Biashara ya Restaurant/ Mgahawa Kahama

Nenda Kahama kafanye utafiti ujiridhishe mwenyewe aina ya huduma unayotaka kutoa na mahitaji ya wateja
Haitoshi kupitia maoni yetu hapa yakakusaidia
Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje?

Wateja wapo wa kutosha?
 
Back
Top Bottom