It’s highly unusual for a 20 year+ established Stock Exchange to have a trading volume of 0 - a whole trading day without a single share being traded. Not even a cent! One for the financial history
Wakuu wenye uzoefu na ambao mko ndani ya hii biashara naombeni insights za jinsi ambavyo mna handle clients kuanzia step ya kuwalipisha pesa hadi mnapomaliza biashara husika.
Kikubwa nataka kujua nini kinaendelea baada ya kumpata mteja, ni kwamba ana deposit hela kwenye acc. ya kampuni kwanza...
Habarini za majukumu!
Naomba kufahamu masoko nafuu ya vifaa vya kielektronik vya mtumba mfano TV, Laptops nk.
Nataka nianze kufanya biashara ya vifaa vya kielektronik vya mtumba.
Ni muda umefika tarehe itangazwe kuanza maonyesho ya kimataifa ya biashara sabasaba
Wizara itoe mialiko kwa wafanyabiashara ndani na nje ya nchi kwa haraka
#hapakazitu
#MATEGE
Habari wanajamvi
Niliwahi kupita hapa nikauliza juu ya biashara tajwa. Nashukuru nilipata ABC's zake.
Biashara ya Coin Betting maarufu kama 'Bonanza la Mchina'
Nilijaribu kufuatilia kampuni 1 walinizungusha sana kwa zaidi ya wiki 2. Nikaona hii imeshindikana isiwe tabu na hapo nishakodi fremu...
Asalaam aleykum,
Naomba mwenye uzoefu au uelewa wa biashara ya spea za bajaj na bodaboda anisaidie mawazo.
Ninataka sana kufanya hii biashara lakini sina taarifa zake sahihi.
Nataka niifanyie DSM maeneo ya Tabata au Kimara.
Mtaji nategemea kuanza na million 5 au 7 hivi.
Nimepata idea ya...
SERIKALI imziunganisha benki za TPB Bank Plc pamoja na TIB Corporate ili kuimarisha utendajikazi wa benki hizo na kuhimiri ushindani wa kibiashara kwenye sekta ya fedha.
Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dodoma na Msajili wa Hazina, Athuman Mbutuka alipokuwa akizungumza na vyombo vya Habari...
Wale Ndg. Zangu wa kutumia fursa nawapeni taarifa kiroho Safi biashara ya Tangawizi ishaingia MDUDU huko kilo 1 kwa Sasa 800 TZS kutoka @5,000/= wiki moja iliyopita.
Source: Sokoni Kariakoo Shimoni.
Ndugu zangu, dhana inayofanyika mpaka mtu anapata UTAJIRI kutoka kwa mganga. Hii ipoje kwa anayejua? Pia, mie najiuliza hawa waganga huwa wanaona nini hasa kipindi wanamuagua mtu.
Kama wewe unapeleka mnyaa then yeye anakwambia matatizo yako au matamanio yao. Au kutumia kuku!? Tujadili kama...
Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/- milioni ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.
Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali.
Maoni ya wadau:
Ndugu habari,
Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika mitaa ya kata yetu. Hivyo sikuchelewa nikachapa barua fasta na kuipeleka kwa mtendaji wa kata nikiomba...
Kama mjuavyo kwasasa kuna mdororo wa biashara hapa nchini haswa Dar kutokana na sababu mbalimbali. Kuna mdau anataka mawazo kuhusu mradi upi awekeze, waswahili husema penye wengi hakiharibiki kitu.
Biashara pendekezwa
1. Kununua na Kuuza Spare Parts za magari
2. Hardware ya vifaa vya ujenzi
3...
BENKI KUU KENYA YASEMA 75% YA BIASHARA ZA NDOGO NA KATI ZITAKUFA
Gavana wa Benki Kuu ya Kenya Zaidi ya 75% ya biashara ndogo na biashara za kati zipo hatarini kufungwa kutokana na ukosefu wa pesa
Hii ni kutokana na shughuli kuzorota kutokana na kuwa na tishio la janga la #CoronaVirus
Ukuaji...
Wakuu habari yenu.
Kuna vifaa vya stationary nimeachiwa na my brother, yeye kapata kazi mkoa mwingine so ameniachia ili niweze kuvitumia kwa biashara eneo alilokuwa anafanyia hiyo biashara mwanzo lilivunjwa kupisha maboresho ya miundombinu.
So naomba kama kuna mtu yeyote humu kaona mazingira...
Wafanyabiashara katika mpaka wa Holili uliopo Wilaya ya Rombo wamelalamikia kitendo cha wao kunyimwa kuingia nchini Kenya kufanya baishara na kutakiwa kuagiza mizigo kwa njia ya simu huku wao wakiingia nchini na kufanyabiashara bila kubughudhiwa.
=======
nomasana, sam999, NairobiWalker...
Kuanza biashara ni jambo moja lakini kuiendesha isimame na kudumu ni jambo lingine tena linalohitaji kutuliza akili na kuwa na nidhamu sana katika biashara.
Zipo biashara ambazo huanzishwa na hatimae hufa kwa sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo:-
Mazingira/wakati...
Kuna mda huwa tunafanya makosa mengi sana katika maisha tena mengine ya kujitakia kabisa ambayo ukiyakumbuka baadae unayajutia sana. Binafsi kama ningetumia mda vizuri ningekuwa mbali sana sana kimafanikio kuliko nilivo sasa.
Kipindi namaliza O' level baada ya matokeo kutoka nikapangwa Moshi...
CHAMA cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Mkoa wa Dodoma, kimesema japo serikali haijawafungia watu ndani, lakini hali ya biashara mkoani hapa imeendelea kuwa mbaya siku hadi siku.
Akizungumza wakati wa mahojiano na Habari- LEO, Mwenyekiti wa TCCIA mkoani hapa, Denis...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.