Hii ndio Biashara na huyu ndio Mfanyabiashara wa kweli

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,504
5,539
Rafiki yangu, kama ulikuwa hujui, au ulikuwa unajifanya hujui basi wacha nikujuze. Hii Ndio Biashara sasa na huyu ndio mfanyabiashara wa kweli.

Kuhusu Faida
Biashara ya kweli ni biashara inayokupa faida ya kutosha kumudu maisha yako, kukuza biashara na kuweka akiba. Kama Biashara yako unayofanya haikupi faida ya kukutimizia hayo basi hiyo sio biashara na wala wewe sio mfanya Biashara.Wewe unajishughulisha tu. Ushauri wangu kwako ni huu: Fanya Shughuli yako iwe biashara au tafuta biashara ya kweli ufanye.

Kuhusu Mtaji
Mfanyabiashara wa kweli haangaiki kuhusu mtaji wa kuanzisha au kuendesha biashara yake. Kama wewe unawaza sana kuhusu mtaji au kama biashara yako inashindwa kukua kwa sababu hauna mtaji basi wewe sio mfanya biashara au hiyo biashara yako sio biashara. Biashara ya kweli kabisa haihitaji mtaji bali inahitaji ujasiri,utayari na wateja. Mtaji ni kama kachumbari na pilipili. Ukinununu Chipsi unapewa Bure.

Kuhusu Wateja
Unapotaka kuanziasha/kufanya biashara hakikisha unatafuta wateja. Sio kila mtu ni mteja wa biashara yako. Sifa ya Mteja ni awe na uhitaji wa bidhaa/huduma yako na awe na uwezo wa kununua bidhaa yako. So kabla ya kuanzisha biashara Jiulize kwa uhakika iwapo unawafahamu wateja wako. Usianze biashara kwa kutegemea wateja wa Mshindani wako kibiashara

Kuhusu Wazo la Biashara
Kuwa na wazo la biashara hakukufanyi uwe mfanyabiashara,Ili ukiweza kulifanya wazo lako liwe kibiashara unaweza kuwa na biashara. Usiogope kulisema wazo lako kwa watu kwa hofu ya kuibiwa wazo lako. Kama wazo lako ni rahisi kuibiwa kiasi hicho basi ujue pia Halina Upekee. Mawazo mazuri ya biashara ni yale ambayo yanaonekana ni ya kijinga wakati unapowaeleza watu.

Kuhusu Biashara Kichaa
Kukua kwa biashara kunatazamwa kwa namna nyingi. Kuna kukua kwa mtaji,kuna kukua kwa faida na pia kuna kuongezeka kwa mzunguko wa Fedha. Ila ukweli ni kwamba Biashara yako hata iwe na mtaji mkubwa kiasi gani au faida kubwa kiasi gani kama mzunguko wako wa Pesa ni Mdogo hiyo ni BIASHARA KICHAA. Unapotaka kufanya Biashara hakikisha Mzunguko wako wa Biashara uko juu.

Kuhusu Soko.
Sio kila mteja ni mteja wako, wala sio kila soko ni soko lako.Usitangaze bishara yako kwa watu ambao hata hawaelewi bidhaa na huduma yako. Mteja ambaye anaelewa bidhaa au huduma yako ni Balozi wako wa mema yako na mteja ambaye haelewi bidhaa au huduma yako anaweza kuona ubaya wa bidhaa yako na kuutangaza.

Kuhusu Kupanga Faida
Maisha ni Magumu lakini ni kwako tu. Unapopanga faida ya biashara yako usijinyime wala kuwaiga wengine kwenye kiwango cha faida na bei. Hakikisha Faida unayopata inakutosha na bei yako imechangamka ila hakikisha unaongez thamni na ubora wa huduma zako. Usikubali kwame kupoteza faida kwa kuuza bei sawa na mshindani wako. Jitofautishe.

