Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000.
Nilikua naomba kujuzwa na...
Kwema wadau poleni na majukumu Nina swali kidogo naomba tusaidiane kuhusu kata ya Ngudu, kwimba.
Je Ngudu, Kwimba kuna fursa gani nzuri za biashara zinafaa kuwekeza kule kwa wakati huu?
Wakuu habari zenu.
Tukiwa tunaendelea na mapambano ya maisha. Nimejikusanya, nimepata kiasi Cha 20M, nikiwa na wazo la kuanizsha online TV. Je ni vitu gani muhimu natakiwa kununua na gharama yake ni kiasi gani Hadi lengo kutimia. Au mnaweza kunishauri nifanye biashara gani tofauti na hii kwa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
Mgombea Uraisi Nchini Kenya, George Wajackoyah amesema kuwa akiingia madarakani atafanya mchakato wa kuuza korodani za fisi pamoja na nyama nyingine za mnyama huyo Nchini China ili kukuza kipato cha taifa hilo.
Wajackoyah amesema mlo wa Wanyama hao utasaidia kukuza uchumi wa Kenya na kuimarisha...
Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu 😂! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama jinsi biashara za wenzetu huko duniani zinavyokwenda sawa.
Ntaanza na hizi chache...
1.Biashara ya...
Habari ndugu zanguni.
Nina mtaji wa laki 2
Kama kuna mtu anaishi Toangoma tushirikiane, mimi makazi yangu ni Toangoma tufanye biashara ambayo anadhani tunaweza kuifanya vema kwa mtaji huo. Mimi si mwenyeji hivyo kwa mwenyeji itakua vema zaidi sababu anayajua mazingira yake vema.
Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaan restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula gani wanapenda na wapi bora kuanziasha naombeni ushauri wadau?
Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha.
Naombeni ushauri wadau?
Habari?
Kumeibuka mtindo mpya wa urembo. Wadada wengi wamekuwa wakivaa kacha aidha yenye alama ya bendera ya Tanzania au moja iko na ishara na alama za upinde wa mvua.
Wakati mwingine wanavaa zote mbili kwa pamoja.
Je, wanavaa kama mapambo pasi na dhumuni lolote au ni ishara ya mapenzi ya...
Habari za asubuhi wapendwa
Mimi ni kijana umri wangu ni 30years. Natamani kufanya biashara za kutoa bidhaa zanzibar kuja kuuza Dar
Niko interested sana na biashara za Electronics.
Wadau mnaofanya biashara hizi naombeni mnishauri ni bidhaa gani naweza pata kwa bei nzuri na nikaja kupiga hela...
Nataka kufanya biashara ya mayai ila nataka kununu DARESALAM kuyaleta Zanzibar. Itakuwa nauza jumla na reja reja
Na ombeni ushauri wema?
Je, niaze na mtaji wa kias gani?
Na je vitu itapata faida kweli?
Habari wanandg natumai hamjambo,
Nilkua nahitaji kujua na kujifunza kuhusu biashara ya kununua mbuzi na kupeleka viwandani.
Nilkua naomba mwenye uzoefu wa biashara hii ani Pm au anaweza kujibu hapa tukajifunza wengi.
Ahsanteni sana
Habari.
Wanaume nadhani mtakua mashuhuda wa hili mimi limenitokea kama mara tatu hivi najutia pesa zangu bora hata ningeenda kununua kipande cha ardhi vikindu ili mwanamke awe na bidii na afanikiwe katika biashara yake mwache atafute mtaji yeye mwenyewe akishindwa akakope bank ukijitia...
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (FIFA) imeifungia klabu ya Biashara United ya Mara kusajili wachezaji kwa madirisha mawili.
Adhabu hiyo imetolewa baada ya Biashara United kushindwa kuheshimu uamuzi wa awali wa FIFA kuifungia kusajili wachezaji hadi itakapokamilisha malipo ya...
Nahitaji kuingia kwenye hii biashara ya zao la kahawa... Yani ninunue then nije kuuza baadae wanasema wanauza kwenye ushirika kwa kule Mkoa wa Ruvuma! Mwenyw ABC au uzoefu wa hii ishu afanye msaada wa kufunguka. Natanguliza shukrani 🙏🙏🙏
Benki ya dunia kupitia moja ya blogi yao wanakiri kabisa kwamba fursa hii imerahisishwa na uwepo wa biashara ya kimataifa.
Uwepo wa soko huria pamoja na mambo mengineyo yanayorahisisha biashara ya kimataifa imekuwa chachu kwa wazungu wanaotengeneza magonjwa (wasiwasi ) na kuyasambaza...
Jana nilishinda nyumbani siku nzima, sikuwa kazi nilijipea off, Sasa kabla siku haijaisha alikuja beshte yangu katika story nikamuelezea Biashara ambazo nataka kufanya ili anishauri.
Alinipa Ushauri wa kutosha lakini ushauri mkubwa aliyoniambia ni huu[emoji1484] nanukuu "Unajua kuna Baraka...
Serikali kuwasaidia Wamachinga wawe na mazingira bora ya kufanyia biashara zao, Aidha Serikali kuwakutaisha Wajasirimali wadogo( Machinga) na Taasisi za mikopo.
GSM ilikuwa kampuni ambayo watu wengi atuijui zaidi ya mo. Na Azam lakini kwa sasa GSM imeshika kasi kubwa kwenye kujitangaza wangekuwa sasa na washauri wazuri ndio kipindi Chao sasa kuingia kwenye ushindani wa biashara za vyakula mfano ngano na biashara zingine naamini wala awahitaji nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.