Habari za wakati huu;
Katika biashara kuna kukosea.Hii ni kama ilivyo katikamaisha ya kawaida.Kukosea ni sehemu ya ubinadamu.Kila kosa huwa lina gharama na matokeo.Haya yanaweza kuwa mabaya sana au ya wastani.Katik biashara makosa huweza kupelekea hasara katika biashara,kupoteza mteja na hata...
1. Kidato cha kwanza mpaka cha nne Elimu ya biashara, uwekezaji na fedha itolewe kwa nadharia
2. Kidato cha tano na sita Elimu ya biashara na uwekezaji na fedha itolewe kwa vitendo walau asilimia 10 ya ada itumiwe na wanafunzi kubuni au kuwekeza kwe biashara kwa vitendo...
3. Chuo 20% ya Alama...
WADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa limeshindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya...
Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini)
Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?
Habari za muda huu wadau wa JF?
Naomba msaada hapa.
Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu.
Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla)
Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango...
Habari wana jamii
Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu
Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo
Pia vip kuhusu Location zake sahihi
Habarini kwa mara ingine tena,
Kazi yangu ni kukusaidia wewe mwenye biashara yako kama ni pharmacy,supermarket au biashara ingine yoyote ambayo utahitaji kuwa na mfumo/system ambayo itakusaidia kuingiza mauzo yako na kupata ripoti mbalimbali za mauzo,manunuzi ,faida /hasara na kadhalika...
Here comes,
Waungwana kuna hili swala la kufanya biashara iende smoothie,, kuna rafki yangu kanishauri swala la kwenda kwa baadhi ya mashekhe ili tukapatiwe dawa kwa ajili ya biashara iende vema.
Sikufanikiwa kukubali ila yeye alienda na akaanza biashara yenyewe ikaenda vizuri miezi miwili...
Abraar (waja wema)
Asalaam Alaikum.
Hapa Abraar Complex licha ya kuwa na kituo cha elimu "Abraar EducationCentre", pia tuna kituo cha biashara na ujasiriamali "Abraar Business Centre" chenye vitengo kadhaa ambavyo vyote vimelenga kufanya biashara na ujasiriamali utaowezesha (empowerment)...
Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo.
Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
Habari .nataka kuchukua mkopo wa truck naomba ushauri kati ya FAw na schackman hipi ni gari nzuri katika uimara au ubora na upatikanaji wa spare,biashara ya mchanga,kokoto,na construction work kiujumla.
Habari!
Mimi ni kijana graduate wa Computer science and technology. Nimespecilize kwenye masuala ya programming hususani Full stack development (Website & App) Na Sasa nafanya Blockchain na data science.
Wazo langu nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and...
Naomba kunishauri, biashara gani kati ya hizo haina complication Nahitaji kufungua biashara, akili yangu inawaza biashara tatu lakini moja tu ndo inabidi nichague kati ya hizo.
Wadau ni kwa mara ya kwanza naandika humu hii ni kutokana na kujifunza vtu vingi kupitia kwenu hivyo nahitaji kujua wapi nitapata mahindi ya bei ya 60 kwa gunia hasa mkoa ya Katavi, Kigoma na kwingine
Nawasubiri wabobevu wa jiji la Dar wanipatie japo maujuzi ya biashara ya kufanya nitengeneza 20k kwa siku
Si mnajua tena mambo ya kodi jamani [emoji17][emoji17] Nsaidieni mawazo, lo! Sihitaji pesa, mawazo ya biashara tu yanatosha
Pia PM iko wazi[emoji23][emoji23] But kama utaanza kwa kunipa...
Watu wa Soka,
Kuanzia sasa Abdulmajid Mangalo ni
BIG STAR.
Tumemuongeza kikosini Nahodha huyu kutoka klabu ya Biashara United na tutakuwa nae kwa mkataba wa miaka miwili.
Mangalo ni mchezaji anayemudu kucheza nafasi mbalimbali uwanjani hususani beki wa kati, amesaini nasi baada ya kumalizana...
Wakuu poleni kwa majukumu ...
Nilimaliza kidato cha Nne 2013 na kujiunga na kidato cha tano 2014 na kuhitimu 2016 baada ya kuhitimu nilitoka mkoani Kilimanjaro na kuingia katika jiji la Dar es Salaam kuishi nyumbani kwa mjomba , wakati ulipofika wa kuapply chuo basi nilijikuta nafanya maamuzi...
Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000.
Nilikua naomba kujuzwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.