Kuhusu Kuloga na Ushirikina(Hii ni nyongeza)
Kama ambavyo wewe upo basi ushirikina, ulozi dini na masuala ya imani vipo. Katika biashara wapo wanaoamini katika makafara, maji ya upako, chuma ulete na imani nyingine ambazo hata kuzielewa sizielewi ila ukweli ni huu.

Loga ulogavu, toa kafara utoavyo, fuga misukule uwezavyo ila kama utaacha kuzingatia kanuni za msingi za biashara basi utatafuta wataalamu mpaka mwisho wa dunia ila wote watakurudisha kwenye misingi ya kibiashara maana misikule, haitakuja kununua wala haitachapisha pesa kwa ajili yako.
 
Maisha ni Magumu lakini ni kwako tu.
1688793141423.png
 
Rafiki yangu,
Kama ulikuwa hujui,au ulikuwa unajifanya hujui basi wacha nikujuze
Hii Ndio Biashara sasa na Huyu Ndio Mfanya Biashara wa kweli.

Kuhusu Faida
Biashara ya kweli ni biashara inayokupa faida ya kutosha kumudu maisha yako,kukuza biashara na kuweka akiba.Kama Biashara yako unayofanya haikupi faida ya kukutimizia hayo basi hiyo sio biashara na wala wewe sio mfanya Biashara.Wewe unajishughulisha tu.Ushauri wangu kwako ni huu:Fanya Shughuli yako iwe biashara au tafuta biashara ya kweli ufanye.

Kuhusu Mtaji
Mfanyabiashara wa kweli haangaiki kuhusu mtaji wa kuanzisha au kuendesha biashara yake.Kama wewe unawaza sana kuhusu mtaji au kama biashara yako inashindwa kukua kwa sababu hauna mtaji basi wewe sio mfanya biashara au hiyo biashara yako sio biashara.Biashara ya kweli kabisa haihitaji mtaji bali inahitaji ujasiri,utayari na wateja. Mtaji ni kama kachumbari na pilipili.Ukinununu Chipsi unapewa Bure.

Kuhusu Wateja
Unapotaka kuanziasha/kufanya biashara hakikisha unatafuta wateja.Sio kila mtu ni mteja wa biashara yako.Sifa ya Mteja ni awe na uhitaji wa bidhaa/huduma yako na awe na uwezo wa kununua bidhaa yako.So kabla ya kuanzisha biashara Jiulize kwa uhakika iwapo unawafahamu wateja wako.Usianze biashara kwa kutegemea wateja wa Mshindani wako kibiashara

Kuhusu Wazo la Biashara
Kuwa na wazo la biashara hakukufanyi uwe mfanyabiashara,Ili ukiweza kulifanya wazo lako liwe kibiashara unaweza kuwa na biashara.Usiogope kulisema wazo lako kwa watu kwa hofu ya kuibiwa wazo lako.Kama wazo lako ni rahisi kuibiwa kiasi hicho basi ujue pia Halina Upekee.Mawazo mazuri ya biashara ni yale ambayo yanaonekana ni ya kijinga wakati unapowaeleza watu.

Kuhusu Biashara Kichaa
Kukua kwa biashara kunatazamwa kwa namna nyingi.Kuna kukua kwa mtaji,kuna kukua kwa faida na pia kuna kuongezeka kwa mzunguko wa Fedha.Ila ukweli ni kwamba Biashara yako hata iwe na mtaji mkubwa kiasi gani au faida kubwa kiasi gani kama mzunguko wako wa Pesa ni Mdogo hiyo ni BIASHARA KICHAA.Unapotaka kufanya Biashara hakikisha Mzunguko wako wa Biashara uko juu.

Kuhusu Soko.
Sio kila mteja ni mteja wako,wala sio kila soko ni soko lako.Usitangaze bishara yako kwa watu ambao hata hawaelewi bidhaa na huduma yako.Mteja ambaye anaelewa bidhaa au huduma yako ni Balozi wako wa mema yako na mteja ambaye haelewi bidhaa au huduma yako anaweza kuona ubaya wa bidhaa yako na kuutangaza.

