biashara

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa biashara ya nafaka na elimu niliyoipata

    Kwa mara ya kwanza nilikuwa humu kuandika kuhusu biashara ya nafaka hasa mahindi sidhani kama ina miezi miwili, naifanya na naendelea kuifanya, ifikapo mwezi wa kumi nitaleta majibu lakini tunakatishana tamaa kuliko uhalisia! Nilipata comment nyingi sana na wapi mahindi yanapatikana...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Vinywaji vikali

    Habarini ndugu, Nilikuwa naomba usharudi wa utaratibu unaohitajika kufungua duka na kuuza pombe kali Dodoma mjini. Ningependa niwe nauza jumla na rejareja. Natakiwa nianze wapi kama eneo tayari ninalo(urban area) ambapo kuna mzunguko wa watu na pub. Nina mtaji wa 20m
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Naipongeza serikali kwa kuanzisha kodi hii ya nyumba na sehemu za biashara kwa wamiliki

    Nipende kuipongeza serekali yetu tukufu kwa kubuni kodi ya upangishaji hasa hasa ikiwalenga wenye majengo ya kimakazi au ya kibiashara hakika hapa kulikuwa na fedha nyingi mno zilizokuwa zinapotea na kulikosesha taifa letu mapato stahili na halali. Ispokuwa ombi langu ni kwamba ingelipaswa...
  4. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Wakristo wa zamani walienda Sokoni kwa sababu walikuwa na Biashara sio Kuhubiri wapate Sadaka

    Mfumo wa kuhubiri Sokoni huku watu wanaendelea na shughuli zao siuungi mkono. Ilitakiwa twende Sokoni kufanya Biashara kwa viwango vya juu ya kiroho ili tuwabadikishe wasioamini. Injili ingekuwa rahisi Sana. Ukisikia Paulo kaenda Sokoni au getini. Kumbuka alikuwa Ni mfanyabiashara pia...
  5. chongoe

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua biashara ya cable tv ushauri wako

    Naomba ushauri nini na nini nifute ili nisiwe hatiani nipo Mafia
  6. senzoside

    JamiiForums Tanzania Msaada hatua za kufuata kabla sijaanzisha biashara

    Habari wanajukwaa hili la biashara! Nimekuja kwenu mnisaidie hatua za kufuata kabla sijafungua biashara nataka nifungue duka ambalo nitauza bidhaa zifuatazo Vipondozi aina zote, vitenge, madera, na kwa baadae nifumgue huduma zote za kifedha (M-pesa, Tigo pesa, Airtel money, Halopesa na wakaka...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mikanda ya gypsum Iringa

    Habari zenu wana JF? Naomba niende kwenye content moja kwa moja tunaitaji mshirika kwaajiri ya kuendeleza kiwanda chetu cha mikanda ya gypsum ambaye tutamuuzia share kwenye kampuni yetu kilingana na uwekezaji wake kiwanda uzalishaji unaendelea ila tunataka tuongeze nguvu tuwafikie watu wengi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali ishushe PAYE kufikia single digit, kisha Serikali ifanye biashara ya kutoa mikopo kwa wafanyakazi kupitia BoT kufidia kodi itakayopotea

    Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara. Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha mabenki ya kibiashara na kisha mabenki haya ndio yatoe mikopo kwa wafanyakazi, nashauri BOT waanze...
  9. Ibrason

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara kwa laki tano(6)

    Jamani ndugu zangu wana JF, ninalo wazo kabambe la Biashara. Mazingira yote ya biashara nimeshajiridhisha nayo. Na wazo langu haliko na mambo mengi, lakini kila kitu kipo kwa uhakika. Nipo Dar es salaam Natafuta mtu tunayeweza kuingia naye ubia katika biashara hii itakayogharimu Tsh 500,000...
  10. Glady michael

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nini kifanyike katika kuinua uchumi katika biashara yako?

    Makala yangu imejikita zaidi katika kuelezea makosa ambayo hufanywa na wafanyabiashara wengi na hata watu ambao huanza kupanga kufanya biashara. Makosa hayo hufanya watu kudidimia Baraka ya kufanikiwa. Je nini kifanyike? Tutaona mbinu, njia, au mwongozo ambao ni muhimu kufuata ili ufanikiwe...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ipi ni biashara nzuri kati ya hizi?

