Miye ni mjasirialmali mwenye hamu ya kujikwamua kiuchumi. Naomba kujua yafuatayo kuhusu kodi ya mabango ya matangazo ya biashara:
1. Ukiweka bango kwenye Barababa, kwa mfano ya Sirari - Mwanza linatozwa kodi na TARURA au na TANROADS? Nauliza kuhusu hizi taasisi mbili kwa vile inavyoelekea hili...
Serikali inarealize upotevu mkubwa wa mapato kwa sababu yakutumia mkono wa chuma kukusanya Kodi.
Kodi nzuri Ni ile inayokusanywa kwa mujibu wa sheria, kwa masikilizano na kwa gharama ndogo.
Leo hii nguvu inayotumiwa kukusanya Kodi ni kubwa sana, wafanya biashara wamegeuzwa wahalifu na...
Wadau Jf habari za mihangaiko wakuu mimi nipo Dar kwa sasa ila natembelea sana Geita nimekuwa interested sana na biashara ya dhahabu sasa natamani sana kupata connection ya hizi biashara.
Kama umekuwa ukiumiza kichwa, namna ambavyo utaweza kutengeneza website ya kisasa ya biashara yako, basi leo kupitia nakala hii ntakuonesha hatua kwa hatua jinsi ambavyo utaweza kutengeneza website kamili, nzuri, nadhifu na ya kisasa, kwa ajili ya biashara yako ndani ya muda mfupi sana...
biashara
faida ya website
gharama za kuanzisha website
jinsi ya ku host website
jinsi ya kutengeneza website
jinsi ya kutumia wordpress
mfano wa website
namna ya kutengeneza website
website
website ni nini
Wadau nataka kufungua ofisi ya uwakala wa huduma za kifedha za simu. Sasa sijui utaratibu unakuwaje ili kufanikisha jambo langu.
Mwenye ujuzi naomba msaada hapo
Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini
Ina vyumba vitatu kimoja master
Jiko, sebule, dinning na public toilet
Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000
Hati miliki mkononi
Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283
Mawasiliano 0677 818283...
apartment
beach
bei
biashara
buguruni
eneo
ghorofa
hai
hasara
inauzwa
kali
kariakoo
kibamba
kigamboni
kilimanjaro
kimara
kubwa
kutoka
lami
maana
maji
mbezi
mbezi beach
milioni
mita
nauza
nyumba
nyumba kali
nyumba ya kisasa
nzuri
tabata
uchukue
vyumba
Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi?
Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo.
Hii itatufanya hata...
Habari wakuu.
Nimeona nilete hapa hili swala ili kupata mawazo tofauti tofauti juu ya business Ideas ambazo zinaweza kuwekezwa kiasi cha Tshs 10M.
Kuna jamaa yangu ana kiasi hicho cha fedha, anaishi Jijini Dar es Salaam, anataka kuiingiza katika mzunguko wa biashara lakini hajui ni biashara...
Miradi mikubwa inajengwa Chato. Rais anashinda Chato, Watendaji wa ngazi za juu wa kitaifa wapo Chato muda wote.
Marais wa nchi ama viongozi waandamizi wa serikali wa mataifa mbalimbali wanakuja Chato kuonana na rais wetu.
Wakati huo huo Chato imetangazwa kuwa kitovu cha utalii, na usafiri wa...
Naibu waziri wa kilimo Hussein Bashe amekanusha serikali kufunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani.
Bashe amesema biashara hiyo ilizorota kwa sababu ya Corona na kidogo mambo ya kisiasa lakini Rwanda wameshaanza kuja kununua mazao na Uganda ambao ni soko letu kuu walikuwa...
Habari wana jukwaa,
Naomba msaada kwa anayejua site za kweli na uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za usa,uk na dubai.
Asanteni kwa muda wenu, naomba saana msaada huu
Kuchagua wazo la biashara ni jambo la awali na muhimu kulifanya kabla ya kuingia kwenye biashara husika. Hatua hii inahitaji umakini wa hali ya juu kwakua ukikosea hapa kitakachofuata ni kupoteza muda, nishati pamoja na pesa.
Kabla ya kuchagua wazo la biashara itakubidi kuzingatia mambo...
HABARI WANA JF!
kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Natafuta wahusika wakuuza hoteli au mteja wa kununua hoteli kwa Tanzania. Hivi process ipoje kuwapata wahusika hawa.
asanteni.
kwajiji haswa la DSM.
NB: haihusishi madalali wa nyumba au appartment za chini ya 5 storey building.
Hakuna watu wanapenda kujenga nyumba za kuishi duniani kama Watanzania.
Ndoto kuu ya kwanza ya Mtanzania yeyote ngozi nyeusi ni kuwa na kwake hivyo akipenda vihela huvipeleka site kujenga nyumba ya kuishi hapa ndio siri ya umasikini wa Watanzania ngozi nyeusi kuanzia.
Wenzetu Wahindi...
Wenye experience na market ya Tanzania naombeni mawazo yenu kuhusu biashara zinazohusisha teknolojia ya tehama IT.
Iwe ni biashara ambayo ni fully IT based au ambayo uendeshaji wake unategemea Tehama kwa asilimia kubwa.
Izi traditional businesses tunazofanya naona kama zimeshajaa yani kila...
Jambo hili nimeliona kwenye uwanja wa Aman nimeona ni la kushangaza kidogo kwa mtazamo wangu naona mgongano wa kimaslahi kwa taasisi hizi mbili Namaanisha CRDB Bank na NMB Bank mabango yao wote yanaonekana uwanjani kwa pamoja kama wadhamini wa Mapinduzi Cup.
Kibiashara hili halipo sawa ila...
Nakaribisha mtu yeyote ambaye angependa kufanya biashara ya kusindika unga wa sembe nje ya tanzania aje tuunganishe nguvu.
Sifa
Awe tayari kurellocate
Awe na passport mpya na awe tayari kulipia business Visa
Mtaji ntampa asilimia 30 ya umiliki Kama hisa ie.aongeze million 20
Awe mwaninifu na...
Maisha ya biashara na ujasiriamali kila unapoamka inapaswa upashe akili moto kuongeza ile 500 uliyoipata jana leo upate 1000 na kesho kutwa upate 1500 Hiyo ndio inatwa biashara na ujasiriamali.
Leo nataka kuandika kitu kidogo chakufungulia mwaka kuamsha waliolala,na jambo lingine leo nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.