benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zaiomba Benki ya Dunia msaada wa Tsh. Trilioni 231.9 kukabiliana na Corona

    Wakuu wa nchi 13 za Afrika wamekutana Abidjan nchini Ivory Coast na kufanya mazungumzo ya jinsi ya kuhuisha uchumi kutokana na athari za virusi vya corona, kuongeza uwekezaji na upatikanaji wa ajira. Mkutano huo umefunguliwa na Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast aliyetoa wito kwa Benki ya...
  2. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Benki tumieni fursa hii ya kupanda kwa gharama za kutoa fedha kwenye mitandao ya simu

    Hii ni fursa nzuri kwenu, kwani gharama za kutoa pesa kutoka benki hasa ATM ni nafuu sana Nimesikia taarifa isiyo rasmi kwamba pesa iliyokuwa kwenye mzunguko wa hii mitandao ya simu ilikuwa ishaipuku baadhi ya benki nchini Kama ndiyo tumieni fursa hii kujiimarisha hasa kwa kuja na mikakati...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kutuma fedha kupitia mitandao kwa sasa ni ghali

    Gharama ya kutuma fedha kupitia mitandao kwa sasa ni ghali mno na inatukatisha tamaa. Kutuma mathalani Tshs.1m/= kwa anayetuma anakatwa Tshs.16,000 na anayepokea anakatwa Tshs.14,000. Hivi kweli ni haki?. Kwa Mtanzania wa kawaida kiasi hicho anaweza kununua madebe matatu ya mahindi kwa ajili...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbatia ataka majina ya waliofisadi mabilioni ya Benki kuu yawekwe hadharani, asema wale waliosimamishwa Hazina ni dagaa tu

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia ameitaka serikali kutaja hadharani majina ya waliofisadi mabilioni ya fedha za benki kuu yaliyotajwa katika ripoti ya CAG. Mbatia amesema kuwasimamisha maofisa wachache wa wizara ya fedha waliogawana fedha hizo kama posho haitoshi, wale ni dagaa tu...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ushawahi toa pesa UTT-AMIS kupitia benki tofauti na CRDB/NMB?

    Tupeane uzoefu ilikuchukua siku ngapi kuzipata kwenye account?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Benki zinatakiwa kuwa kichocheo kwa maendeleo ya sekta binafsi

    Katika miaka ya hivi karibuni tatizo la ajira limeendelea kuwa changamoto kubwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika Mashariki, na serikali zimekuwa zikifanya juhudi katika kuhimiza vijana kutotegemea ajira za serikali au makampuni peke yake, kutokana na ufinyu wa idadi ya ajira kwenye maeneo hayo...
  7. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa benki zitanue 'ukomo' wa kutoa pesa kwenye ATMs, milioni moja haitoshi

    Ndugu zangu! Sijui vigezo walivyozingatia kwenye kuweka ukomo huo, lakini itoshe tu kusema zama zimebadilika sana. Enzi hizo milioni iliitwa 'shitabalwa' [uncountable], na ilitosha kwa mambo mengi kwa walio wengi. Tofauti kabisa na leo ambapo milioni MOJA unaweza kukaa kaunta tu ikayeyuka...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya miezi mitatu (Januari-Machi) ya Benki Kuu kutoka kwa CAG

    Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia. Chanzo: ITV
  9. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ina taarifa kuwa Mabenki yanapunguza na kufukuza wafanyakazi?

    Waziri anayehusika na kazi anayo habari kuwa mamia ya wafanyakazi katika mabenki mbali mbali hapa nchini wamepoteza ajira kwa kufukuzwa? Walianza Access, Finca na sasa Stanchart na mengine binafsi isipokuwa yanayomilikiwa na serikali. Kibaya zaidi wafanyakazi wanalipwa mafao duni na wengine...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wakala wa benki alinifanya niishi katika lindi la ufukara, sasa zamu yake

    Habari! Nitasimulia kwa ufupi kisa hiki kisichosisimua ila kinafundisha. Mwaka 2016 nilitembelewa na huyu wakala wa benki kazini. Akanishawishi nikakopa pesa kwa mara ya kwanza. Niliikopa pesa kwaajili ya kujiendeleza kielimu na nyingine nifungue biashara. Bahati mbaya sikujaza vizuri...
  11. Kifaru TANZANIAN

    JamiiForums Tanzania Natoaje pesa kwenye benki zilizofungiwa?

    Naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benk zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community.
  12. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Serikali ijikite kukusanya kodi, iachane na mikopo ya kubembelezewa na Benki ya Dunia kuhusu COVID 19

    Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo. Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki zapewa siku tatu kurejesha vitakasa mikono katika ATMs

    Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza miongozo yote iliyotolewa kwa umma kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya CORONA (COVID - 19), izingatiwe. Mkurugenzi wa Idara ya Kinga wa Wizara hiyo, Dkt. Leonard Subi amesema Tanzania ni salama hata...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Changamoto za Utawala bora kwenye Nchi zinazoendelea

    Kuchelewa kwa maamuzi ya Kimahakama Kuharamishwa kwa shughuli za Kisiasa Kutokuwa na Ushirikiano kati ya Asasi za Kiraia na Serikali
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

    Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo minne yenye masharti nafuu yenye jumla ya dola za Marekani bilioni 1.017 (sawa na shilingi trilioni 2.3391) kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe...
  16. Chomo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamishwa kiwango cha makato ya ATM card benki ya NMB

    Binafsi natumia account ya nmb chap chap, ambayo tulifunguliwa kwa msaada wa kampuni mahala tunapofanyia kazi. Maafisa wa benki wakati wanaipigia chapuo tender hii walituambia makato ya nmb chapchap ni kwa kiwango cha sh,1150 pasi na malipo ya mwisho wa mwezi ukilinganisha na account zingne...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki ya KCB yazidi kupata faida

    KCB Group Plc recorded 1.8 percent growth in net profit for the three months period to March 31 amid the adverse effects of the Covid-19 pandemic. The regional lender, which is listed on the Nairobi Securities Exchange (NSE), increased its profit after tax (PAT) to Ksh6.37 billion ($59.53...
  18. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hujuma? Mwezi sasa wafanyakazi hawapewi mikopo yao kisa mfumo haufanyi kazi

    Ni takribani mwezi sasa wafanyakazi walioomba mkopo benki hawapewi pesa kwa kile kinachodaiwa ni mfumo wa mawasiliano kati ya benki na mwajiri kuwa na hitilafu. Hoja hapa ni je, huo mfumo pia umechezewa ili kumchonganisha mama na wafanyakazi? Na kwanini mamlaka inayohusika na mfumo huo haitoi...
  19. mandingo 94

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 1 nifanye biashara gani kwa siku nipate 12,0000/= faida?

    Habari za majukumu ndugu zangu kijana mwenzenu nipo mbele yenu kwa ushauri wenu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni mkazi wa Dar maeno ya Kitunda umri wangu 27 Mama yangu kanipa milioni 1 nifanye biashara ambayo itanipa faida ya kukizi mahitaji yangu madogo. Naombeni ushauri wenu ni...
  20. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya kuchukua salary advance

    Tangu utaratibu wa kuchukua salary advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana. Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi...
Back
Top Bottom