Sehemu au gulio la mitumba Uganda lipo maeneo gani?

Namirembe road kuna sehemu wanauza balo ila sijui bei ake maana ni kitamho toka nitembelee hayo maeneo, owino utakutana na lejaleja vinginevyo utapigwa cha juuu. Kampala ssi bizembe........ abantu bbe bafura Kampala kyeli
 
Back
Top Bottom