeane uzoefu wa ku-deal na wateja wa online

    Nimeona niwashirikishe hili kwa sababu naamini wafanyabiashara wengi humu wana experience kubwa ambayo inaweza kutusaidia wengine. Mimi nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi. Kwa kuwa siku hizi soko kubwa limehamia online, nilitengeneza page kwa ajili ya kutangaza bidhaa zangu. Kwa kweli...
  15. keepsake

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji unaofanana; agrovet na hardware ipi inafaida nzuri kwa mtu anayetaka kuanza biashara?

    Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya. Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na watalaamu mtupe dondoo kidogo hapa. Natanguliza shukrani
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nimepata Milioni 2 Biashara ya Chips naona ngumu, nawaza kuwekeza kwenye hisa

    Hamjambo? Kwenye harakati zangu za hapa na pale nimepata Milioni 2 ambayo sikuitegemea kama nitapata Mimi ni mwanafunzi wa chuo na sijawahi kufanya biashara kabisa. Nimeshauriwa kuanzisha biashara ya chips hapa mtaani lakini naogopa sana kuanza biashara maana sijawahi kufanya na sijui hata...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa

    Biashara ya kisasa inahitaji mifumo ya kisasa. T-CAMS inaleta uwazi, ufanisi na uhakika wa malipo katika sekta ya uwakala wa forodha, kwa manufaa ya mawakala, waagizaji wa mizigo na Serikali.
  18. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kumbe Kuna Hadi Kodi ya basata kwenye biashara aina ya pub?

    Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi! Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za...
  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?

    Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kama una hii pesa na una muda nakushauri nenda nchi hizi kafanye biashara hizi

    Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka na soko langu kubwa ni nchi hizi 1. Congo drc 2. Zambia 3. Malawi , kuna fursa nyingi huko...
Back
Top Bottom