barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wiki ya usalama barabarani, Polisi tuwaeleze ukweli

    Leo waziri mkuu mh. Kasim Majaliwa amezindua wiki ya usalama barabarani. Miongoni mwa watu wanachangia ajali za nyingi za barabarani ni polisi kupitia KIKOSI CHA KAMATA KAMATA Polisi hao wanaokimbiza pikipiki bila utaratibu,wanachomoa funguo kwenye pikipiki sasa muendesha pikipiki anapowakwepa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi. Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi. Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura ameshindwa kudhibiti ajali barabarani, asaidiwe!

    Katika kipindi kifupi cha Uhudumu wa huyu IGP mpya, pengine changamoto kubwa aliyokumbana nayo katika utendaji wake ni kukithiri kwa matukio ya ajali za barabarani. Matukio haya yamekwenda sambamba na upotevu wa roho za watanzania, nguvu kazi ya Taifa. Inasikitisha sana. Licha ya ajali...
  4. Infopaedia

    JamiiForums Tanzania Polisi wa barabarani na weledi wao.

    Habari zenu wana jamii. Leo nimeona tuongeee kidogo kuhusu hawa askari wetu wa úsalama barabarani. Ukiangalia hicho kiambatanisho hapo juu, hilo ni Kosa la barabarani ambalo askari amemuandikia dereva. Japo kuwa hilo Kosa inaonekana ni la kujitungia tu, lakini shaka yangu si juu ya hilo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mnaoweka mkojo kwenye chupa na kutupa barabarani mnakwaza

    Hivi mtu unafikira nini mpaka unatoa haja ndogo na kuweka kwenye chupa na kisha kwenda kutupa mtaani? Huoni kwa kufanya hivyo mbali na kuharibu mazingira unahatarisha afya za wanaotumia barabara hiyo? Kawe, DSM Hizo kwenye video siyo petroli au pombe, ni mkojo! Lita mbili na zaidi! Mbaya...
  6. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Wajenzi wa Barabara, kwanini Molam haisambazwi punde baada ya kuwekwa barabarani?

    Nimeshuhudia mara nyingi malundo ya molam yakirundikwa barabarani kwa ajili ya ujenzi wa Barabara na kukaa muda mrefu (wiki moja hadi mwezi), na kisha kusambazwa. Mtaani nilipo, ni zaidi ya wiki ya tatu, toka molam imelundikwa. Kwanini yasimwagwe na kusambazwa haraka. Je, kuna sababu za kitalaam?
  7. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Gari Hiace namba T936 AJU ya ruti ya Mbezi - Boko Mnemela iondolewe barabarani

    Gari, tunatoka mbezi Gari inasukumwa mpaka round about ili iwake, Gari tumefika karibu na kwa Komba imepasuka Tairi. Konda hataki kurudisha nauli Ajali ikitokea tutamtafuta mchawi nani? Kemea ajali
  8. K

    JamiiForums Tanzania Machinga barabarani

    Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi?
  9. maroon7

    JamiiForums Tanzania EFM jogging mnatuletea usumbufu barabarani

    Hawa jamaa wa EFM jogging ipo siku watatulaumu na jogging zao. Halafu kwanini inakua jioni mida watu tunastress za kazini na bado mtuongezee jam wakati mnaweza fanya mazoezi maeneo ya wazi au beach? Halafu hii kitu mbona kama iliwahi kukatazwa mbona nyie mnakomaa tu?
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Adui wa Dereva barabarani ni Dereva mwenzie, sio Trafiki wala Polisi

    Adui zetu wakubwa barabarani sio Polisi bali ni Madereva wenzetu. Kusema kweli adui zetu wakubwa barabarani ni madereva wenzetu kuliko hata hao Polisi tunaowaona maadui. Dereva anatumia nguvu nyingi kuchukua tahadhari dhidi ya Polisi kuliko hata dereva mwenzake. Kwa nini Polisi baadhi yetu...
  11. Kaka Yaoh

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Askari Polisi Barabarani tunaomba yule Dereva wa gari ya Simba SC anyang'anywe leseni yake

