M-bongotz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,734
- 405
Wakuu Salaam,
Baada ya saving za muda mrefu nimefanikiwa kununua kagari kadogo ambako nataka nikasajili kwenye biashara ya Uber. Nimeshasikia kuwa kuna utaratibu wa hesabu ya siku au Mkataba. Binafsi natamani zaidi huo mfumi wa mkataba ingawaje sina ABC's za kutosha juu ya namna unavyoendeshwa zaidi tu ya kwamba mwisho wa mkataba gari inakuwa ya dereva.
Sasa basi, ningependa kwa yeyote mwenye ufahamu zaidi anisaidie yafuatayo:
1. Dereva anakaa na gari ziku zote za wiki kwa masaa yote 24 ama kuna siku fulani katika wiki au kila siku jioni labda anapaswa kunirudishia?
2. Utaratibu wa service unakuwaje? Ni jukumu la mwenye gari pekee au ni wote wawili kwa maana ya dereva na mwenye gari mnachangia? Maana hapa naona kwa hizi installments za kila week ni kama vile umiliki wa gari unakuwa umeshahamia kwa dereva.
3. Ikitokea baada ya muda fulani dereva akavunja mkataba inakuwaje?
4. Ni mkataba wa muda gani itakuwa ideal?
5. On average, hesabu ya siku ikoje?
Natanguliza shukrani.