Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.
Ni kauli ya Murtaza Mangungu ambae ni Mwenye kiti wa Simba,
Ikumbukwa kwamba jana Mo alijiuzulu, hili likitua wengi ila na leo kuna kauli mpya ya Mwenyekiti wa Simba
"Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki kwa sababu ni jambo ambalo tumekubaliana lisitajwe. Fedha zimetoka...
Kumekuwa na agizo la Serikali lililotolewa miezi michache iliyopita ya kuyataka mabenki kushusha riba ili kuongeza ukwasi mitaani. Naomba kufahamu kama agizo hilo limeshaanza kutekelezwa.
Naomba kujua benki inaruhusiwa kukopesha kiasi gani cha pesa ukilinganisha na mtaji wake?
Pia benki kuu inaweza kuongeza idadi ya noti katika mzunguko kama ikiamua?
Asanteni wanasheria!
DC wa Morogoro Albert Msando amesema anakatwa Tsh.Milioni 2.8 kila mwezi kutoka kwenye mshahara wake wa Tsh. Milioni 3.1 kama rejesho baada ya kukopa Benki kiasi cha Tsh. Milion 106 ili kujenga vibanda zaidi ya 700 kwa ajili ya Wamachinga kufanyia biashara.
Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi...
Naibu msajili wa vyama vya siasa, Sisty Nyahoza amesema katika uhakiki wa vyama vya siasa unaoendelea nchini wamegundua vyama vingi havihifadhi fedha za chama benki badala yake wanatumia njia za kienyeji kuhifadhi mapato ya vyama vyao.
Nyahoza amesema sio utaratibu wa kisheria na amevitaka...
Nawasalimu wanajukwaa!
Natatizwa na Jambo kuhusu mkopo wa benki Fulani, itakapolazimu nitaitaja.
Mimi ni mtumishi wa umma ktk halmashauri Fulani, nimeomba mkopo wa wafanyakazi kwa makato ya sh 138000 kwa Kila mwezi kwa muda wa miaka 8.
Ukizidisha sh 138000 kwa miaka 8 ni jumla ya sh isiozidi...
Ule ushauri wa mabenki na makampuni ya simu kwamba Namba yako ya siri ni siri yako usimpe hata unayemwamini ni mbaya sana!
Ukitaka kujua ule ushauri ni mbaya fatilia mirathi ya ndugu ndipo utajua ulikuwa hujui!
Hata ukifuata taratibu zote za mirathi usumbufu uko palepale,
kwanza usumbufu...
MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Buriani ameagiza Halmashauri zote kuwa na Benki ya Tofali kwa kila Kijiji.
Alisema hatua hiyo itasaidia kukabiliana na upungufu wa vyumba vya madarasa pindi muda wa wanafunzi wanapotakiwa kijiunga na Darasa la Kwanza ama Kidato cha Kwanza.
Balozi Dkt...
Wakuu habari,
Jana nilikuwa nahitaji kumtumia Mtu Account namba yangu ili anitumie pesa nikatoe, hii yote ni katika kupunguza gharama ya Makato.
Nikamuandikia SMS, mimi natumia mtandao wa Tigo, niliandika Majina kamili, jina la bank husika na namba ya Account cha ajabu kila nikituma ile SMS...
Nilienda kununua vocha ya shs 5,000.00 pale Telephone House, ile natoa pesa naambiwa nipewe control number nikalipie benki.
Jamani hii ni biashara au huduma na huku wanadai rudi nyumbani kumenoga.
Hebu wajirekebishe.
Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi.
Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%.
Binafsi napongeza hizi hatua za...
Miaka ya nyuma nilikuwa napokea fedha kupitia EMS(HAWALA YA FEDHA)
Baadae nikafungua akaunt benki ya posta na sasa kuna MPesa and the likes.
Je wachumi wamewahi kufanya analysis ya kiasi cha fedha kilichochepushwa kutoka mfumo wa kibenki kwenda mfumo wa simu??
Hivi ni kwa nini benki yetu ya...
Kampuni zinalalamika maana yake serikali haikushirikisha wadau muhimu
Wananchi wanalalamika maana yake wabunge waliagizwa na nani kufanya yale
My Take
Rais ajiuzulu
Hizi Taasisi kubwa kama IMF na Benki ya Dunia huwa wana taratibu za kujidhihirisha kabla ya kumpokea mgeni kutoka nchi fulani ambae huteuliwa kuwa waziri wa fedha.
Dr Phillip Mpango ni mwenyeji katika taasisi hizi za fedha duniani.
Ukiongelea masuala ya uchumi na Dr Mpango hupati shaka kwamba...
Natumaini Jumapili inaenda vyema kwa kila mmoja wetu huko alipo.
Kwa wale amabao haiendi vizuri poleni na zidisheni kumuomba Mungu.
Waheshimiwa nina swali.
Mtu kama ulikopa pesa benki "A" bila dhamana yoyote kwa kuwa ulikuwa unapokea mshahara kupitia benki hiyo, na bahati mbaya kutokana na...
Ajira kwa vijana Tanzania imekuwa changamoto endelevu inayohitaji mbinu mbalimbali za utatuaji. Jitihada kutoka kwa serikali na sekta binafsi zinahitajika ili kuweza kutatua changamoto hii ya arija kwa vijana. Mara nyingi wataalamu mbalimbali wametoa angalizo juu ya ongezoko la vijana wasio na...
Kufanya miamala kwa kutumia M-PESA , Tigopesa , Aitel Money, Halopesa nk ni gharama sana hasa kwa maisha ya Mtanzania.
Siku hizi karibu kila mtu ana akaunti number ya benk, na matawi ni mengi sana nchi nzima. Hata Wakala wa NMB, CRDB wametapakaa kote nchini.
Ni njia rahisi na bei yake ni ndogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.