barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Dah! Wananchi wajipanga barabarani kulaki jeshi lao la Ukraine, walikua utumwani yaani

    Baada ya wanajeshi wa Urusi kuteka mji wa Kherson, wazalendo wa Ukraine wamepambana kwa kujitoa mhanga na kukomboa mji, jameni hamna raha kama hii vijana mnalakiwa na wazee wenu wakishangilia ujio wenu wa kishujaa, mnatamba barabarani kibabe kwenye ardhi yenu, bendera yenu, taifa lenu.....hii...
  2. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Kinana iliwaondoa polisi barabarani, kauli ya nani itakuja kuondoa Tozo?

    Ingawaje wanasiasa wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi, kwenye maisha ya wananchi wao, lakini siyo wote wanaowadanganya kwa hizo siasa zao. Others can see directly their deceptions and read their minds. Iko wazi makusanyo ya mapato ya adhabu ya makosa ya barabarani kulikuwa kuna watu flani...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watalii 40 wakamatwa kwa kuombaomba mitaani

    Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mvita Maxwell Agoro akizungumza na mmoja wa raia 40 wa Jordan waliokamatwa. Picha: Kwa hisani Polisi wa Mombasa Nchini Kenya wanawashikilia watalii 40 raia wa Jordan baada ya kukutwa wakiombaomba katika Mitaa ya Old Town na Marikiti ili wakusanye fedha ya...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani

    Waziri Masauni amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
  5. R

    JamiiForums Tanzania Toa tozo nzuri au nikuandikie makosa yote maana kesho ya Kinana sijui kama nitakuwepo hapa barabarani - Trafiki

    Yamenikumba leo, nikatafakari nifanyeje maana gari ina makosa (ingawa si mengi) na nilimuunga mkono Comred Kinana kwa kero hizi za trafiki! Kilichofuatia ngoja nikiweke sirini. Nchi ya tozo, Tonzonia, sasa trafiki nao wana tozo zao, mwendo mdundo. johnthebaptist
  6. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza/kumaliza ajali barabarani?

    Hapa nakaribisha michango ya namna ya kupunguza/kumaliza ajali barabarani. Nategemea kupata mawazo mapya na yanayotekelezeka. Angalizo, faini kubwa haiwezi kuzuia ajali! 1. Kuhusu mwendo kasi hasa wa mabasi ya abiria, nafikiria kuangaliwe utaratibu wa kupunguza mabasi mengi ya njia moja...
  7. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Korogwe: Gari ya marehemu imetelekezwa barabarani

    Korogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea DSM. Gari ilipata ajali barabarani kabisa kabisa na bar maarufu iitwayo the spirit, karibu na Magereza Korogwe. Abiria alipelekwa Hospital ya Wilaya Magunga na akafariki the same day...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam

    Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa kua na watu wengi shughuli nyingi za kimaendeleo, kibiashara na hufanyika nyakati zote usiku...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Polisi Kanda ya Ziwa tuondoleeni hatari hii barabarani madereva nyakati za usiku

    Habari wadau Maeneo ya Igunga, nzega, tabora, tinde, shinyanga, mizungwi, geita, chato, masumbwe, Isaka,kahama, ushirombo n.k Ikiwa hujawahi tembea maeneo hayo usiku ni vigumu sana kuelewa hatari ya trekta mbovu, tela za punda na ng'ombe zinazotumika usiku kucha! Maeneo hayo kuna treka za...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajali barabarani linahusiana na kauli ya kuondoa trafiki barabarani?

    Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka. Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada ya tamko Hilo, nadhani kuna uwiano wa kauli hiyo na matukio ya ajali, trafiki wamepunguzwa...
  11. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Serikali iwajibike kwa Ajali za barabarani zinazomaliza watanzania

    Matukio ya ajali za barabarani yanaonekana kushamiri maeneo mbalimbali nchini huku watanzania wenzetu wasio na hatia wakipoteza maisha na wengine kubaki na ulemavu wa kudumu. Hivi ni kweli amekosekana mtu wa kuwajibika kwenye hili la ajali za barabarani? MTWARA watoto wa shule wameoteza...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ajali za barabarani zimezidi kupoteza Maisha ya Watanzania. Hatua madhubuti zichukuliwe kudhibiti

    Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan naomba kukuomba uchukue hatua madhubuti na za makusudi katika kudhibiti ajali za barabarani hapa nchini kwani zimekuwa zikigharimu Maisha ya watanzania. Leo Mbeya, Sengerema , juzi juzi hapa watoto wa shule huko Mtwara...
  13. MICHAEL JACKSONN

    JamiiForums Tanzania Tathmini fupi baada ya tamko la Mzee Kinana kuhusu kero ya Polisi wa Usalama Barabarani

    Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi. Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ajali Barabarani: Tuzijue sababu, kuepuka upotoshwaji

    Ajali barabarani ni janga kubwa lenye kuhitaji ufumbuzi sahihi. Ajali zinaleta vifo, majeruhi, umasikini, hasara, na vyote vyenye kuambatana na hayo. Ni ukweli usiopingika kuwa ajali zinasababishwa na haya: 1) ujinga - mwendo kasi wa kizembe, ulevi, fujo, utoto, nk barabarani yakiwamo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane updates za hali ya barabarani baada ya tamko la Mzee Kinana

    1. Je "uvuli wa mauti ukoje? ie bado marundo yao njiani/barabarani? 2. vizuizi vikoje? ie from one uvuli to another uvuli 3. Ajali vipi? 4. Discipline ya madereva vipi? ........................................................................................ By the way 1. Vikoba vya laki kwa wiki...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani wakati mwingine wanatuokoa na foleni

    Askari wa barabarani tusiwabeze sana pamoja na mapungufu madogo madogo ambayo wetu wengi tunayo huku maofisini. Askari wanatuokoa sana foleni za Dar. Hebu imagine askari waondoke barabarani si balaa hasa hasa Dar Mwanza na Arusha. Madereva wengi nao kichomiiiii
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

    Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari. Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je...
  18. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa serikali ili kutoa mchango wa kupunguza ajali za magari

    Hakuna shaka ubovu wa vyombo vya usafiri una mchango mkubwa katika ajali zinazotokea nchini ikiwemo iliyochukua uhai wa watoto wa shule hapo majuzi. Nashauri wizara husika ipeleke mswaada bungeni ili itungwe sheria ya ukaguzi wa magari , kama usivyoweza kuendesha gari bila bima , basi kuwe...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana, trafiki wengi wako barabarani kwa vile kuna pesa zisizo na jasho. Nini kifanyike?

    Logic ya trafiki wengi barabarani iko hivi: (something like a syllogism) 1. Kuwa barabarani ni pesa 2. Kitengo cha Trafiki ni wengi sana (kila mmoja mwenye upenyo amampeleka mwanae/nduguye utrafiki 3. Automatically ili kila mmoja lazima apate pesa, 4. Lazima kuwe na vituo vingi vya kusimamisha...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinanana amemshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura kufanya tathimini ili kuona uwezekano wa kupunguza idadi ya Askari wa usalama barabarani ambao wanalalamikiwa na Wananchi...
Back
Top Bottom