Ushauri: Biashara ya kuuza mabegi

lizy lizy

Member
Aug 29, 2019
31
18
Salaam waungwana, ndugu zangu nina wazo la kutaka kufungua biashara ya kuuza mabegi aina zote yaani mabegi makubwa ya nguo, saizi ya kati, ya mgongoni na hand bags za wadada. naomba mnisaidie mawazo kwenye mambo yafuatayo:-

- Chimbo la kupata mabegi makubwa yale ya nguo kwa jumla hapa dar ikiwezekana na wastani wa bei zake.
- Makadirio ya chini ya kima cha mtaji.
 
Ya mtumba au?kama NI ya dukani utabidi uwe sehemu yenye kuchangamka.coz hayachelewi kukuharibikia hayo ya shop
 
Hapa nawaza mkuu, kama umeamua kufanya biashara ya kuuza mabegi, ukaweka na viatu, vya watu wazima mpaka watoto.
Hapo sasa nawaza, kama una hela za ziada zaidi, unaweka na mikanda aina zote Quality kabisa.
 
good idea mkuu ntalifanyia kazi
 
Salaam waungwana, ndugu zangu nina wazo la kutaka kufungua biashara ya kuuza mabegi aina zote yaani mabegi makubwa ya nguo, saizi ya kati, ya mgongoni na hand bags za wadada. naomba mnisaidie mawazo kwenye mambo yafuatayo:-
- Chimbo la kupata mabegi makubwa yale ya nguo kwa jumla hapa dar ikiwezekana na wastani wa bei zake.
- Makadirio ya chini ya kima cha mtaji.
Mtaji wako ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom