bendera

  1. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Chama cha Mapinduzi ni kinga? | Bendera ya CCM ni mbadala wa "Plate Number"?

    Hii inamaanisha nini? Wanaofanya hivi wanajua Askari wa Usalama barabarani lazima "atamezea" kosa lolote watakalolifanya barabarani kwasababu ni gari la chama Je, wahalifu hawawezi kutumia mwanya huu wakajinufaisha? Kwanini CCM waache chama chao kitumike namna hii? FYI: Ukiachana na gari...
  2. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kwa hali aliyonayo Bernard Membe, Kikwete alikuwa sahihi huyu hakustahili kupeperusha bendera ya CCM hata kidogo

    Mhe. Kikwete alikuwa sahihi kukata jina la Membe 2015 kuwa mgombea urais kupitia CCM kwa kweli hana ushawishi wala mvuto wowote kwa watanzania, Kama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za...
  3. Idd Ninga

    JamiiForums Tanzania Sheria inayolinda bendera ya taifa, adhabu za papo kwa papo bila ya Mahakama

    Wengi hatufahamu sheria inayotumika katika kuilinda bendera ya taifa na kuiheshimu. Wakati wa ushushwaji wa bendera watu hutakiwa kusimama lakini pia wengi hawafahamu kuhusu hilo wala sababu ya uwepo wake. Kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni kweli mtu anatakiwa kusimama wakati wa ushushaji na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maharamia wa Somalia waiteka meli yenye bendera ya Panama

    Maharamia wa Somalia wameiteka meli ya yenye bendera ya Panama-iliyokua ikisafiri kutoka Muungano wa Kiarabu ikielekea kwenye bandari mjini Mogadishu. Meli hiyo ilishambuliwa usiku wakati wahudumu wake walipokua wamelala. Shirika la habari la Anadolu limewanukuu maafisa wa jimbo lililojitenga...
  6. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA hofu yatanda: Wajuta kumpendekeza Lissu kuwa mgombea Urais, Nyalandu ana ukwasi na sifa za kupeperusha bendera yao

    Baada ya wajumbe kutathini mwenendo wa namna bw. Lissu anavyotafuta wadhamini huko mikoani, hofu na giza kuu limetamalaki hapo UFIPA, baada ya kuona muda wote Lisu ni mtu wa kutukana Serikali iliyopo madarakami na kushawishi wananchi waingie barabarani pindi jina lake lisiporudi kwa ajili ya...
  7. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riadha zarejea kwa kishindo; Wakenya Helen, Faith na Cheruiyot wang'aa na kupeperusha bendera ya Kenya kwenye 2020 Diamond League Monaco, Ufaransa

    Baada ya muda mrefu hatimaye calendar ya mashindano ya riadha duniani imeanza tena. 'First leg' ya 2020 Diamond League(DL) ilianza kule Monaco, Ufaransa ijumaa hii. Protokali zote mpya za COVID-19 zilizingatiwa, huku mashabiki 5,000 tu wakikubaliwa kwenye ukumbi wenye capacity ya watu 16,000...
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 A coincidence or a highly calculated move? Bernard Membe kupeperusha bendera ya upinzani kwenye uchaguzi

    Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa Lakini kuna Gentlemens' Agreement miongoni mwa vyama vikuu viwili vikubwa vya upinzani. Haisemwi, haiandikwi, haiwekwi wazi lakini ndio...
  9. Gerald .M Magembe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kupeperusha bendera ya CHADEMA ni kukiua chama

    Kampeni za chama zimeisha na tayari chama kimempata mgombea ambaye ni Tundu Lissu. Tunampeleka kwenye mkutano mkuu na naamini atapata baraka za mkutano mkuu. KAZI ZINAZO FUATA NI KUMUUZA MGOMBEA NCHI NZIMA Mgombea wetu amaleta msisimko mkubwa kwa wanachama wa Chadema na hasa wajumbe. Hali hii...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Rais Mkapa: Kwa nini Ubalozi wa UAE Tanzania haujashusha bendera nusu mlingoti?

    Serikali na Wizara ya Mambo ya Nchi za nje ulitoa mwongozo juu ya suala la kushusha nusu mlingoti bendera zote kwa Balozi zote za nie zilizopo hapa Tanzania kutokana na Msiba huy wa kitaifa tulio nao. Ubalozi wa Falme za Kiarabu hapa Tanzania bendera zake bado zio juu kabisa toka msiba wetu wa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM inaweza kuchukua mtu aliyekuwa wa mwisho kwenye kura za maoni apeperushe bendera?

    Kwa utaratibu uliowekwa na CCM kwa wagombea kutofanya Kampeni kwenye kura za maoni,ni wazi sasa wote waliopata kura moja au sifuri ndio ambao hawajatoa rushwa au kukutana na wajumbe. Swali ni je CCM ambayo huchukua mshindi wa kwanza hadi wa nne,inaweza kuvunja utaratibu mwaka huu na kuchukua...
  14. King JiluX

    JamiiForums Tanzania Membe, Tundu Lissu si karata sahihi kupeperusha bendera kupitia Muungano wa Vyama vya Upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Naomba nianze na salamu wana jukwaa la siasa. Hapa jamvini jamii Forum. Kutokana na kipindi tulichopo(kuelekea uchaguzi mkuu 2020) kumekuwa na majina mengi ya wagombea nafasi ya urais hasa kupitia upinzani ambako ndiko jicho la ushindani wa kupewa nafasi lipo huko (CCM alipita bila kupingwa)...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mamlaka ya uteuzi kuhusu atakayepeperusha bendera ya CCM jimbo la Rorya

    Zaidi ya wana CCM 40 wametia nia na kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi wa Oktoba, 2020. Mmojawapo wa watia nia na aliyechukua fomu leo ni Ndugu Lameck Okambo Airo ambaye mwaka jana alielezea umma kuwa hatagombea tena katika uchaguzi unaokuja mwaka huu...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

    Wanabodi, Declaration of Interest. Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bendera ya Taifa iongezwe rangi nyekundu

    Wako watu kama akina Mkwawa, Kinjekitile, Isike na wengine ambao waliomwaga damu zao wakati wa kuitetea nchi hii. Kupinga dhuluma na fedheha za kutawaliwa. Lakini wapo Watanzania hadi leo ambao wanamwaga damu zao kuilinda nchi hii na kupinga dhuluma na kutetea misingi ya kidemokrasia na utawala...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Magereza ni wazalishaji na tuliwaunga mkono ili wapandishe bendera za CCM mitaani na risiti ya malipo tunayo

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amelitolea ufafanuzi tukio la wafungwa kupandisha bendera za CCM huko Dodoma. Polepole amesema kama ilivyo kwa JKT na JWTZ hata jeshi la magereza linafanya uzalishaji na CCM iliamua kuwaunga mkono kwa kununua Huduma ya nguvu kazi na risiti ya malipo ipo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania BAVICHA msiwe wavivu,msiwe kama wao. Jukumu la kupeperusha bendera ni letu si lakukodi watu

    BAVICHA kazi zetu za kila siku za SIASA na UJENZI wa CHAMA zianze kufanywa na WAFUNGWA?, Hata mwenyekiti akitutenga na kuteua kutoka CCM sisi tusikubali kugoma na kuwaachia wazee wakakodi wafungwa. Jukumu la kukijenga chama na kupeperusha bendera za chama hai Cha siasa ni la vijana. Suala la...
Back
Top Bottom