Kuhusu Kupanga Faida
Maisha ni Magumu lakini ni kwako tu.Unapopanga faida ya biashara yako usijinyime wala kuwaiga wengine kwenye kiwango cha faida na bei.Hakikisha Faida unayopata inakutosha na bei yako imechangamka ila hakikisha unaongez thamni na ubora wa huduma zako.Usikubali kwame kupoteza faida kwa kuuza bei sawa na mshindani wako.Jitofautishe.
Perfect...100%
 
Kama ambavyo wewe upo basi ushirikina,ulozi dini na masuala ya imani vipo.Katika biashara wapo wanaoamini katika makafara,maji ya upako,chuma ulete na imani nyingine ambazo hata kuzielewa sizielewi ila ukweli ni huu.Loga ulogavu,toa kafara utoavyo,fuga misukule uwezavyo ila kama utaacha kuzingatia kanuni za msingi za biashara basi utatafuta wataalamu mpaka mwisho wa dunia ila wote watakurudisha kwenye misingi ya kibiashara maana misikule,haitakuja kununua wala haitachapisha pesa kwa ajili yako.
Nimebarikiwa sana na andiko lako mkuu, soko la biashara yangu limekua mtihani mkubwa kwangu lakini bila kuchoka naendelea kupambana.
Ahsante.
 
Sehem zote umenena vyema, ila kwenye mtaji umeongea kama motivational speaker ..... Biashara ni mtaji bwana acha mbwembwe . Haijalishi utaanzaje biashara lakini lazima uanze na mtaji hata uwe mkopo
 
Mkuu kama umesoma na umeelewa utaona kuwa sijasema huhitaji mtaji ila nimesema Kuna unachohitaji zaidi kuliko mtaji ambacho wengi waliokuwa nacho waliweza kuanzisha biashara hata kwa kukopa huo mtaji kama ulivoeleza.
 
Rafiki yangu, kama ulikuwa hujui, au ulikuwa unajifanya hujui basi wacha nikujuze. Hii Ndio Biashara sasa na huyu ndio mfanyabiashara wa kweli.

Kuhusu Faida
Biashara ya kweli ni biashara inayokupa faida ya kutosha kumudu maisha yako, kukuza biashara na kuweka akiba. Kama Biashara yako unayofanya haikupi faida ya kukutimizia hayo basi hiyo sio biashara na wala wewe sio mfanya Biashara.Wewe unajishughulisha tu. Ushauri wangu kwako ni huu: Fanya Shughuli yako iwe biashara au tafuta biashara ya kweli ufanye.

Kuhusu Mtaji
Mfanyabiashara wa kweli haangaiki kuhusu mtaji wa kuanzisha au kuendesha biashara yake. Kama wewe unawaza sana kuhusu mtaji au kama biashara yako inashindwa kukua kwa sababu hauna mtaji basi wewe sio mfanya biashara au hiyo biashara yako sio biashara. Biashara ya kweli kabisa haihitaji mtaji bali inahitaji ujasiri,utayari na wateja. Mtaji ni kama kachumbari na pilipili. Ukinununu Chipsi unapewa Bure.

Kuhusu Wateja
Unapotaka kuanziasha/kufanya biashara hakikisha unatafuta wateja. Sio kila mtu ni mteja wa biashara yako. Sifa ya Mteja ni awe na uhitaji wa bidhaa/huduma yako na awe na uwezo wa kununua bidhaa yako. So kabla ya kuanzisha biashara Jiulize kwa uhakika iwapo unawafahamu wateja wako. Usianze biashara kwa kutegemea wateja wa Mshindani wako kibiashara

Kuhusu Wazo la Biashara
Kuwa na wazo la biashara hakukufanyi uwe mfanyabiashara,Ili ukiweza kulifanya wazo lako liwe kibiashara unaweza kuwa na biashara. Usiogope kulisema wazo lako kwa watu kwa hofu ya kuibiwa wazo lako. Kama wazo lako ni rahisi kuibiwa kiasi hicho basi ujue pia Halina Upekee. Mawazo mazuri ya biashara ni yale ambayo yanaonekana ni ya kijinga wakati unapowaeleza watu.

