barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya ajali za barabarani

    Kuna mtu aliweka mada ya Rish Sunak kupigwa fine na jeshi la polisi huko kwao kwa kutokufunga mkanda. Bongo hawa ma-celebrity wetu wana chat live sio na mtu mmoja bali mashabiki wao huku wanaendesha magari na clip zinatambaa mitandaoni, polisi wala hawana habari. Kwanini kila siku kusiwe na...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madereva Pemba wakerwa tabia ya Wanafunzi kupuuzia honi barabarani

    Madereva wa vyombo vya moto Kisiwani Pemba, wamewataka wanafunzi kutodharau honi wanazowapigia au miungurumo maalum ya mashine, ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika. Wamesema, wanafunzi wengi wamekuwa na tabia ya kudharau honi au mivumo isiyokuwa na kawaida, wanayoifanya ili wakae pembeni...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

    Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road) Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala. Kinachonishangaza ni vile wako...
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Taharuki yatokea kijiji cha Narumu, Machame Mashariki baada ya picha zikionesha migomba ikipandwa barabarani

    Viongozi wa serikali akiwemo diwani wa kata ya machame mashariki wafunga safari kwenda kukagua barabara ambayo Inadaiwa kuoteshwa Migomba baada ya kuahidiwa lami. viongozi hao akiwemo engineer wa wilaya baada ya kufika kijijini hapo na kukagua barabara inayodaiwa kuoteshwa Migomba na kukuta...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ijue mipaka ya kimamlaka kwenye video ya mzozo wa mwanajeshi na trafiki wa usalama barabarani inayosambaa mitandaoni

    Kuna video inatembea mitandaoni! Video ile inamuonesha mwanajeshi wa jeshi la wananchi akiwa na sare akiwa ni moja ya abiria kwenye bus (daladala) akizozana na askari wa usalama barabarani (trafiki) Kipande hiko cha video kinaonesha kulikuwa na majibizano na lugha isiyofaa kabla! Maneno...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tunamsakizia Mbowe na kumlaumu kalamba asali. Tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran

    Tunamsakizia Mbowe na Chadema, na kumlaumu Mbowe eti kalamba asali. Hapana nasi tutoke hadharani tupambane na polisi tufe kama wanavyofanya Iran. Tunataka Lissu na Mbowe wafe peke yao. Toka hadharani tupigwe risasi 16. Sisi, mimi na wewe tu maJioga tunajificha kwenye ID fake hapa JF...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha Miembe 7 mita 600 toka morogoro road

    Nauza kiwanja kiko miembe sana kibaha , karibu na morogoro road , umbali ni kama nusu kilometa Yaani mita 600 hivi toka main road. kiwanja kikubwa mita 55 Kwa 26 . Bei ni 13m Nina shida ya haraka. Karibuni namba yangu 0674223223 mimi ni mmiliki mwenyewe. Karibuni
  8. KndNo1

    JamiiForums Tanzania Gari za Toyota na kuishiwa mafuta barabarani

    Kwa miaka yangu mingi barabarani.. Gari zinazoongoza kuishiwa na mafuta njiani ni Toyota hasa hasa hizi wanasema zinanusa tuu mafuta.. Yaani mafuta yanaisha yote mpaka tank inanukia kutu.. Pump inashindwa kunusa inakata.. Gari inanusa tuu mafuta ila bado dereva anatembea na kidumu..taa ya low...
  9. maroon7

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kituo cha mafuta 'Rupeez Oil' kimejengwa kwenye hifadhi ya barabara Kimara Stop Over?

    Ukistaajabu ya Musa, Katika hali ya kushangaza sana kuna kituo kipya cha mafuta kinajengwa kando ya barabara maeneo ya Stop over Kimara. Hii imekuja baada ya vituo vingine vyote kufungwa kwa sababu ileile ya kuwa vipo ndani ya hifadhi ya barabara, ila cha ajabu hiki kituo kipya kinachoitwa...
  10. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Komediani anayetoa elimu ya Virusi vya Ebola kwa njia ya mabango barabarani

    Comedian ANTON KAMONGA ambaye amekuwa akisambaza ujumbe wake wa mada mbalimbali kwa njia ya mabango, akionesha mabango yenye kutoa elimu kuhusu Virusi vya Ebola Pia soma: Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake
  11. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mwanamke atembea barabarani aanguka na kufa bonde la Msimbazi

    Sijui kama napaswa kuiandika hii. Watu wengine wataona labda siyo muhimu. Lakini hii imetokea juzi. Huyu mwanamke alikuwa anatembea katika bonde la Msimbazi,pale kutoka Msimbazi Center kuelekea njia panda ya Kigogo,akaanguka akafa,mwenyewe tu, without any prodding. Basi watu wakakasirika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ungana na mimi kwenye kundi la climate change activist tukalale barabarani

    Mzuka Wanajamvi! Tusipochukua hatua leo na sasa hivi vizazi vijavyo havitatusamehe kabisa. Amkeni sasa hivi na muungane na mimi leo asubuhi kwenye kundi letu la climate change activists la just stop oil na extinction rebellion. Bila uwoga tukalale na kukakaa barabarani kuelekea magogoni...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Barabara za Mji wa Serikali Dodoma zimeshafungwa taa za barabarani

    Huu mji ni moja ya vitu vya kuvutia sana hapa Dodoma. Japo haujakamilika, ila kukamilika kwa mtandao wa barabara tu, teyari kunafanya huu mji upendeze na utapendeza zaidi pale majengo ya magorofa yatapokamilika na mazingira kuboreshwa(kupanda miti, n.k) Leo nimepita katika huu mji na kukuta...
  14. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutongoza mwanamke msiyejuana (Barabarani, kwenye daladala au popote)

    Wakuu vipi? Baada ya kusoma Points za huyu jamaa hapa https://www.jamiiforums.com/threads/shuleni-inabidi-waanze-kutoa-somo-la-namna-ya-kutongoza-ubakaji-na-ulawiti-kwa-watoto-wadogo-vimezidi.1989067/ Na baada ya kuona Malalamiko kama haya...
  15. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Dance groups wanayocheza barabarani kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu wapimwe akili

    Haya makundi ya wacheza muziki kumsifia Yesu si sahihi(hii style ya kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumini lukuki. Mbaya zaidi wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ajali zinaondoshwa kwa kusali kwa kukaa barabarani? Waafrika bhana!

    Viongozi wa dini mkoani Mbeya, kwa kushirikiana na serikali, wamefanya ibada maalum katika mteremko mkali wa Inyala, kuomba Mungu aepushe ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara katika eneo hilo na kusababisha maafa. ITV === Acheni tu wazungu watudharau 24/7.
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Warusi waingia barabarani kupinga ulazimishaji wa kwenda kupigana

    Mpaka sasa wamekamatwa 525 kwenye maandamano ya kupinga hiki anachokiita "mobilization" ya Warusi kwenda kupigana na kainchi ka-Ukraine... Several hundred people have been detained across Russia on Wednesday as rallies against a military mobilization declared by President Vladimir Putin for the...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Raia wa Armenia waingia barabarani wakiagiza nchi yao iondoke kwenye muungano na Urusi

    Mojawapo wa sababu wanasema juzi nchi yao imepokea mkongoto/kichapo ilhali Urusi haikufanya chochote kuwasaidia licha ya kuwa na base ya kijeshi pale. ========== Over a hundred people gathered in Armenia’s capital, Yerevan, on Sunday demanding their country leave the Collective Security Treaty...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Taa zikisharuhusu magari yaende, dereva hatakiwi tena kusimama kwenye zebra. Mtembea kwa miguu asubiri taa yake

    Matumizi ya zebra kwa waendao kwa miguu maeneo yenye taa, yanaongozwa na taa za barabarani. Na hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 65(7)(b) na 65 (8). Jukumu la kuheshimu taa za barabarani ni la watumiaji wote wa barabara na sio magari tu. Hivyo basi, kwa mujibu wa kifungu cha 65 (7)(b) muenda...
  20. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazosababishwa na pikipiki (boda) kwa jiji la Dar es Salaam

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es Salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa...
Back
Top Bottom