    Habari za usiku huu ndugu zangu. Nina mawazo juu ya biashara aina tatu 1. Vifaa vya umeme mfano nyaya, sockets, extensions nk 2. Vifaa vya simu mfano screens, protectors,covers, chargers nk 3. Pipi au peremende/candy,biscuits za bei ya jumla na rejareja. Naomba kwa uzoefu wenu nifanye biashara...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Lipia 130,000/- TU! Anza Biashara - Utalii

    Lipia 130,000/- Tu! Uaanze Biashara ya bidhaa za kitalii Unapata bidhaa hizi zote ukaanze biashara. Kwa retail price hizi bidhaa zinathamani ya zaidi 260,000/- lakini utalipia 130K Tu! Location: Iringa Delivery: All regions Call: +255 658 700 510
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe

    Habari za jioni Ndugu zangu, Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe, pia kama kuna mwenyewe hapa aliyepo kule naomba tuwasiliane, nimesikia kuna fursa nyingi za biashara maana hakuna Huduma nyingi saana mpaka usogee Mwanza kabisa!
  14. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Mambo 3 ya kuzingatia katika biashara

    Biashara ni shughuli ya kujipatia riziki au kupata pesa kwa kuzalisha au kununua na kuuza bidhaa. Pia ni "shughuli au biashara yoyote ilifanyika kuzalisha faida. Kuna aina mbili za biashara. Biashara ya kuuza bidhaa na biashara ya kuuza huduma. Twenda moja kwenye mada, mambo gani yanafanya...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

    Wakuu Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni...
  16. malibiladaftari

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie mfumo wa kijiditali wa kuendesha biashara yako

    Karibu tuongee. Jiunge na mjadala wa kuendesha biashara yako kwa mfumo wa digital kupitia smartphone yako kiganjani. Sisi hapa tunatoa application ya simu inayosaidia wafanyabiashara kutunza rekodi zao za biashara kupitia simu Kwa mawasiliano zaidi tuma email kupitia service@hesabu.app...
  17. Mr HQ

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza suruali za mtumba

    Ndugu Zangu Nimeanza Kufanya Biashara Ya Kuuza Suruali za Mtumba Kutoka Dar Naenda Kuuza Moro - Dodoma. Naombeni Mawazo ya Kukuza Biashara Yangu Kwa Wazoefu Wa Hii Kazi.🙏🙏🙏 Niwe Nafanya Nini Au Niongeze Nguo Za Aina Gani Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Naombeni Maoni Yenu Wadau.🙏🙏🙏
  18. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu kwenu biashara zinakwendaje?

    Ndugu zangu Wajasiriamali, wafanyabiashara vipi hali za biashara huko kwenu zikoje? Kadri siku zinavokwenda naona maluweluwe biashara inazidi kuwa ngumu halafu ukicheki unatakiwa ulipe kodi ya pango, huku TRA wanataka kodi zao, mara manispaa wanakagua leseni hujakaa vizuri watu wa taka na fire...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mo anunua nyumba kuukuu Kariakoo kwa bilioni 20, aikarabati na kupangisha kwa mabilioni hii ndio biashara

    Tukubali tu Mo anajua biashara na ndio maana ni tajiri, wewe huna hata genge wala tuta la mchicha hapo kwako unataka kubishana nae jitafakari. Wakati Simba inawekwa sokoni ilikuwa ni timu kubwa kwa Tanzania ila sio Africa, timu iliwategemea akina Ndemla, Kichuya, Galas, Singano eti muifunge Al...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuwa na wazo la biashara bila mtaji, ni sawa na ndoto

    Wapo watu wanajivunia kuwa na mawazo ya biashara ila hawana mitaji; ukiomba wakushirikishe wazo lao, wanakataa wakihisi unaweza kuchukua wazo lao na kulifanyia kazi. Unakuta miaka nenda rudi, mpaka anakuwa mzee bado yuko na wazo lake tu, na hataki kushirikisha watu ili lifanyiwe utekelezaji...
Back
Top Bottom