benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo

    Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo; AWAMU YA 6 KAZINI Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (KM 112.3) Benki kufadhili zaidi ya miradi 11 ya sekta...
  2. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Benki zingatieni ili kutuepusha na matapeli

    Tunaziomba Benki kuweka utaratibu uliokuwa bora na sahihi kwenye ATM asa kwa watu ambao watasaidia kuwaelekeza watu ambao hawana uelewa mpana wa matumizi ya ATM. Nayasema haya kwa maana juzi juzi tu hapa kuna mzee aliingia ATM kutoa ela ila baada ya kuchelewa kutoka kuna kijana alijitokeza...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Amejenga hii bila mkopo wa benki, ilimchukua miaka nane kumaliza

    Ni apartments
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Waliokopa hela Benki kujenga ma guest Chato, viwanda, nyumba za kupanga wanahaha, wanahonga wanasiasa ili Chato iwe Mkoa hela irudi

    Wale wawekezaji wa michongo Sasa wanahaha, Chato Ina magesti house mengi saana na yamejengwa kwa mikopo, wengi waliojenga walitarajia mzee angekaa madarakani miaka mingi sana. Kuna makumi ya magesti hayajaisha, mengine yameisha. Sasa yale yalioisha hayana wateja kabisa, yale yaliyokuwa...
  5. Mparee2

    JamiiForums Tanzania GAWIO/ITEREST KWENYE BENKI -KUNATATIZO

    Tulisha zoea kuwa mtu akiweka fedha bank zinawekewa Riba itokanayo na Bank kufanyia biashara hizo fedha kama kukopesha, bonds nk ambapo hiyo faida pia ndio hutumika kuendeshea Bank. Kwa maana hiyo fedha za mteja hubakia kama zilivyokuwa au pengine kuongezeka kidogo; Kwa sasa naona hali ni...
  6. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Benki zitathmini gawio wanalotoa kwa mawakala, wanafanya kazi kubwa

    Nimekuwa nikifuatilia hizi huduma Ni ukweli kuwa, kuna watu wengi wamehamia kufanya huduma zao kwa wakala hasa walioko kwenye bank yetu pendwa na kuacha kabisa kwenda Bank na hata kama wakala yupo mlangoni mwa bank. Nafikiri Bank inatakiwa KUJITADHMINI HUDUMA ZAKE na sio kuacha kutoa gawio...
  7. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
  8. init

    JamiiForums Tanzania Uchakavu wa noti uliokithiri katika mkoa wa Iringa na Njombe, je Benki kuu inaweza kuwa na mchango kulikabili hili?

    Awali ya yote nipende kumshukuru yeyote atakaye nusa au kuuweka machoni uzi huu. Nime kuwapo katika mikoa tajwa apo juu kwa vipindi tofauti tofauti. Katika vipindi hivyo vyote nimekuwa shuhuda wa tatizo hilo, noti zinazotumika katika mikoa tajwa zina hali mbaya. Kwa tizama yangu sabubu kuu ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Riba ya mikopo benki itashuka lini?

    Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%. Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16% Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya. Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ni Bank gani yenye sofa hizi?

    Ni bank gani hapa Tz Inakuwezesha kufungua USD Account isiyo na makato ya kila mwezi ( without monthly maintenance fees). Inatoa internet banking services kwa haraka bila kuwafuatafuata tawini. Recommendations pls!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Benki ziongeze kiwango cha kutoa pesa ATM, 400K at once haitoshi

    Wakuu, Sijajua sababu ni nini hasa iliyopelekea benki nyingi hapa nchini kuweka limit katika utoaji wa pesa kupitia ATM mashine kwamba mkupuo mmoja uishie laki 4. Hii naona ni usumbufu kwa wale watoaji wa pesa zaidi ya laki 4. Kuna shida gani kiwango kikiongezwa? CRDB, NMB, NBC na bank...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naweza vipi Kupata API ya benki ya NMB.

    Wakuu nina ofisi inayonajishughurisha na software development, Juzi nimepata mteja ambaye anataka "School Management System" lakin anataka malipo yakifanyika kwenye account ya shule yaonekane kwenye system. Na hili ili liwezekane nilazma nipate API ya bank ya account husika. Kama kuna mtu...
  13. jian

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata eneo zuri la biashara ya uwakala wa benki Iringa Mjini

    Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa kupata haki toka Benki ya Posta

    Habari zenu wakuu,nina ndugu yangu amestaafu kwa hiyari tangu miaka minne iliyopita,Huyu ndugu yangu alipokuwa kazini alikopa kiasi fulani cha pesa toka TPB lakini huu mkopo alifanikiwa kuulipa wote kipindi yupo kazini,lakini tatizo likajitokeza kipindi mafao yalipotoka kwani kile kiasi cha...
  15. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imelazimika kuahirisha kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya shahidi wa 10, Francis Mrosso kudai kuwa anajisikia vibaya. Leo Novemba 24, 2021 shahidi huyo wa Jamhuri...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Cheki ya benki ya GSM to TFF ya uongo ya kitapeli, tumeibiwa Watanzania

    Binafsi namshukuru sana msemaji wa utopwinyo kwa kutustua wana simba kwamba Mo dewji kaitapeli FCC na simba sc baada ya msemaji huyo wa yanga kuitisha press conference iliyokuwa na ma banners yenye nembo za Gsm na Utopolo fc na kusema ile cheque ya Mo dewji ni ya kitapeli ni ya mfano lakini...
  17. KingOligarchy

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukienda Benki Hela yako huwa unaikuta wakati unasikia Benki inakopesha hela zako?

    Swali moja la Kizushi! Umeshawahi kujiuliza unapoweka hela benki, benki inafanyia nini Hela zako? Na je, kama inatumia kwenye kazi nyingine, je kwanini ukienda kuwithdrawal unaipata? Kuna Majibu mengi sana ndani mwake lakini Hii kuensure liquidity ya Bank inafanya na Kitengo kimoja Hatari...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB boresheni muonekano wa Mobile App yenu

    Kwakweli naomba niseme tu SIMBANKIG Mobile Application ya CRDB,imekosa mvuto kulinganisha na ya washindani wao wakubwa wa kibiashara ingawa mtu unapata huduma unayohitaji kupitia hiyo App. Kwa mtazamo wangu, tatizo ninaloliona linatokana na rangi wanazotumia CRDB ambazo ni nyeupe na kijani...
  19. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Bosi wa benki ya dunia kuja kuonana na Rais Samia

    Bosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia. Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila...
  20. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wasanii na Watu wanaoonyesha Vitu vya Thamani Mtandaoni Kuchunguzwa na Mamlaka ya Mapato

    Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) inawafuatilia watu wanaochapisha vitu vya anasa kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuwabaini watu wanaokwepa kodi. Mchapisho yanayoonesha magari ya anasa, majumba ya kifahari, na sherehe (parties) wanafuatiliwa na maafisa wa KRA...
Back
Top Bottom