biashara

  1. Dulla Planet wa East Africa akabidhiwa gari kali

    Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12. Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
  2. House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

    Wakuu mko salama! Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing. Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor. Mfano nina design...
  3. B

    Leseni ya biashara

    Habari zenu! Hivi ili kuomba zabuni za kukusanya ushuru, leseni yake inaitwaje na inapatikana wapi? Natanguliza shukrani.
  4. Je, unahitaji website kwa ajili ya biashara yako kwa gharama nafuu?

    Karibu Deep Media Digital Agency ujipatie website bora kwaajili ya biashara yako Kwa Tshs 450,000 tu unaweza kumiliki Website ndani ya siku 5. Ofa hii inajumuisha yafuatayo Utapata muonekano wa kipekee kutokana na mahitaji yako Free Domain ya .tz and Hosting kwa mwaka mzima Page zisifozidi 7...
  5. Wenye uzoefu na biashara ya mazoezi ya mwili, nisaidieni kwa hili

    Nikawaida yangu kufikilia vitu vya kitofauti, najua kuanzisha gym station Ni gharama Sana ila mi nafikilia, hivi Nikiwa na ile mashine ya mazoezi ya kukimbia, siwezi pata wateja kweli? Yaani ile asubuhi mapema naifungua na jioni mpaka saa tano usiku, ila sijui Bei zake na Kama zinaweza patikana...
  6. Biashara ipi inatoa faida ya haraka zaidi kati ya Genge duka na biashara ya chakula?

    Habari za mchana kila mmoja wetu. Poleni na majukumu. Naomba usaidizi wenu wakuu najua huku kuna watu wa namna tofauti,wafanyabiashara wakubwa,wadogo,wakati,waajiriwa na kuendelea. Kuna biashara mbili kati ya hizo 👆juu moja wapo naitamani kufanya lkni sina uzoefu nazo kwa upande faida na...
  7. T

    Jamii ina changamoto gani ambazo tukizibadilisha itakuwa fursa ya biashara?

    Wakuu heshima kwenu, nipo mahali sahihi kwa wakati sahihi, na jukwaa sahihi. Tupo watu wengi humu zaidi ya 10000, so hebu tupeane mawazo, huenda mimi sikuwa nayo, mwenzangu akawanayo. Jamii yetu inachangamoto gani zinazohitajika kutatuliwa, ambapo changamoto hizo hupelekea kupata fursa ya...
  8. Biashara ya matunda kutoka Kenya kwenda Ulaya yazidi kunoga kwenye kipindi cha Corona

    Yaani haijatokea tena kwenye historia kipindi ambacho mauzo yetu ya matunda Ulaya kuwa kiasi hiki, yaani Mkenya ni king'ang'anizi kwenye kila hali. Hongera sana "bandugu" ====== Horticulture shrugs off Covid-19 to earn Kenya Sh72bn in five months By GERALD ANDAE Earnings from...
  9. Uganda Bodaboda waishitaki Serikali kwa kuwazuia kuendelea na biashara

    Chama Cha waendesha bodaboda, NFPC wameishtaki serikali ya Uganda kwa kuwa na ubaguzi kwenye kuruhusu usafiri wa umma kuendelea kufungia waendesha bodaboda kuteweza kuendelea na biashara yao Kesi hiyo ilifunguliwa katika Mahakama Kuu ya Kampala. Waongozaji wa suala hilo wamesema kuwazuia...
  10. Tuligeuze wazo la mchina la kusambaza Bonanza nchi nzima kuwa fursa kwenye biashara

    Kwenu great thinkers, hapa Naitaji michango ya mawazo yenu namna ambavyo tunaweza kulitumia wazo la mchina katika shughuri zetu. Mchina ametumia fursa ya kuwasambazia Bonanza wahitaji halafu yeye anakuja kuchukua faida, frem ulipie wewe, umeme ulipie na mlinzi juu yako, Sasa huoni Kama...
  11. Maonesho ya kimataifa ya biashara ya Sabasaba

    Maonesho ya biashara yanayojulikana kama Sabasaba yalianza mwaka 1962 yakiwa ni maonesho ya Kilimo yaliyokuwa yakifanyika katika viwanja vya Wizara ya Biashara na Ushirika. Maonesho hayo yalikuwa na lengo la kukuza kilimo na ushirika Mwaka 1978 serikali iliunda Bodi ya Biashara ya nje kupitia...
  12. Nani ana mtaji tuanzishe biashara ya PLASTIC WELDING?

    Plastic welding Ni Kazi nzuri Sana ukiiendesha kisasa, yaani uwe na eneo la kuhifadhia vitu/vyombo vya wateja/kalakana, uwe na umeme. Vitu vinavyohitajika Ni; Electronic gun kwa kutobolea matundu na kuyeyushia plastics, Wire mesh laini, makret yaliyopasuka kwa kuungia plastics za wateja, hivi Ni...
  13. Umewahi kumpiga au kupigwa na mpinzani wako kibiashara? Mbinu gani zilitumika?

    Kuanzia Azam Dhidi ya Azania, Mwana FA & AY Dhidi ya MIC Tanzania (Tigo), FIESTA Dhidi ya Wasafi Festival, Simba Dhidi ya Yanga, Adidas Dhidi ya Nike, Facebook Dhidi ya Snapchat, Pepsi Dhidi ya Cocacola, Uber Dhidi ya Lyft mpaka wewe dhidi ya mpinzani wako... biashara ni vita. Kinachopiganiwa...
  14. Mitazamo chanya katika biashara ya kupangisha vyumba/vyumba

    Ndugu zangu salaam, Mwaka 2013 kulianzishwa uzi humu ukiwa unazungumzia kuwa mtu anajenga nyumba kwa ajili ya kupangisha hawezi kupata faida, great thinkers Wengi walitoa maoni na mitazamo yao. Miaka imepita, sera zimebadilika,uwekezaji umeongezeka na idadi ya watu mijini imeongezeka, kipekee...
  15. N

    Plot4Sale Kiwanja Kizuri kwa biashara kinauzwa Kigamboni, Dar kwa mil4.5

    Kiwanja kipo Kimbiji kwa Moriss,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa ni mita20 kwa 20. Kipo jirani na barabara kuu lakini nje ya mawe ya hifadhi ya barabara.Kipo jirani na ufukwe(beach). Panafaa kwa minara ya simu,fremu za maduka, mashine za kusaga,duka la hardware,hoteli ,baa,kufyatulia na kuuzia...
  16. INAUZWA Kibanda cha biashara ya uwakala cha kisasa kinauzwa

    Kibanda ni cha kisasa, kina taa nne ndani na mbili nnje, kina feni ya juu, socket, switch kinapatikana Dar es salaam kigamboni ukitaka kuja kuja kukiona unakuja kukiona.. mawasiliano 0715584281
  17. Ship Chartering - Biashara ya ukodishaji meli

    Ship Chartering ni biashara ya ukodishaji meli baina ya mmiliki na mkodishaji kwa makubaliano maalumu.Charterer huyu ni mtu ambaye anaenda kukodisha meli.Charter Party huu ni mkataba wa makubaliano ya kukodisha meli kati ya mmiliki na mkodishaji. Biashara ya kukodisha meli kuna madalali(Ship...
  18. Biashara zangu 5 za wakati wote kwa hapa Dar es Salaam

    Dar ni sehemu ninayowambia watu wengi sana kuwa kama atashindwa kutafuta maisha eneo hili basi ana safari ndefu sana ya kufanikiwa, ni sehemu ambayo biashara nyingi zinakubali na zinakutoa kwa kipindi kifupi kama ukiamua kujitoa Afe kipa Afe beki. Nimeona biashara nyingi sana ila hizi ni...
  19. Kuanzisha biashara ya service ya magari

    Naomba kuuliza jamani nataka kuanza biashara ya kufanya service za magari, anaejuwa vitu vya au vifaa vinavyo hitajika kuanzisha hii biashara. Munielewe sio GERAGE. Nitashukuru kwa yoyote mwenye uwezo wa kunielezea.
  20. D

    Hii kasumba ya Serikali kukamata mali za wafanyabiashara wakidaiwa kificha bidhaa inapoadimika sokoni, Je ni suluhisho?

    Nianze kwa kusema wazi! Inchi yetu ipo kwenye mfumo wa "SOKO HURIA" Inakuwaje kila Mara bidhaa inapoadimika Serikali inakimbilia kukamata Mali za wafanya biashara kwa (kupoka) kisa mtaani zimeadimika? ikumbukwe wafanya biashara Hawa wanazimiliki bidhaa hizo kihalali na wamelipia ushuru Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…