biashara

  1. JamiiForums Tanzania Serikali iwaombe wafanyabiashara wakubwa waende vyuo vikuu wakafundishe wahitimu angalau unit 1 ili kukamilisha degree ya biashara

    Kila mkoa kuna wafanyabiashara wakubwa. Bila shaka wako pamoja na serikali. Wakiombwa wakafundishe angalau unit moja kwa wanafunzi wa mwaka wa 3 ili kukamilisha degree zao watakubali na kujitoa kwa moyo maana wataona wameheshimika. Hapa mfanyabiashara atakuwa huru kuwaelekeza/kuwafundisha...
  2. JamiiForums Tanzania Biashara ya Restaurant/ Mgahawa Kahama

    Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie wazo la kuongeza biashara

    Nafurahi na napendezwa sana kuwa kuwa ndani ya jukwaa hili Binafsi nafanya kazi ya kusajili laini za mitandao yote, kurudisha line zilizopotea na kutatua matatizo mbalimbaki ya simu za wateja kujipatia kipato. Nimefanya kazi hii almost miaka 03 sasa nipo Chato mkoani Geita japo mzunguko sio...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Marekani kutimiza lengo la kuongeza biashara na Afrika kwa kuilenga China

    Katika siku za karibuni Marekani imekuwa ikiendelea na juhudi zake za kukabiliana na kile inachoita ushawishi wa China barani Afrika, na kutafuta kila njia inayoona kuwa inaweza kusaidia kufanikisha lengo hilo. Hivi karibuni moja kati ya mambo ambayo Marekani imekuwa ikiyataja na kuhimiza kwa...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha

    Habari zenu, natumaini ni wazima wa afya. Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha. Anehitaji kuniwezesha kwa mzigo namkaribisha, mitumba ya baibui, abaya za kikubwa na kitoto, kanzu za msikitini ndogo na kubwa pia madashdash, mabwanga pamoja na night dress hata viatu vya kike...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

    Biashara ya vifaa vya pikipiki, bajaji, na guta: Biashara hii inajihusisha na uuzaji wa spea zinazohusiana na pikipiki, bajaji, na guta. Pia, unaweza kuuza pikipiki, bajaji, na guta kama bidhaa kamili kwa wateja. Hardware Store: Hii ni biashara ambayo inajihusisha na kuuza vifaa vya ujenzi na...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya Online Media: Natafuta Patner

    Habari za kazi wakuu !! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uhai na kuendeleza harakati za maisha, niko hapa kutafuta mtu aliye serious tufanye biashara ya Online Media. Mimi nina uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi hizi ninaweza kuendesha (manage) page zote kuanzia Facebook, YouTube, Instagram...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wanakuwa wagumu kuwapa watoto mitaji kuanzisha biashara?

    Hbr za siku, Nina rafika yangu wazazi wake wote walikuwa waajiriwa wa taasisi za umma na kwa Kweli walifikia hadi nafasi za juu sana katika hizo taasisi walizo ajiriwa hivyo mishahara na pension zao ziko vizuri mno. Hoja Jamaa ni mwaka wa nne hana kazi ni kula kulala tu amejaribu kuomba angalu...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ili uruhusiwe kufanya biashara jimbo la Ukonga ni lazima uwe na Cheti cha COVID-19 pamoja na cheti cha afya

    Nimeshuhudia patashika ya migambo na wafanyabiashara kata ya Buyuni wakiwakamata wafanyabiashara mbalimbali na kuwapeleka ofisi ya mtendaji kata Buyuni iliyopo Chanika kwa kosa la kufanya biashara bila cheti cha afya na cha COVID-19. Pamoja na mambo mengine msako huu umekuwa mkali kiasi kwamba...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bonanza, dubwi

    Nimekuja kuwapa madini kuhusu hii biashara Biashara hii inalipa Sana, ndo maana wachina wanatoka kwao kuja kuinvest Tanzania Firstly inahitajika mtaji mkubwa Sana na elimu ya kusimamia na kutengeneza endapo ikiharibika ndo maana watanzania wanashindwa Fanya hii biashara Kwa mtaji wa million...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wanaoenda kusoma Ulaya wakirudi wanafanikiwa kwenye biashara tofauti na wenzao waliosoma nchi za Asia, tatizo nini?

