wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 804
Wakuu nitaenda haraka kwenye point
Nilikua nahitaji kujua hatua za kufungua biashara ndogo tu ya ujasiriamali, nimepata kaeneo kando kando ya barabara. kuna mtu anaweza kunipa hatua zote za kufata mpaka kupata kubali?
Nilikua naomba kama mtu akieleza hatua basi aeleze in detail kidogo ili niweze kufanya hizo process.
Guidelines:
Je kuna ofisi yoyote ya mtaa au wilaya natakiwa niende? Na kama nikienda natakiwa niwe na vitu gani? Au kuna barua yoyote natakiwa niandike?