biashara

  1. Grahams

    Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

    Habari za Muda huu Wakuu! Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye Umri wa Uzee. Kwa muda mrefu nimekuwa nawiwa kufanya uwekezaji kupitia kujenga na kumiliki Kituo cha...
  2. L

    Kituo cha huduma za uchumi na biashara ya kidijitali kati ya China na Afrika cha Hunan chaanzishwa Changsha

    Kituo cha huduma za kidijitali za uchumi na biashara kati ya China na Afrika cha mkoa wa Hunan kimezinduliwa jana Jumatatu mjini Changsha. Kituo hicho kinatarajiwa kuunga mkono ujenzi wa uwezo wa kidijitali na TEHAMA kwenye ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Afrika, na pia...
  3. NORBERT MOSHI

    Biashara ya makeup and studio

    Habari wanandugu, leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup. Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni...
  4. Intelligent businessman

    Mwenye season na movie hizi, aje tufanye biashara

    Salamu wakuu, nina uhitaji wa movie na season kwa mwenye nazo, anaweza nisaidia au tukafanya biashara nikampatia kiasi kidogo Cha fedha. Ninapenda movie za aina nyingi ziwe za kizungu, kihindi,kichina na hata za kituruki. 👉Ziwe za action,commedy, investigation na hata wizi. List yangu ni...
  5. NYOLODO

    Natafuta frem ya biashara Goba

    Habari wakuu, Natafuta fremu ya kuweka nguo maeneo ya Goba Center. Maeneo yawe yamechangamka wakuu. Kama unayo au naweza kuipata kupitia wewe tuwasiliane wakuu. 0734 187722 (WhatsApp)
  6. M

    Kama umewahi kutafuta maisha au kufanya biashara mpaka wa Kasumbalesa njoo tukumbushane visa vya huko

    Mara ya kwanza ilikuwa ni likizo yangu December 2018, nikiwa na mwenyeji wangu ( mzambia) baada ya kupeleka mchele na kumaliza kuuza, mwenyeji wangu alinishauri tusogee Rukwa, tununue dagaa then tuwapeleke Kasumbalesa kwa kipindi hicho akadai wanalipa na yeye anawafahamu dagaa ila shida lugha...
  7. Mamujay

    Natafuta nyumba ya biashara kwenye eneo lililochangamka Dar es Salaam

    Natafuta nyumba ya biashara ya kununua iwe chini ya 50mil Kama ni lodge, Ya kupangisha/apartment, Fremu, Iwe DSM eneo lililochangamka Weka biashara hadharani Maswala ya kutaka namba za simu siyo nzuri kama hujaweka hadharani Nyumba picha, maelezo ya muhimu weka na namba yako ya simu
  8. McRiyckeel

    Wekeza sasa kwa Scandinavia Express ijayo | Biashara ya Mabus

    Habari Wakuu, Matumaini yangu mko njema na kwa wale wanaopitia heka heka na magumu Mungu abariki mihangaiko yenu iwe yenye kulipa fadhila la jasho lenu linalochuruzika kila kukicha. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye kiini cha uzi huu. Kwa miaka kadhaa sasa baada ya anguko la...
  9. Liverpool VPN

    Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI. INTRODUCTION: Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa... Na nikiri NAPENDA HELA SAA. Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu. Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara...
  10. TECNO Tanzania

    Ile kiu ya kusubiria Toleo la Phantom X2 sasa imeisha

    Kampuni ya simu ya TECNO katika kuendeleza kutoa bidhaa zilizo bora na zinazoendana na technologia ya kisasa, tunakuletea lile toleo la kubwa Zaidi kwenye mtiririko wa PHANTOM ambalo watumiaji wengi wa simu janja wamekuwa wakiulizia sasa limefika sokoni na linapatikana kwenye maduka yetu nchi...
  11. Mganguzi

    Madiwani na mkurugenzi wa Mbeya kauli yenu inamaanisha biashara ya bajaji Mbeya ni haramu!! Maduka ya bajaji yafungwe, na hamtowatoza Kodi?

    Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani?? Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
  12. B

    Mahakama katika kuboresha mazingira ya biashara nchini

    31 Januari 2023 KONGAMANO KUJADILI NAFASI YA MAHAKAMA UBORESHAJI MAZINGIRA YA BIASHARA LAFANYIKA Na Faustine Kapama-Mahakama, Dodoma Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akichukua kumbukumbu muhimu wakati wa Kongamano hilo Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma...
  13. Equation x

    Kufungua biashara iliyo nje ya taaluma yako, ni upotevu wa ada kwa yule aliyekusomesha

    Wengi tunaamini kuwa, tunachokisoma mashuleni na vyuoni, ndivyo tunavyoenda kuviishi huko mtaani. Tunategemea mtu aliyesoma fani kama udaktari wa kutibu, uhandisi, uanasheria, uhasibu, ugavi, masoko n.k aende akaishi kile alichokisomea, iwe kwa kuajiriwa au kwa kujiajiri. Changamoto iliyopo...
  14. T

    Tunaofanya biashara ya M-Pesa, Tigo-Pesa, Airtel Money, ..., na Uwakala wa Bank Tukutane hapa

    ????
  15. Tommy 911

    Biashara ya electronic devices ndogo ndogo

    Habarini Wana JF. Mimi ni kijan wa miaka 22 ni mwanachuo nimekuja na wazo la kuanzia biashara ya devices ndogo ndogo za electronics kam scientific calculators,smart watch na airpods.... nilijarb kutembelea site ya alibaba nimeon zinauzwa bei nafuu Sana $1-$3 maximum for scientific calculators...
  16. Harry Barry

    Jinsi ya kuendesha Biashara ya canter

    Habari wana jf Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mjasiliamali nimekua nikifanya biashara tofauti tofauti kwa muda sasa na kila siku nawaza kufanya kitu kipya Nipo hapa kwaajili ya msaada wenu wana jf kuhakikisha nafikia malengo yangu kama mjasiriamali Hivyo basi nimefanikiwa kununua...
  17. Kaji Bagome

    DOKEZO Magu S/Msingi: Biashara kazini saa za kazi kwa walimu

    JMT; Kazi iendelee. Nilishaandika mara kadhaa kuhusu udhaifu wa uongozi wa Shule ya Msingi Magu; nikiomba uongozi wa Elimu Msingi (W) urekebishe hali hiyo, lakini kila uchao inakuwa kama heri ya jana. Sasa hivi baadhi ya waalimu wanafanya biashara shuleni hapo (wao wenyewe), tena wakati wa...
  18. chuma jr

    Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Habari za majukumu wakuu Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
  19. WA MAMNDENII

    Showcase fridge ya biashara

    Habari wadau, Nataka kufungua ka grocery kangu nipate hapo japo mia 2 mia 2, sasa issue napata utata kati ya fridge brand ya Boss au Hisence showcase. Naombeni wazoefu au wataalam wa hizi mambo ili nifanye maamuzi mujarab
  20. Aliko Musa

    Jinsi ya kustaafu na majengo ya kupangisha ukiwa kwenye Ajira/Biashara

    Kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo, zipo njia tofauti tofauti ambazo mtu anaweza kuzitumia kutengeneza kipato endelevu kwa ajili ya kustaafu. Lakini njia ambayo ina matokeo bora sana ni ile ya kutumia nyumba za kupangisha. Maana yangu ya kustaafu na majengo ya kupangisha. Ni kufikia hali ya...
Back
Top Bottom