barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Mrusi wa Buza: Barua ya wazi kwa Rais Putin

    Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange. Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine. Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kuwaponda CHADEMA kuwa hawana ofisi sio vizuri. Muwe mnawashauri kwa barua wajenge ofisi

    This is not good at all 👇
  3. L

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Mkoa Amos Makala juu ya Panya Road na namna ya kuwatokomezaa pasipo kujirudia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara, kiuwekezaji na hata mchango wake katika Pato la Taifa, Ni mkoa ambao ndio Tanzania yenyewe ambapo hata...
  4. kadendu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barua kwa Camilius Wambura, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi. Sina shaka na utendaji wako uliotukuka, pichani ni Askari wako Inspekta Emmanuel Govella ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kupotea (misplacement) kwa barua Masijala, Tanga

    Mkurugenzi Jiji la Tanga nakuomba ulifanyie kazi hili la kupotea kwa barua kwenye ofisi yako ya Masijala. Nadhani hakuna letter movement /trail order nzuri ya kuifuatilia barua iko wapi tangu inapopokelewa ofisi ya masijala. Kumekuwa na watu wengi masjala kuulizia barua zao "zimefia" wapi baada...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Waliwahi kumpinga Aragija kwa barua, wakamalizana. Leo kawafaa

    Hakuna adui wa kudumu bwana , hakuna mkate mgumu mbele ya chai, naaaam penye udhia penyeza rupia, hata watu wenye akili zao watajizima data, BOOOOM Somo kwenu kina TRY AGAIN, fungueni booster sasa katoeni hela za M-BET huko benki sambazeni kwa hawa waamuzi ndicho wakitakacho na vichenchi...
  7. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Onyango aomba kuvunja mkataba, andika barua TFF..

    Simba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana. Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi lakini hilo sio kubwa sana. Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) akiomba iuvunje mkataba wake na Simba kwa kile anachosema haoni kama anaweza kupata nafasi ya kucheza...
  8. Dr Yesaaya

    JamiiForums Tanzania Barua kwa mwanangu - Tanzania

    Anaandika MTANGANYIKA - Rais wa TEGETA Empire - 0752591744/0682080069. Barua Kwa Mwanangu MTANGANYIKA BARA, S.L.P 1961, Mbinguni. 12/ 09/ 2022. MTANZANIA BARA VISIWANI, S.L.P 1964, DODOMA, UNGUJA K.K Malaika Mkuu Gabriel Mawinguni JUU. Kwako mwanangu nikupendae sana. Hujambo...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

    Prepaid ni hizi huduma zilizozoeleka kama vifurushi hivi tulivyozoea kuvinunua unanunua kwanza ndio unalipia Post paid unatumia ndio unalipia mnaingia mkataba kabisa. Mfano Tigo wana post paid yao unapewa GB 100 kwa elf 75, Vodacom nao wana huduma yao wanakufungia antenna unalipia speed na sio...
  10. Deshbhakt

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa Tanga

    Kwa niaba ya rafiki wangu huko Tanga na-share hii uzi Barua wazi kwa mkuu wa mkoa tanga. Mheshimiwa mkuu wa mkoa Tanga, Ni kwa masikitiko makubwa tunakueletea malalamiko dhidhi ya club ya Ben Bistro hapa wilayani Tanga, kati ya mtaa wa Ekcenforde na ring - Guinea Street Club hii...
  11. msani

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Hussein Mwinyi

    Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi, nakuandikia hapa kwa sababu nahisi ndio sehemu pekee ujumbe unaweza kukufikia. Sisi wafanyabiashara mara nyingi huwa tunakopa fedha benki ili kuendesha biashara zetu, na sisi kama wengine tumekuwa tunakopa mara nyingi na kufanya valuation ya mali zetu kama...
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nimemwandikia Rais barua kuomba stendi ya Nyamongolo Mwanza ipewe jina la John Mnyika

    Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika. Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Barua kwa wajukuu zangu

    Wajukuu zangu leo nataka niwaeleze mambo fulani, fundo ambalo limenikaa kooni mpaka nashindwa kuhema. Aliyewaroga kafa na katupa gunia chini ya bahari kukiwa na chuma kizito ndani yake kusiwe hata na chembe ya matumaini kuwa ipo siku litaonekana na kufunguliwa mkawa huru. Mmefungwa akili, ama...
  14. keivanti

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Innocent Bashungwa: TAMISEMI ina kero asilimia 70

    Mh. Waziri TAMISEMI inakero zaidi ya asilimia 70. Kwa kifupi sana na kwa maneno machache sana, Idara/vitengo huku chini kuna matatizo ya uonevu, unyanyasaji, kudharauliana, kuminyana, kuzibana midomo, kutiana presha watumishi idara za Elimu, zaidi sekondari. Kwa maagizo ya kurugenzi za wizara...
  15. Mdaka Mdaka

    JamiiForums Tanzania SoC02 Barua kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Ilikuwa kwamiaka 23 au nazaidi sikumbuki, ninachokumbuka nikwamba ulifanya kila uwezalo kuipatia nchi uhuru, ukaweka jitihada kubwa za kuliunganisha Taifa na mwisho mikakati madhubuti yakuleta maendeleo. Mwalimu; uliwachukia maadui watatu waletao udhalili; umaskini, ujinga na maradhi...
  16. Bright2025

    JamiiForums Tanzania SoC02 Barua kwa Rais: Maskini na fursa za Serikalini

    Husika na mada tajwa hapo juu. Kwa majina naitwa Mwanachi Tanzania nimzaliwa wa Dodoma mwaka 1961 nimekuandikia barua hii Rais wangu najua utaipata hapa jamiiforamu . MWANZO: Mh Rais na Mama yangu pole sana kwa msiba wa Baba, mimi mwanao nilitamani kupata nafasi ya kuja msibani ila Mama...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

    Hatutaongeza neno ili kuepusha migongano , Jisomee mwenyewe Majina yenyewe ni haya hapa
  18. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Bodaboda atumwa barua yenye ujumbe wa kulipua Kambi ya Lugalo kati ya Novemba 20 hadi 27, 2021

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo. Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo (...
  19. KAFA.cOm

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    ENZI ZETU Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati. Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji kuhusu MWAUWASA

    Mhe. Waziri wa Maji Salaam. Hapa Mwanza Mamlaka yetu ya maji inaitwa Mwauwasa. Katika jiji la Mwanza maeneo mengi yanakosa maji licha ya kuwa hatua chache tu toka Ziwa Victoria (a stone throw away) kwa lugha ya kimombo. Mfano hai ni eneo la Mwananchi leo ni siku ya tano hatuna maji na hata...
Back
Top Bottom