barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali iwajibike kwa Ajali za barabarani zinazomaliza watanzania

    Matukio ya ajali za barabarani yanaonekana kushamiri maeneo mbalimbali nchini huku watanzania wenzetu wasio na hatia wakipoteza maisha na wengine kubaki na ulemavu wa kudumu. Hivi ni kweli amekosekana mtu wa kuwajibika kwenye hili la ajali za barabarani? MTWARA watoto wa shule wameoteza...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ajali za barabarani zimezidi kupoteza Maisha ya Watanzania. Hatua madhubuti zichukuliwe kudhibiti

    Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan naomba kukuomba uchukue hatua madhubuti na za makusudi katika kudhibiti ajali za barabarani hapa nchini kwani zimekuwa zikigharimu Maisha ya watanzania. Leo Mbeya, Sengerema , juzi juzi hapa watoto wa shule huko Mtwara...
  3. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi baada ya tamko la Mzee Kinana kuhusu kero ya Polisi wa Usalama Barabarani

    Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi. Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ajali Barabarani: Tuzijue sababu, kuepuka upotoshwaji

    Ajali barabarani ni janga kubwa lenye kuhitaji ufumbuzi sahihi. Ajali zinaleta vifo, majeruhi, umasikini, hasara, na vyote vyenye kuambatana na hayo. Ni ukweli usiopingika kuwa ajali zinasababishwa na haya: 1) ujinga - mwendo kasi wa kizembe, ulevi, fujo, utoto, nk barabarani yakiwamo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za hali ya barabarani baada ya tamko la Mzee Kinana

    1. Je "uvuli wa mauti ukoje? ie bado marundo yao njiani/barabarani? 2. vizuizi vikoje? ie from one uvuli to another uvuli 3. Ajali vipi? 4. Discipline ya madereva vipi? ........................................................................................ By the way 1. Vikoba vya laki kwa wiki...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani wakati mwingine wanatuokoa na foleni

    Askari wa barabarani tusiwabeze sana pamoja na mapungufu madogo madogo ambayo wetu wengi tunayo huku maofisini. Askari wanatuokoa sana foleni za Dar. Hebu imagine askari waondoke barabarani si balaa hasa hasa Dar Mwanza na Arusha. Madereva wengi nao kichomiiiii
  7. JamiiForums Tanzania Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

    Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari. Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa serikali ili kutoa mchango wa kupunguza ajali za magari

    Hakuna shaka ubovu wa vyombo vya usafiri una mchango mkubwa katika ajali zinazotokea nchini ikiwemo iliyochukua uhai wa watoto wa shule hapo majuzi. Nashauri wizara husika ipeleke mswaada bungeni ili itungwe sheria ya ukaguzi wa magari , kama usivyoweza kuendesha gari bila bima , basi kuwe...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, trafiki wengi wako barabarani kwa vile kuna pesa zisizo na jasho. Nini kifanyike?

    Logic ya trafiki wengi barabarani iko hivi: (something like a syllogism) 1. Kuwa barabarani ni pesa 2. Kitengo cha Trafiki ni wengi sana (kila mmoja mwenye upenyo amampeleka mwanae/nduguye utrafiki 3. Automatically ili kila mmoja lazima apate pesa, 4. Lazima kuwe na vituo vingi vya kusimamisha...
  10. JamiiForums Tanzania Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinanana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura kufanya tathimini ili kuona uwezekano wa kupunguza idadi ya Askari wa usalama barabarani ambao wanalalamikiwa na Wananchi...
  11. JamiiForums Tanzania 70% ya wagonjwa wa ajali za barabarani waliopo MOI (Muhimbili) chanzo ni bodaboda

    Asilimia 70 ya wagonjwa wanaofikishwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wanatokana na ajali za barabarani, huku ajali zinazohusisha bodaboda zikiongoza kwa idadi. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt Respicious Boniface ametoa takwimu hizo Jijini Dodoma amesema wengi wao wanakfikishwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kero za Mwenge Barabarani