    Nimeona vijana wanaoenda kusoma huko nchi za ulaya wakirudi wana kuwa na moto mkali wa kufanya biashara, hata wakiajiriwa basi kuna biashara pembeni, watu hawa nimeona biashara zao huwa zinafanikiwa sana japo simaanishi ni wote ila wengi, nimeona vijana wa kundi hili wanajituma zaidi na wana...
  12. JamiiForums Tanzania Leseni za Biashara kukwama kutolewa Songea, wahusika wanatengeneza mazingira gani?

    Manispaa ya Songea inashindwa kutoa leseni za biashara kwa wakati, kumekuwa na tatizo hilo yapata mwezi sasa wafanyabiashara wanalalamikia Ofisi ya Afisa Biashara Manispaa ya Songea kushindwa kuwapa leseni za biashara zao. Maafisa Biashara Wasaidizi wamekuwa wakiwajibu Wafanyabiashara...
  13. JamiiForums Tanzania Uingereza kuibeba bendera ya Tanzania kutangaza fursa za uwekezaji, biashara zilizopo sekta ya madini

    #Madini mkakati yapewa kipaumbele na Uingereza #Wafanyabiashara wa madini Uingereza kushiriki Jukwaa la Kimataifa Sekta ya Madini mwezi Oktoba Wizara ya Madini na Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini zimekutana leo Agosti 1, 2023 katika ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania na DRC ndiyo nchi zinazoongoza katika fursa ya kufanya biashara

    Ukiwa medium bussinesa man au small scale bussiness man ukishindwa kufanikisha ujasiliamali wako DRC au Tanzania usipoteze mda kuenda Kenya S.Sudan, Rwanda au Uganda. Kwa uzoefu wangu ni mezuru nchi zote za kanda hi ya Africa mashariki na kati kwenye nyanja ya biashara ila naona bado Tz na DRC...
  15. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Afisa Biashara wa Manispaa ya Temeke, Giyola Chang’a ni mla rushwa

    Idara ya biashara ni changamoto ikiongozwa na huyu afisa biashara Giyola Chang’a. Hakuna Kinachoshindikana ndani ya idara biashara kama una hela mkononi. UKiwa hauna tax clearance, adi kubaki(Fire kibali) au kibali chochote kile uwe na hela tu huyu mama anapitisha. Unyanyasaji mkubwa Kwa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Biashara ya kununua mimba

    Biashara ya kununua mbegu za Wanaume imeonekana kunoga na kushika kasi katika Kaunti ya Murang’a nchini Kenya ambapo baadhi ya Wanawake wanawalipa Wanaume hadi Ksh. 300,000 (Tsh. mil 5.1) ili wafanye nao mapenzi na kuwapachika mimba. Wanaume wanaopendelewa zaidi katika biashara hiyo ni walio na...
  17. JamiiForums Tanzania Cctv video: Huyu mwizi inasemekana kawaliza wafanya biashara wengi kariakoo ila za mwizi 40 kanasa,

    Wezi wanatia hasara sana, Boss mwenye duka anaingia hasara, alieajiriwa kuuza duka anaanza kutiliwa mashaka na bosi kwamba ndio mwizi, anakatwa mshahara ama kufukuzwa kabisa Wengine waliolizwa wana sema siku nyingine anavaaga kanzu na balaghashia JINSI ANAVYOIBA ALIVYODAKWA, video imekatwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kupunja vipimo (kwenye mizani), biashara inadumaa

    Leo nimeguswa niandike kidogo kuhusu vipimo Kuna baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wanapunja watu kwa maksudi kabisa wakiwemo masikini kupitia vipimo mbali mbali kwa; Kuharibu mizani au yale mawe ya kupimia Kubonyeza ndoo au galoni za kupimia mazao Kuharibu vipimo vya vimiminika nk Hilo la...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ni vita ya biashara ya Marekani dhidi ya China, au ya Marekani dhidi ya dunia?

    Ni karibu miaka sita tangu Marekani izushe mgogoro wa kibiashara kati yake na China, na kuubazita mgogoro huo jina la vita ya biashara kati ya China na Marekani, wakati uhalisia wake ni vita ya biashara ya Marekani dhidi ya China iliyoanzishwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Bw. Donald Trump...
  20. JamiiForums Tanzania Biashara zinanzoelekea kupotea kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia

    (1) Biashara ya kuunza Magazeti Hii ni biashara ambayo imewatoa watu wengi sana kama akina ERICK SHIGONGO mf. gazeti lake la ijumaa,Sun etc. But now days watu weng wanapata habari kupitia kwenye simu, TV etc. Mfano akina MIllard Ayo etc. (2) Biashara ya kuunza mafuta ya taa Hii ni biashara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…