biashara

  1. Ni biashara gani unaweza kufanya ikawa inakuingizia kipato na huku umeajiriwa

    Nina imani wengi tumeajiriwa ila tunatamani kuongeza kipato zaidi. Naomba tuchangieni biashara ipi tunaweza fanya tukiwa kazini. Kwa mimi kazi ambayo naweza fanya nikiwa kazini ni za kuuza bidhaa online na baadae nikitoka mida ya saa kumi nafanya delivery. Je, wewe unafanya ishu gani na huku...
  2. Hivi viatu vya 3000 huwa vinatoka wapi? Nataka niingie kwenye biashara ya viatu

    Ni alhamis tamu sana kukiwa na hali ya hewa ya mawingu na ubaridi na kimvua hapa dar hakika napendaga hii hali sana. Ok niende kwenye mada unaweza ukapita mahali au kwenye masoko hapa dar unakuta viatu vinauzwa 3000 mpaka 4000 ni viatu vizuri sana mimi siku zote nimekua na ndoto ya kufanya...
  3. Process unayoweza kuitumia kujitwalia wateja zaidi na mapato zaidi katika biashara

    1. Andaa orodha ya watu na taasisi ambazo unadhani zaweza kuhitaji huduma yako. Kwa mfano kama wewe ni mtengenezeji wa websites basi tafuta makampuni yote ambayo hayana website ama yana websites zisizokuwa relevant kwao. Kwa huduma ama bidhaa yoyote kuna orodha kubwa sana unaweza tengeneza ya...
  4. Frem ya biashara inahitajika haraka

    Heshima kwenu wakuu, Natafuta frem ya biashara maeneo ya Ubungo au Tabata. Bei isizidi elfu 50. Mwenye kuwa nayo tafadhali anijuze.
  5. Naomba kujua biashara ya Uber kwa mkataba

    Wakuu Salaam, Baada ya saving za muda mrefu nimefanikiwa kununua kagari kadogo ambako nataka nikasajili kwenye biashara ya Uber. Nimeshasikia kuwa kuna utaratibu wa hesabu ya siku au Mkataba. Binafsi natamani zaidi huo mfumi wa mkataba ingawaje sina ABC's za kutosha juu ya namna unavyoendeshwa...
  6. Lipa kidogo kidogo njia bora ya biashara makampuni hawaitumii

    Habari, Naamini muwazima wa afya njema Pia nadhani hili ndio andiko langu la kwanza basi niseme happy new year Katika biashara watu wengi hufanya kwa njia na mbinu mbalimbali kutegemeana na wateja lengwa nk, nimekutana na watu tofauti tofauti kuanzia vijana akina mama na baadhi ya sekta...
  7. D

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Wanandugu, naombeni msaada tafadhali. Mimi ni kijana mwenzenu nimebahatika kuchanga pesa zangu na nimefanikiwa kupata milioni moja na nusu; nataka kufungua biashara ya kuonesha mpira kwa jijini Dar (hasa mpira wa Ligi Kuu ya Uingereza). Je, vipi ni biashara nzuri kufanya au niachane nayo...
  8. Rais Kenyatta afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Uhuru Kenyatta amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Katika hotuba yake ya kwanza katika mwaka wa 2020 aliyoitoa kwenye Ikulu ya Rais Mombasa amemteua Monica Juma kama Waziri wa Ulinzi huku Raychelle Omamo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje. Ukur Yatani ameteuliwa kama Waziri wa Fedha...
  9. Biashara za majeneza hospitalini zinawapa msongo wa mawazo wagonjwa

    Wafanyabiashara ya kuuza majeneza karibu na hospitali wamepewa hadi Machi kuondoa bidhaa zao karibu na hospitali moja iliyopo mjini Lusaka, Zambia kulingana na gazeti la Daily Mail. Meya wa mji wa Lusaka Miles Sampa amesema kwamba wauza majeneza watahamishwa hadi maneo ya makaburini iwapo...
  10. Naomba kujua bei ya Bajaji Tanzania

    Habari, Nafikiria kumfungulia mdogo wangu biashara ya Bajaji ili apate kitu cha kufanya ila sijui biashara hiyo sana. Je, biashara ya kuendesha Bajaji inalipa? Kwa siku mtu anaweza pata kiasi gani? Bei ya Bajaji mpya kiasi gani? Iliyo tumika kiasi gani? Kingi chochote nijue? Asante sana
  11. M

    Kwa Waziri wa Fedha Dr Mpango: Maoni kuhusu vikwazo katika kufanya biashara Tanzania

    UTANGULIZI Wakuu; hivi karibuni Waziri wa Fedha Dr Mpango alialika watu kutoa maoni yao kuhusu mambo wanayoyaona kuwa ni kikwazo (au vikwazo) kwao katika kufanya biashara na akaahidi kuwa serikali itayafanyia kazi maoni hayo. Ni kwa sababu ya wito huo (najua watu wa serikali hupitia hapa) natoa...
  12. Hivi TCRA wanaitambua hii biashara ya Vodacom?

    Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee. Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher? You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be...
  13. NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
  14. L

    Ushauri: Biashara ya kuuza mabegi

    Salaam waungwana, ndugu zangu nina wazo la kutaka kufungua biashara ya kuuza mabegi aina zote yaani mabegi makubwa ya nguo, saizi ya kati, ya mgongoni na hand bags za wadada. naomba mnisaidie mawazo kwenye mambo yafuatayo:- - Chimbo la kupata mabegi makubwa yale ya nguo kwa jumla hapa dar...
  15. Pitia hapa, kama unapenda kufanya biashara mtandaoni (Drop shipping), na hatimaye tuwe na online store ya ukweli Tanzania

    Habari wadau! Hope mko poa kabisa, na kwa neema za Mungu tunatumai atatuvusha mwaka salama, kwa wale ambao ni wagonjwa na wenye shida mbalimbali, basi ni maombi yangu kwa Mungu wa Mbinguni akuponye na kukupatia wepesi kwa yale unayopitia. Teknolojia inakuwa kwa kasi sana, na kila siku mambo...
  16. Biashara ya UBER mwenye uzoefu naomba anifahamishe

    Naomba mwenye uwelewa na uzoefu wa biashara ya usafiri wa UBER anijuze please! Inaendeshwaje na mimi napataje commission yangu?
  17. Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Habari wana jamvi, Naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba, pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa uganda,je huku Tanzania nitaziuzaje, mtaji kwa mzigo wa kwanza uwe shingapi vip usafiri,Ushuru na TRA...
  18. Sehemu au gulio la mitumba Uganda lipo maeneo gani?

    Hello sehemu au gulio la mitumba Uganda ipo maeneo gan na bei zikoje balo la viatu na nguo first grade
  19. Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

    Nipo Geita kiutafutaji kwa miaka 6 sasa. Mwaka 2017 kuliibuka machimbo jirani na ninapoishi. Kama utakuwa una ABCs za uchimbaji mdogo wa dhahabu, kuna mashimo mafupi (sesa) na marefu (Rongo). Hayo machimbo yalilenga sesa yaanI ni kuchimba ft 15-20 unakuwa ushapata udongo wenye dhahabu...
  20. MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII Habari ndugu zangi , Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki... Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…