Kuhusu Biashara Kichaa
Kukua kwa biashara kunatazamwa kwa namna nyingi. Kuna kukua kwa mtaji,kuna kukua kwa faida na pia kuna kuongezeka kwa mzunguko wa Fedha. Ila ukweli ni kwamba Biashara yako hata iwe na mtaji mkubwa kiasi gani au faida kubwa kiasi gani kama mzunguko wako wa Pesa ni Mdogo hiyo ni BIASHARA KICHAA. Unapotaka kufanya Biashara hakikisha Mzunguko wako wa Biashara uko juu.

Kuhusu Soko.
Sio kila mteja ni mteja wako, wala sio kila soko ni soko lako.Usitangaze bishara yako kwa watu ambao hata hawaelewi bidhaa na huduma yako. Mteja ambaye anaelewa bidhaa au huduma yako ni Balozi wako wa mema yako na mteja ambaye haelewi bidhaa au huduma yako anaweza kuona ubaya wa bidhaa yako na kuutangaza.

Kuhusu Kupanga Faida
Maisha ni Magumu lakini ni kwako tu. Unapopanga faida ya biashara yako usijinyime wala kuwaiga wengine kwenye kiwango cha faida na bei. Hakikisha Faida unayopata inakutosha na bei yako imechangamka ila hakikisha unaongez thamni na ubora wa huduma zako. Usikubali kwame kupoteza faida kwa kuuza bei sawa na mshindani wako. Jitofautishe.

Kuhusu Kuloga na Ushirikina(Hii ni nyongeza)
Kama ambavyo wewe upo basi ushirikina, ulozi dini na masuala ya imani vipo. Katika biashara wapo wanaoamini katika makafara, maji ya upako, chuma ulete na imani nyingine ambazo hata kuzielewa sizielewi ila ukweli ni huu.

Loga ulogavu, toa kafara utoavyo, fuga misukule uwezavyo ila kama utaacha kuzingatia kanuni za msingi za biashara basi utatafuta wataalamu mpaka mwisho wa dunia ila wote watakurudisha kwenye misingi ya kibiashara maana misikule, haitakuja kununua wala haitachapisha pesa kwa ajili yako.
Mkuu hongera kwa bandiko hili
Lakini ni muhimu ukatueleza pia unafanya biashara gani na Unaingiza faida kiasi gani
 
Unajua kabisa,,Mungu akupe maisha marefu kbsa maana nilikuwa natafuta sana Hili somo ,,me nafanya biashara pale manzese ya kuuza kobazi na Crocs,,,kwenye issue ya faida nilimpanga faida yangu Kwa kila Crocs ni buku 2 Hadi 3 paka 1500 ikitokea Lakn majilani wakaanza mambo yao ety unatuharibia biashara wakati faida me nayotaka inapatika kbsa,,ety wananishauri niwe napata faida buku 5
Rafiki yangu, kama ulikuwa hujui, au ulikuwa unajifanya hujui basi wacha nikujuze. Hii Ndio Biashara sasa na huyu ndio mfanyabiashara wa kweli.

Kuhusu Faida
Biashara ya kweli ni biashara inayokupa faida ya kutosha kumudu maisha yako, kukuza biashara na kuweka akiba. Kama Biashara yako unayofanya haikupi faida ya kukutimizia hayo basi hiyo sio biashara na wala wewe sio mfanya Biashara.Wewe unajishughulisha tu. Ushauri wangu kwako ni huu: Fanya Shughuli yako iwe biashara au tafuta biashara ya kweli ufanye.

Kuhusu Mtaji
Mfanyabiashara wa kweli haangaiki kuhusu mtaji wa kuanzisha au kuendesha biashara yake. Kama wewe unawaza sana kuhusu mtaji au kama biashara yako inashindwa kukua kwa sababu hauna mtaji basi wewe sio mfanya biashara au hiyo biashara yako sio biashara. Biashara ya kweli kabisa haihitaji mtaji bali inahitaji ujasiri,utayari na wateja. Mtaji ni kama kachumbari na pilipili. Ukinununu Chipsi unapewa Bure.

Kuhusu Wateja
Unapotaka kuanziasha/kufanya biashara hakikisha unatafuta wateja. Sio kila mtu ni mteja wa biashara yako. Sifa ya Mteja ni awe na uhitaji wa bidhaa/huduma yako na awe na uwezo wa kununua bidhaa yako. So kabla ya kuanzisha biashara Jiulize kwa uhakika iwapo unawafahamu wateja wako. Usianze biashara kwa kutegemea wateja wa Mshindani wako kibiashara

Kuhusu Wazo la Biashara
Kuwa na wazo la biashara hakukufanyi uwe mfanyabiashara,Ili ukiweza kulifanya wazo lako liwe kibiashara unaweza kuwa na biashara. Usiogope kulisema wazo lako kwa watu kwa hofu ya kuibiwa wazo lako. Kama wazo lako ni rahisi kuibiwa kiasi hicho basi ujue pia Halina Upekee. Mawazo mazuri ya biashara ni yale ambayo yanaonekana ni ya kijinga wakati unapowaeleza watu.

Kuhusu Biashara Kichaa
Kukua kwa biashara kunatazamwa kwa namna nyingi. Kuna kukua kwa mtaji,kuna kukua kwa faida na pia kuna kuongezeka kwa mzunguko wa Fedha. Ila ukweli ni kwamba Biashara yako hata iwe na mtaji mkubwa kiasi gani au faida kubwa kiasi gani kama mzunguko wako wa Pesa ni Mdogo hiyo ni BIASHARA KICHAA. Unapotaka kufanya Biashara hakikisha Mzunguko wako wa Biashara uko juu.

Kuhusu Soko.
Sio kila mteja ni mteja wako, wala sio kila soko ni soko lako.Usitangaze bishara yako kwa watu ambao hata hawaelewi bidhaa na huduma yako. Mteja ambaye anaelewa bidhaa au huduma yako ni Balozi wako wa mema yako na mteja ambaye haelewi bidhaa au huduma yako anaweza kuona ubaya wa bidhaa yako na kuutangaza.

Kuhusu Kupanga Faida
Maisha ni Magumu lakini ni kwako tu. Unapopanga faida ya biashara yako usijinyime wala kuwaiga wengine kwenye kiwango cha faida na bei. Hakikisha Faida unayopata inakutosha na bei yako imechangamka ila hakikisha unaongez thamni na ubora wa huduma zako. Usikubali kwame kupoteza faida kwa kuuza bei sawa na mshindani wako. Jitofautishe.

Kuhusu Kuloga na Ushirikina(Hii ni nyongeza)
Kama ambavyo wewe upo basi ushirikina, ulozi dini na masuala ya imani vipo. Katika biashara wapo wanaoamini katika makafara, maji ya upako, chuma ulete na imani nyingine ambazo hata kuzielewa sizielewi ila ukweli ni huu.

Loga ulogavu, toa kafara utoavyo, fuga misukule uwezavyo ila kama utaacha kuzingatia kanuni za msingi za biashara basi utatafuta wataalamu mpaka mwisho wa dunia ila wote watakurudisha kwenye misingi ya kibiashara maana misikule, haitakuja kununua wala haitachapisha pesa kwa ajili yako.
Asante ,Mungu akupe maisha marefu
 
Asante sana ,,me nafanya biashara pale manzese ya kuuza kobazi na Crocs napata faida buku 2 au buku3 Kwa kila Crocs au buku jero Lakn majilani wakaanza kunambia me ety naharibu biashara ,ety wananiambia niwe napata faida 5k Kwa kila Crocs Sasa naona nitakuwa na mzunguko mdogo kama nitafanya wakat me Kwa siku napata faida 15k Sina mke ,,mambo ya chakula ndani kila kitu kipo unajikuta Kwa siku natumia maybe 700 au 900 kwajili ya nyanya na vitunguu tu
 
Back
Top Bottom