Kwa msuguri; Traffick wamesimama pembeni kila basi linalotoka Mbezi linasimama wanaweka 3000 kwenye karatasi hii ni aibu babisa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Hii ni zaidi ya hanta virus

Yaan niko kwenye basi tumepaki kama basi sita
Zinapeleka 3000@
Konda anashuka anamwambia dereva ngoja tupeleke 3000 zao

Anafika anakabidhi anaondoka bila aibu kabisa mnatupeleka wapi

Vipi sisi wa magari binafsi mnatuachaje ama ndio mwendo wa 30,000
 
Amuamini pelekeni watu AWANA uwogaa kabisa
 
Au nawapa dollar zilizopita miaka wanapokea wakienda kuchenji wanaambiwa hizi hazitumiki tena wanabaki na labda

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
HII N ZAIDI YA HANTA VIRUS
YAAN NIKO KWENYE BASI TUMEPAKI KAMA BASI SITA
ZINAPELEKA 3000@

KONDA ANASHUKA ANAMWAMBIA DREVA NGOJA TUPELEKE 3000 ZAO

ANAFIKA ANAKABIDHI ANAONDOKA BILA AIBU KABISA MMNATUPELEKA WAPI

VIPI SISI WA MAGARI BINAFSI MNATUACHAJE AMA NDIO MWENDO WA 30" 000
ALISEMA "MUNGU" WA TANZANIA KUWA

1. Polisi wakiua wasishitakiwe
2. Elfu 5 ni za kubrashi viatu!
 
HII N ZAIDI YA HANTA VIRUS
YAAN NIKO KWENYE BASI TUMEPAKI KAMA BASI SITA
ZINAPELEKA 3000@

KONDA ANASHUKA ANAMWAMBIA DREVA NGOJA TUPELEKE 3000 ZAO

ANAFIKA ANAKABIDHI ANAONDOKA BILA AIBU KABISA MMNATUPELEKA WAPI

VIPI SISI WA MAGARI BINAFSI MNATUACHAJE AMA NDIO MWENDO WA 30" 000
hela kupiga viatu burashi kama alivyosema mzee baba wao!
 
Kila pahala hyo mbona hyo inaitwa kununua njia... Usishangae ukaongozana na daladala unaona zinatanua tunila woga ndio mambo hayo...

Ila bora efu 3 kuliko efu 30..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaaa mPWAA HILI CHAKA LA KUTANUA SINA HAMU NILIFWATAA DALADALA SIKUMOJA ZIKAPITA NKAPIGWA MKONOO NKAULIZA LILIE BASI NI AMBULANCE...
 
Za kubrashia viatu baada ya abiria kuadimika kiasi cha kupelekea idadi ya mabasi ya mikoani kupungua.

Back
Top Bottom