    Leo Hapa Shinyanga maeneo ya Maganzo tumesimamishwa kwa zaidi ya Masaa 2 kisa tunasubiri Mwenge upite tu Ila ki ukweli ni kero maana ebu ona mtu anaenda Mbeya afu unamsimamisha njiani ZAIDI ya Masaa 2 hii kero sana Wahusika wazingatie hili kwa kweli. Sent from my SM-A032F using JamiiForums...
  13. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Athari za Matumizi ya Simu barabarani na Sheria

    Athari za Matumizi ya Simu Barabarani na Sheria Utangulizi Kulingana na tafiti za Shirika la Afya Duniani(WHO) za mwaka 2022; ajali za barabarani zinaongoza duniani kwa kusababisha vifo, ambapo takribani watu milioni1.3 hufariki kila mwaka kutokana na ajali za barabarani. Huku madhara makubwa...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Ajali za magari barabarani nchini Tanzania na athari zake katika maendeleo

    UTANGULIZI Nchini kwetu Tanzania kwa sasa kumekuwa na mwendelezo wa ajali mbalimbali ikiwemo za magari barabarani, mashuleni kuwepo na ajali za moto ambao vyanzo vyake havifahamiki kwa haraka. Ajali hizi zinaweza kusababishwa na hali ya kimazingira, kiufundi au kibinadamu. Hapa ina maana kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mihogo mibichi inayouzwa barabarani Mwenge hadi Africana ina sumu!

    CYANIDE iliyotumika na Adolf Hitler kuuwa Wayahudi ipo kwenye MIHOGO MIBICHI! Na mpaka leo bado inatumika kwenye hukumu za vinyongo kwenye nchi kama Marekani jimbo la Arizona. Sisi tukitaka kuua mtu tunampiga na mawe, petroli, viberiti... taharuki. Lakini njia moja ya kuua mtu bila kuzua...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Japan, Vyombo vya dola vifanye mapitio ya kiusalama mikutano ya barabarani

    Dunia imeshuhudia tukio baya sana dhidi ya kiongozi mpole, asiye na makuu, lakini hayawani mmoja kamuondolea uhai. Nashauri vyombo vya dola vifanye review ya kiusalama hasa kwa mikutano inayofanyika barabarani. Kuna watu kama Mdude na Masese huwa wanajiapiza mambo mabaya dhidi ya nchi hii...
  17. JamiiForums Tanzania Nasikia kwenye kupambana na foleni Round about ni nzuri kuliko mataa ya barabarani ni kweli?

    Nimesikia ikisemwa kuwa round about ni nzuri kupambana na foleni sababu magari yanakuwa kwenye mwendo muda wote. wataalamu, Hili lina ukweli wowote?
  18. JamiiForums Tanzania Sticker ya "Nenda kwa usalama barabarani" naipata wapi?

    Leo nimepigwa mkono na Traffic (walikua wengi) pale Magufuli Hostel wakidai nimepita taa nyekundu za Kona ya Mawasiliano. Mkubwa wao nikasikia anasema "mwambieni atoe leseni haraka asitupotezee muda aandikiwe faini!" Nikawabishia hasa kuwa "I'm damn sure" nimesimama kwenye taa. Always huwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mbinu ya kivita ninayoitumia kujizuia kutongoza wasichana barabarani

    Wanajamvi wenzangu mie hapa Jijini DSM nilihamishiwa kikazi nikitokea mkoani. Siku za mwanzoni nilikuwa napata shida barabarani. Kila msichana ninayekutana nae namuona mrembo, haswa nikifika maeneo ya Posta Mpya kule. Basi Asubuhi kabla sijatoka Home nikawa ninatumia dakika takribani 5 za...
  20. J

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Waliouza kaburi la Bi Hapi Lupigila kwa TZS 30M wakubali TZS 500K

    HATIMAYE KABURI KATIKATI YA BARABARA BARIADI LAONDOLEWA.. FAMILIA YARIDHIA YAKUBALI YAISHE Zoezi la kuhamisha kaburi likiendelea === WIKI Moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila kuagiza kuondolowa kwa Kaburi lililokuwa katikati ya Barabara ya Nkindwabiye-Halawa, Familia ya Saguda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…