Elimu juu ya Biashara ya Vitunguu

Codename96

Member
Sep 17, 2020
90
85
Habari za asubuhi ndugu zangu.

Kutokana na kukosekana kwa ajira. Nataka kujikita katika biashara ya Vitunguu Sokoni. Nataka kununua kutoka mkoani na kuja kuuza Dar es salaam sokoni.

Naomba kuelimishwa utaratibu wa kuuza bidhaa sokoni kwa wale waliowahi kufanya biashara sokoni. Lakini pia ntashkuru sana kama ntashauriwa namna sahihi ya kufanya hii biashara kwa wale waliowahi kuifanya.

Kwa sasa nafikiria kufuata vitunguu kutoka mkoani. Lakini ikiwa kuna namna nyingine sahihi ya kupata bidhaa basi ntashkuru kwa ushauri.

Natanguliza shukrani.
 
hutakwepa madalali biashara mjini ni ngumu sana bila hao viumbe
 
Nenda masokoni pelekeza madalali wenye unafuu ili wakupe connection ya mama J
 
Habari za asubuhi ndugu zangu.

Kutokana na kukosekana kwa ajira. Nataka kujikita katika biashara ya Vitunguu Sokoni. Nataka kununua kutoka mkoani na kuja kuuza Dar es salaam sokoni.

Naomba kuelimishwa utaratibu wa kuuza bidhaa sokoni kwa wale waliowahi kufanya biashara sokoni. Lakini pia ntashkuru sana kama ntashauriwa namna sahihi ya kufanya hii biashara kwa wale waliowahi kuifanya.

Kwa sasa nafikiria kufuata vitunguu kutoka mkoani. Lakini ikiwa kuna namna nyingine sahihi ya kupata bidhaa basi ntashkuru kwa ushauri.

Natanguliza shukrani.
"Kutokana na kukosekana kwa AJIRA" kwani hua tunafikiriaga ajira ni nn? Hicho ulichoamua kufanya ndio ajira yenyewe mkuu, iheshimu kama ajira zingine, ipe thamani kama kazi zingine yaan km wanavyoamka asubuhi kwenda 'ofisini' kwao the same applies na kwako hiyo ndio OFISI yako, tena wakikuuliza unafanya kazi gani waambie "niko wizarani, wizara ya kilimo idara ya wakulima wadogo wa biashara ya vitunguu" be proud of urself & kila la heri.
 
Dah! We jamaa wewe 😂 sawa
 
Habari za asubuhi ndugu zangu.

Kutokana na kukosekana kwa ajira. Nataka kujikita katika biashara ya Vitunguu Sokoni. Nataka kununua kutoka mkoani na kuja kuuza Dar es salaam sokoni.

Naomba kuelimishwa utaratibu wa kuuza bidhaa sokoni kwa wale waliowahi kufanya biashara sokoni. Lakini pia ntashkuru sana kama ntashauriwa namna sahihi ya kufanya hii biashara kwa wale waliowahi kuifanya.

Kwa sasa nafikiria kufuata vitunguu kutoka mkoani. Lakini ikiwa kuna namna nyingine sahihi ya kupata bidhaa basi ntashkuru kwa ushauri.

Natanguliza shukrani.
Njoo singida, soko la vitunguu nitakuunganisha na madalali waaminifu mkikubaliana ukamwamini mtafanya biashara pasi na ww kuja utapokea mzigo wako ukiwa mkoa huko huko
 
Mkuu me sihitaji maswala ya udalali au nini ila ninacho omba tufanye ni hivi wewe unauzoefu na soko la huko Dar na mimi nina uzoefu na soko la vitunguu huku mkoani tufanye nakupeleka machimbo ya vitunguu ila wewe utanielekeza wateja wanakopatikana hukobdara but kila mtu awe na mtaji wake,
 
Back
Top Bottom