    Habari yako kamanda mkuu wa Barabarani, Kuna video inasambaa ikionesha basi ambalo moja kwa moja linaonekana ni la timu ya Simba SC likiendeshwa kinyumenyume katika barabara kuu hapo Dar es salaam. Mara tu baada ya kuona video hiyo nikiwa kama msamaria mwema katika nchi hii nimeamua nitoe...
  12. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunapenda kulalamika sana wakati ni waoga wa kupindukia kuingia barabarani

    Imagine Lissu alipigwa lisasi tena 32 na Mungu akamkingia kifua yule mwovu akaaibika akafa yeye lakini hakuna mtanzania hata mmoja ambaye alionesha kukerwa na jambo lilo kwa angalau kuonesha demonstration barabarani au kulaani tu. Eti Leo Lissu anapambana na maisha yake wanashangaa kwamba...
  13. Mparee2

    JamiiForums Tanzania TANROADS warudishe alama za barabarani

    Ukisafiri umbali mrefu kwenye Highways huku ukiwa makini utagundua kuwa, kuna alama nyingi tu hasa za speed limit hazipo barabarani; Nafikiri zimeondoka kwa sababu mbalimbali. Mfano: Unakuta vibao vya Speed limit upande mmoja kipo, ila upande mwingine hakipo (ila kupigwa tochi kupo palepale)...
  14. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Serikali ina chakujifunza kutoka sekta Binafsi

    Wote tunajua kuwa Serikali haina fedha na ndio sababu Mama Yetu mpendwa anajitahidi Kwenda huko nje kukopa ILA cha kushangaza kila mwaka unasikia Mabilioni yameibiwa…. Na kingine cha kushangaza, nikupata hizo taarifa za wizi ulifanyika baada ya miezi kadhaa napengine miaka kadhaa. Hii...
  15. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Ajali za barabarani ni matokeo ya nidhamu mbovu ya madereva

    Nianze kwa kutoa salaam na heri za mwaka mpya kwa jamii ya wanajamii forum wote. Baada ya Salaam nirejee kwenye mada husika, Kwa siku za hivi karibuni ajali za barabarani zimekuwa tatizo na kichwa cha mwendawazimu, tumepoteza ndugu, Jamaa na marafiki kwa sababu ya ajali ambazo pengine...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na foleni za barabarani Dar es Salaam?

    Moja ya jambo ambalo inawezekana changamoto ni miundombinu au labda ni vyombo vyetu vya usafiri, bado huwa nashindwa kuelewa vizuri, yaani ikitokea mvua imenyesha kidogo tu kwenye Jiji la Dar es Salaam hasa maeneo ya town, lazima foleni barabarani ziibuke kwa kasi. Najiuliza, hivi tatizo ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Bure kwa Wasafirisha Maiti zinazogoma kwenda Kuzikwa Kwao ili zisikudhuru kwa Ajali mbaya barabarani

    1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali. 2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya...
  18. Doctor Ngariba

    JamiiForums Tanzania Kuna nini barabara ya Nyerere daraja la Mfugale?

    Habari za asubuhi waungwana na wapendwa wa Jamii Forums. Bila kupoteza muda, mimi ni mdau na mtumiaji wa barabara ya Mwalimu Nyerere takribani miaka saba sasa. Kuna jambo ambalo kwa siku za hivi karibuni linanikera na naamini wapo pia wengine ambao linawakera nalo si jingine bali ni foleni...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu 14 wafariki katika ajali mbaya ya barabarani Kenya

    Watu 14 wamethibitishwa kufariki huku wengine kumi na watatu wakijeruhiwa katika ajali mbaya eneo la Kakwamunyen kando ya barabara ya Lodwar-Kakuma Jumamosi usiku . Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation, waliofariki ni wanawake wanane watu wazima watatu wa kiume na watoto watatu wa kiume...
  20. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Ombi: Tunamuomba Rais Mwinyi amuwajibishe waziri wake kabla ya wananchi kumuwajibisha

    Kitendo alichokifanya waziri wako wa kilimo, umwagiliaji, maliasili na mifugo mh Shamata Shaame Khamis sio cha kiungwana na kiutu. Kile ni kitendo cha kinyama ambacho hakutakiwa kumfanyia mtanzania mwenzetu au binadamu mwenzetu kwa sababu yoyote ile. Mtu kaingiza chakula mnafanyia unyama ule...
Back
Top Bottom