R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,138
Nimeona vijana wanaoenda kusoma huko nchi za ulaya wakirudi wana kuwa na moto mkali wa kufanya biashara, hata wakiajiriwa basi kuna biashara pembeni, watu hawa nimeona biashara zao huwa zinafanikiwa sana japo simaanishi ni wote ila wengi, nimeona vijana wa kundi hili wanajituma zaidi na wana njaa ya fursa ni kawaida kukuta mtu kaacha hata ajira ajikite zaidi kwenye biashara yake.
kwa uoande mwengine wapo waliohitimu vyuo vya bara la Asia kwenye nchi kama China, India, Malaysia, Japan, n.k. hawa wakirudi ni wachache unawakuta wana spirit ya biashara na hata wanaofanya biashara unakuta zina sua sua japo sio wote ila ni wengi.