Bendera ya CHADEMA ina rangi nne: Nyeusi, Bluu isiyokoza (light blue), nyeupe na nyekundu.
Bendera ya CHADEMA ina nembo ya kiganya cha mkono kilichonyoosha vidole viwili katika mfumo wa V kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni chama kinacholenga kushinda kidemokrasia na hatimaye kuleta ushindi wa...
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa amri ya bendera ya nchi hiyo kushushwa nusu mlingoti kwa siku tatu mfululizo, kuomboleza vifo vya Wamarekani waliokufa kutokana na virusi vya corona.
Trump ameamrisha hatua hiyo, baada ya idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID-19 kukaribia 100,000...
Kenya tupo kwenye Pool B, pamoja na S.Africa, Ireland na Canada. Sheria zimerejea kama zilivokuwa hapo awali, baada ya malalamishi kutoka kwa mashabiki kote duniani. Timu mbili zitakazo ongoza kwenye pool zao zitaingia moja kwa moja kwenye nane bora. Shujaa, timu ya Kenya Raga7s ilitua Kenya...
Natafakari tu zile mbwembwe za Mh Mwigulu na mwenzie Kangi Lugola kuivaa bendera ya taifa kama kielelezo cha uzalendo uliotukuka.
Kwa bahati nzuri wawili hawa walipitishwa katika kipimo kimoja kuthibitisha uzalendo wao na wote wamefeli na hawaivai tena ile bendera ya taifa wamebakia kuikodolea...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Aandika barua ya Kujiuzulu.
Rais Magufuli akiwa anahutubia wakati wa ufunguzi wa nyumba za Askari Magereza, amesema kwamba..
Nampongeza sana Meja Jenerali, Kingu ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuwajibika kwamba ametambua. Na...
Ndugu wana JF,
Ninaswali ambalo nimekuwa najiuliza kwa muda bila kupata jibu.
Je ni kwa nini Bendera upandisha asubuhi - saa 12, na ikifika jioni saa 12 ushushwa?. Yawezekana wengi mnafahamu ni kwa nini, hivi msinihukumu kwa kutokujua kwangu, bali mnipe jibu.
Nawakilisha.
Nimekuwa nikijaribu kutafakari sana lakini imefikia niyaweke haya wazi! Kitu kama bendera ni tunu muhimu sana kwa nchi! Lakini nikipita mtaani naona mauzauza sana hasa ktk aina za rangi na nakshi ktk bendera yetu murua hii ya Tanzania.
Naomba mnisaidie kama haya ni shida ya macho yangu tu au...
Mzuqa,
Juzi tuikio la ajabu lilitokea Tehran Iran ambapo waandamanaji wanaopinga utawala wa Ayatollah walikwepa kukanyaga Bendera za Marekani na Israel walipokuwa wanaandamana kupinga utawala dhalimu wa Ayatollah na kumshinikiza ajiuzulu.
Ni kawaida Iran kuchora bendera za Marekani na Israel...
Katika hali isiyo ya kawaida na isiyotarajiwa Iran imepandisha bendera nyekundu ikiashiria ishara ya vita kuu.
Kikosi cha mapinduzi ya kiislam kimeapa kulipa kisasi na kutoa jibu kali kwa Marekani. Tujiandae kushuhudia moto ukiwaka.
Taarifa zaidi;
Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran imepandisha...
Wana jamvi naamini hamjambo wote
Wakati tunasubiri kuzaliwa kwa bwana wetu yesu kristu kwa wale wakristu ebu tujaribu kufikirisha bongo zetu na mada hii hapo juu. Ukisoma isaya 18 yote ni fupi tu kuna habari ya kusisimua ya nchi iliyoweka bendera yake juu ya nchi na kitabu chenyewe ni cha...
Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho.
Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa.
Chanzo: Mwananchi
Nianze na swali: Hivi unaweza kupeperusha bendera ya taifa mahali uishipo hata ikiwa wewe si kiongozi mtaani?
Nakumbuka wimbo ufuatao tuliimba chekechea, ile iliyoko pale karibu na 'Holofea' kama tulivyozoea kupatamka:
Bendera ya Tanzania,
Ndio ya kujivunia,
Ilianza kupepea,
Mwaka sitini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.