Hakuna wa kumshinda Nyalandu hapo Ufipa!
Mkuu hizo ni kura za awali, japo matamanio yako ni Lissu kutokurudi. Kwanza ufahamu Lissu harudi kwa ajili ya kugombea urais maana sio mkimbizi wa kisiasa, bali anarudi baada ya matibabu. Isitoshe mkutano wa mwisho bado, na hata cdm wakikosea wakampitisha Nyalandu, basi watakuwa wamejikaanga wenyewe. Sisi wapiga kura wengi wa upinzani hatuna imani na mwanaccm yoyote, bali tuna imani na Lissu.
Kwahiyo hao wajumbe wawe makini na maamuzi yao, maana sisi wapiga kura wa upinzani tunajitambua, na hatukoa tayari kurudia kosa la Lowassa.
Maajabu ya Dunia ccm kufurahia demokrasia ya Chadema. Wakati mlishindwa hata kuwakaribisha kwenye ufunguzi wa jengo ya NEC , Uchaguzi house pale DodomaMkuu pole mambo ya demokrasia hayo!
Ujue na ww unataka tu ujumlishwe kwenye vitu vya hovyo hovyo...hv kwa akili yako unamsikiliza mtu wa lumumba??? Apate taarifa sahihi kutoka wp ?¿ Hao wanapiga ramli tu na ujue wenzio wakiandika upupu Kama huu wana b7 zao....kwnn unajitesa na ngoma za lumumba mkuu??Mkuu hizo ni kura za awali, japo matamanio yako ni Lissu kutokurudi. Kwanza ufahamu Lissu harudi kwa ajili ya kugombea urais maana sio mkimbizi wa kisiasa, bali anarudi baada ya matibabu. Isitoshe mkutano wa mwisho bado, na hata cdm wakikosea wakampitisha Nyalandu, basi watakuwa wamejikaanga wenyewe. Sisi wapiga kura wengi wa upinzani hatuna imani na mwanaccm yoyote, bali tuna imani na Lissu.
Kwahiyo hao wajumbe wawe makini na maamuzi yao, maana sisi wapiga kura wa upinzani tunajitambua, na hatukoa tayari kurudia kosa la Lowassa.
Tatizo la kukurupuka, angalia hiyo video Nyalandu akiongea alivyopata kura zote akifatiwa na Lissu. Ushabiki unawaletea ujinga vichwani.Ujue na ww unataka tu ujumlishwe kwenye vitu vya hovyo hovyo...hv kwa akili yako unamsikiliza mtu wa lumumba??? Apate taarifa sahihi kutoka wp ?¿ Hao wanapiga ramli tu na ujue wenzio wakiandika upupu Kama huu wana b7 zao....kwnn unajitesa na ngoma za lumumba mkuu??
Hata Kama ameongoza kura za kamati kuu...lkn wenye kauri ya mwisho ni wajumbe wa mkutano mkuu...upo??Tatizo la kukurupuka, angalia hiyo video Nyalandu akiongea alivyopata kura zote akifatiwa na Lissu. Ushabiki unawaletea ujinga vichwani.
Hv unadhani Lissu na yy angekuwepo kwenye hicho kikao nyarandu angeongoza kura za maoni??? Mtu amepewa tu moyo lkn subiria mkutano mkuu uone anavyokarishwaHivi hawa the so called wajumbe ni nani aliyewaroga?
Kwakweli nimeshangaa sana Tundu Lissu kuzidiwa kura ndani ya CHADEMA? Sio fair kabisa, Huyu Mbowe tuanze kumtazama kwa jicho la tatu.
Utashangaa siku ya kufika Lissu nchini yeye atakuwa zake na viongozi wa CCM kwenye msiba wa Rais Mkapa.
Nimemshangaa sana Tindo. Anaingizwa choo cha kike na hawa wahuni tuUjue na ww unataka tu ujumlishwe kwenye vitu vya hovyo hovyo...hv kwa akili yako unamsikiliza mtu wa lumumba??? Apate taarifa sahihi kutoka wp ?¿ Hao wanapiga ramli tu na ujue wenzio wakiandika upupu Kama huu wana b7 zao....kwnn unajitesa na ngoma za lumumba mkuu??
Mtaweweseka sana lkn Lissu ndo mgombeaNi ajabu sana Chama kamati kuu ya CHADEMA inaamini kuwa Nyalandu ni bora kuliko Lissu
Sasa kama kamati kuu yenyewe haiamini kuwa Lissu hastahili kuwa namba moja kwenye urais, kwa nini sisi wananchi tuamini kuwa yeye anafaa kuwa Rais?
Hizi kura za kamati kuu zimetuma meseji kwa wananchi na kwa Wanachadema wote kuwa Uongozi wa Chadema hauamini kuwa Lissu hafai kuwa rais.
Huelewi kitu unaongelea ushabiki, Lissu asipopitishwa kugombea uraisi na CDM utafanyaje?, Watu wapo kimaslahi zaidi nyie mnaleta ushabiki wa Simba na Yanga.Hv unadhani Lissu na yy angekuwepo kwenye hicho kikao nyarandu angeongoza kura za maoni??? Mtu amepewa tu moyo lkn subiria mkutano mkuu uone anavyokarishwa
Mtaweweseka sana lkn Lissu ndo mgombea
ujio wa Lissu naona watu wame panick kinyama yaani.