Katika Mataifa ya kusini mwa Africa huwa nawahofia SA wenyewe, Zambia na Angola. Hawa waliobaki kama Botswana, Namibia, Malawi ni saizi yetu. Msumbiji wana utata kidogo lakini si kivile.
=========
TANZANIA imefufua matumaini ya kwenda Robo Fainali ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika...