Nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and development

josephat4312

New Member
Mar 6, 2020
3
7
Habari!

Mimi ni kijana graduate wa Computer science and technology. Nimespecilize kwenye masuala ya programming hususani Full stack development (Website & App) Na Sasa nafanya Blockchain na data science.

Wazo langu nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and development lakini mm nataka nifanye tofauti kidogo Yani website ziwe developed from scratch with outstanding designs na sio ku edit WordPress, Joomla Nk sambamba na cross platform Apps.

Then hapo badaye kampuni ikisimama nataka niongeze section za Blockchain , data science na cyber security , embedded systems na custom software.

Wakuuu na amboni mawazo ya mwongozo katika hili.
 
Kamwe usipoteze muda kufanya vitu from scratch maana ata Serikali yetu yenye muundo wake na utelekezaji wa mambo mengi ni Template ikiwa imerithi kutoka kwa wakoloni na inaendelea kukopi.

Narudia tena usipoteze muda kutengeneza vitu from scratch. Ishawahi ni cost kwenye tasnia fulani.
Muhimu uwekeze muda wako na rasilimali zako kwenye masoko.
 
Sio kila kitu kinaanziwa na templates. Kuna faida kubwa ya kutengeneza apps from scratch
 
Usijaribu hyo biashara labda ufunge ecommerse site hua zinalipw haraka hata kuuza magari tu used ya humu humu ...usije jifanya una designia watu hailipi kabisa design ya ifanye biashra flan kisha design na app yake
 
Bongo utalala njaa..labda uanze na underground project kisha taratibu ziwe zinaingiza chochote zikihit ndio ufikirie ofisi uwe official ...usikimbie hayo mausajli na nini na nini watakula pesa zako bure
 
Habari!

Mimi ni kijana graduate wa Computer science and technology. Nimespecilize kwenye masuala ya programming hususani Full stack development (Website & App) Na Sasa nafanya Blockchain na data science.

Wazo langu nataka nifungue kampuni ambayo itadeal na masuala ya website design and development lakini mm nataka nifanye tofauti kidogo Yani website ziwe developed from scratch with outstanding designs na sio ku edit WordPress, Joomla Nk sambamba na cross platform Apps.

Then hapo badaye kampuni ikisimama nataka niongeze section za Blockchain , data science na cyber security , embedded systems na custom software.

Wakuuu na amboni mawazo ya mwongozo katika hili.
Wazo zuri sana! Umefikia wapi?
 
Back
Top Bottom