mfumo wa mauzo kwa biashara yako kwa bei nafuu

Mijicho

JF-Expert Member
Jan 20, 2009
280
212
Habarini kwa mara ingine tena,

Kazi yangu ni kukusaidia wewe mwenye biashara yako kama ni pharmacy,supermarket au biashara ingine yoyote ambayo utahitaji kuwa na mfumo/system ambayo itakusaidia kuingiza mauzo yako na kupata ripoti mbalimbali za mauzo,manunuzi ,faida /hasara na kadhalika.

Utaweza pia kuangalia stock yako na kurekebisha kadri unavyotaka .

Ni mfumo mzuri sana kwani utajua faida ya kila bidhaa yako kwa muda wowote unaotaka kama ni kwa siku,wiki au mwezi.

Mahitaji ya muhimu kufanikisha hili ni
1.Computer
2.Printer ya risiti(Hii kwa kuanzia sio lazima sana kama hautahitaji kuprint risiti)
3.BarCode Scanner -Hii ni kwa ajili ya kuscan bidhaa zako wakati wa kuuza.

Bei ni ya kitanzania -Millioni moja ya kitanzania na hii unalipa mara moja tu.

Karibuni aliyeko serious njoo inbox please tufanye kazi.

M
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom