KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,025
Kwa miaka yangu mingi barabarani.. Gari zinazoongoza kuishiwa na mafuta njiani ni Toyota hasa hasa hizi wanasema zinanusa tuu mafuta.. Yaani mafuta yanaisha yote mpaka tank inanukia kutu.. Pump inashindwa kunusa inakata.. Gari inanusa tuu mafuta ila bado dereva anatembea na kidumu..taa ya low fuel inawaka badala ya kuongeza dereva anasema nalijua gari langu..!
Tofauti kabisa na gari za Kijerumani kuzikuta njiani zimeishiwa mafuta.. Ukiikuta imewasha hazard changamoto ni sensor ila sio mafuta.. Ukikuta kidumu kwenye gari ya Kijerumani ni cha kubebea wine na sio mafuta..!
Changamoto ni dashboards za Toyota kutoonyesha gauge ya mafuta au shallow pockets za Madereva wa Toyota wanaoziponda Germany cars...!!?