Benki ipi haina makato makubwa sana?

Nimetumia benki za wanainchi posta, nmb,... crdb. hii ya mwisho usijaribu kama una ishu za kuunga unga unaweza Kuta balansi negativu... Ila kesho nitakutafutia makato Yao utanisamehe nafukuzana na kamseleleko, Kuna mwana ana Bday sasa Bia zinakuja kwa Kasi napoteza pointi kwa kutaipu....
Hyo bank uloisema hapo n ya kishenz sana. Kuna kipindi walikujaga skuli wakajinasibu eti wanafungua account bure, heee cku nmeweka hela wakakata 30k duuuh nlinyoosha mikono
 
Nimetumia benki za wanainchi posta, nmb, crdb. hii ya mwisho usijaribu kama una ishu za kuunga unga unaweza Kuta balansi negativu. Ila kesho nitakutafutia makato Yao utanisamehe nafukuzana na kamseleleko, kuna mwana ana Bday sasa Bia zinakuja kwa Kasi napoteza pointi kwa kutaipu.
Asnte sana mkuu
 
Kibubu bank hakina makato hata 0.00% unavyoweka ndo utakuta hivyo mkuu achana na hizo zenye makato pesa yako alafu wakate hamia kibubu bank utakuja nishukuru^
 
Equity bankView attachment 1935645
IMG_20210715_201939.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom