DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

kilalye

Member
Feb 22, 2023
21
14
Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa.

Tunamshukuri Mungu kwa kutupa Rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubariki mama yetu. Neno haki halijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki huinua Taifa.

Rais Samia ni ombi letu Sasa kwako sisi walimu wa wilaya ya Chamwino ilipo ofisi yako(ikulu)tuna kiongozi wetu ambaye ni afisa elimu wilaya(msingi) Zainabu Kishegwe anatunyanyasa Sana.

Ni katili ni dikteta hana msaada kabisa sio kwa walimu wa kawaida hata viongozi, ana kundi lake la watu wachache sana anaofanya kazi nao na hasa wale ambao wanahusiana na mambo ya fedha.

Nimeona nikueleze wewe mwajili wetu moja kwa moja kwasababu amejitengenezea connection pale Tamisemi hagusiki lakini sisi walimu huku chini tunateseka na udikteta wake tangu amefika wilaya hii akitokea Kongwa.

Walimu hatuna amani Rais tunaomba ufanye uchunguzi ikiwezekana kuhoji mwalimu mmoja mmoja waratibu utapata ukweli wote sisi tunaami wewe rais wetu siku zote unasimamia haki tunaamini utatusaidia kwa hili.

Rais Samia tunafanya kazi kwenye mazingira magumu Sana huku vijijini lakini tumeridhika na tunachapa kazi kulinda heshima yako kwani kazi yetu ni ya wito tunaamini utalishughurikia swala hili mh Rais tukutakie mapumziko mema ya pasaka.

Asalaam aleikum
 
Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa, tunamshukuri Mungu kwa kutupa rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubaliki mama yetu,.

Neno hali alijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki uinua Taifa.

Rais ni ombi letu Sasa kwako sisi walimu wa wilaya ya Chamwino ilipo ofisi yako(ikulu)tuna kiongozi wetu ambaye ni afisa elimu wilaya(msingi) Zainabu Kishegwe anatunyanyasa Sana ni katili ni dikteta Hana msaada kabisa sio kwa walimu wa kawaida hata viongozi wengine kama waratibu.

Ana kundi lake la watu wachache Sana anaofanya kazi nao na hasa wale ambao wanahusiana na mambo ya fedha niona nikueleze wewe mwajili wetu moja kwa moja kwasababu amejitengenezea connection pale Tamisemi.

Hagusiki lakini sisi walimu huku chini tunateseka na udikteta wake tangu amefika wilaya hii akitokea kongwa walimu hatuna amani.

Rais Samia tunaomba ufanye uchunguzi ikiwezekana kuhoji mwalimu mmoja mmoja waratibu utapata ukweli wote sisi tunaami wewe rais wetu siku zote unasimamia haki tunaamini utatusaidia kwa hili.

Rais Samia tunafanya kazi kwenye mazingira magumu Sana huku vijijini lakini tumeridhika na tunachapa kazi kulinda heshima yako kwani kazi yetu ni ya wito.

Tunaamini utalishughurikia suala hili, tukutakie mapumziko mema ya pasaka.

Asalaam aleikum
 
Kule kwetu lyambalyamfipa Kuna radi mpaka ya shiringi miambili ni pm nikupe ramani
 
Sasa wewe jamaa..umeajiriwa kweli? Unawezaje kuandika barua kwa Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN kwa maandishi ya aina hiyo?

Kah! yaani maandishi yamebanana hivyo mpaka mtu akisoma anashindwa kupumua!!!

Nashauri uyaedit ili yawe na mvuto wa mtu kuyasoma. Halafu sio "rais" ni "Rais" au "RAIS".

Ukindika rais..wengine wanajua unaongelea rais wa manzense Ney wa Mitego, au rais wa machawa....rais wa mashoga n.k
 
Ukiacha shamba darasa ulilompa lakini ujumbe umenyooka Vema huyo afisa ni mwalimu lakini Bado anawanyanyasa walimu wenzake shwain kabisa!!
Well said.

Kiukweli walimu wananyanyasika sana huko shuleni.Yani kila mtu ni boss kwa mwalimu.Hao wakuu wa shule,waratibu na baadhi ya maafisa elimu ni miungu watu.Ila walimu msiwe wanyonge sn hivo simama katika haki na kutoonewa kwa misimamo thabiti.

Mtu akikuzingua nawe mzingue.
 
Barua haina addresses, kichwa cha habari na dhumuni kweli? Nadhani huu ni waraka
 
Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa, tunamshukuri Mungu kwa kutupa rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubaliki mama yetu,.

Neno hali alijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki uinua Taifa.

Rais ni ombi letu Sasa kwako sisi walimu wa wilaya ya Chamwino ilipo ofisi yako(ikulu)tuna kiongozi wetu ambaye ni afisa elimu wilaya(msingi) Zainabu Kishegwe anatunyanyasa Sana ni katili ni dikteta Hana msaada kabisa sio kwa walimu wa kawaida hata viongozi wengine kama waratibu.

Ana kundi lake la watu wachache Sana anaofanya kazi nao na hasa wale ambao wanahusiana na mambo ya fedha niona nikueleze wewe mwajili wetu moja kwa moja kwasababu amejitengenezea connection pale Tamisemi.

Hagusiki lakini sisi walimu huku chini tunateseka na udikteta wake tangu amefika wilaya hii akitokea kongwa walimu hatuna amani.

Rais Samia tunaomba ufanye uchunguzi ikiwezekana kuhoji mwalimu mmoja mmoja waratibu utapata ukweli wote sisi tunaami wewe rais wetu siku zote unasimamia haki tunaamini utatusaidia kwa hili.

Rais Samia tunafanya kazi kwenye mazingira magumu Sana huku vijijini lakini tumeridhika na tunachapa kazi kulinda heshima yako kwani kazi yetu ni ya wito.

Tunaamini utalishughurikia suala hili, tukutakie mapumziko mema ya pasaka.

Asalaam aleikum
...Wewe ni Mwalimu ?

....Waajiliwa. = Waajiriwa
 
Well said.

Kiukweli walimu wananyanyasika sana huko shuleni.Yani kila mtu ni boss kwa mwalimu.Hao wakuu wa shule,waratibu na baadhi ya maafisa elimu ni miungu watu.Ila walimu msiwe wanyonge sn hivo simama katika haki na kutoonewa kwa misimamo thabiti.

Mtu akikuzingua nawe mzingue.
Yaani wewe kama ni mwalimi na mleta mada ni mwalimu basi aliyewaajiri akili hana

Iandishi wenu tu unaonyesha wajinga ninyi

Hamuelezi mnanyanyasika kivipi

Ohh taisi achukue hatua kwa kipi?

Hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom