akroatis
Member
- Sep 18, 2017
- 34
- 27
Habari, mimi ni kijana ninaye jihusisha na kuunda software mbalimbali ikiwemo za simu(mobile apps) na webstite.
Katika kazi zangu zilizopita, nilipata fursa ya kufanya kazi katika kampuni ya kuunda software mablimbali, ikiwemo sotware ya micro-credit. Katika kufanya kazi kwangu, niliona changamoto mbalimbali zilizowakumba wateja wetu na sisi pia, kama:
Muda huu sasa nina wazo la kuunda software yangu ya Micro credit, kwa kutumia uzoefu wangu wa zamani, na ushauri kutoka kwenu wenye uzoefu wa biashara hii. Nikianza mwezi huu kuiunda, toleo la kwanza nadhani nitalikamilisha mwanzoni mwa mwaka 2024. Ila nahitaji kujua kwanza kama watu wana uhitaji wa hii software, kabla sija anza.
Software ninayotaka kuunda, nataka iwe na features kama hizi:
Lengo langu kuu, ni kujipatia kipato katika software hii, lakini sitaki iwe na bei kubwa sana, nataka hata mtu anayeanza biashara ya kukopesha kwa mtaji mdogo awe na uwezo wa kuilipia. Lengo jingine ni kuwasaidia watu, hasa katika nchi zetu zinazoendelea ambapo watu wengi wanashindwa kutumia mifumo ya kisasa kwa sababu ya gharama kubwa. Pia kuunda software ni kazi nayo ipenda hata kama hainilipi (nina application kadhaa ambazo ni za bure kabisa kutumia ambazo zinalenga watu wenye biashara ndogondogo).
Naombeni ushauri wenu, niiunde software hii? au utakuwa ni upotezaji wa muda?
Naomba pia kama una muda, nisaidie kujaza hii survey
Asanteni sana (na samahani kwa kiswanglish kibovu).

- Bei kubwa kulipia software (600,000-1,200,000)
- Micro credit nyingi zina taratibu mbalimbali katika kuendesha biashara yao, hivyo tulihitaji kubadilisha mifumo ya software yetu kwa kila mteja
- Wateja wetu walikuwa wana uelewa mdogo wa kutumia mifumo ya kompyuta, baadhi waliitaji mifumo ili kukidhi mahitaji ya serikali tu. Ki uhalisia, waliendelea kutumia excel au madaftari.
- Wateja wetu wengi hawafuati utaratibu wa serikali katika kuendesha biashara yao
- nk
Muda huu sasa nina wazo la kuunda software yangu ya Micro credit, kwa kutumia uzoefu wangu wa zamani, na ushauri kutoka kwenu wenye uzoefu wa biashara hii. Nikianza mwezi huu kuiunda, toleo la kwanza nadhani nitalikamilisha mwanzoni mwa mwaka 2024. Ila nahitaji kujua kwanza kama watu wana uhitaji wa hii software, kabla sija anza.
Software ninayotaka kuunda, nataka iwe na features kama hizi:
- Iwe ina uwezo wa kutumika katika karibia compyuta zote na smartphone
- Wakopeshwa nao pia wawe na uwezo wa kuitumia software hii kuangalia taarifa zao za mikopo
- Iwe na uwezo wa malipo ya simu (wakopeshwa wawe wanaweza kulipa bila kufika ofisini)
- Iwe inafuata taratibu za kiserikali katika kuendesha biashara, na kutoa ripoti za ofisi
- Internet isiwe lazima muda wote kwa software kufanya kazi
- Iwe nyepesi kutumia kwa mtu yoyote
- Features nyingine naweza kupokea ushauri kutoka kwenu na watu wengine.