Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania
WAKAZI WA DAR...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao.
Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye...
Nyerere, pamoja na matatizo yake yote alikomboa maskini kwa njia ya redistribution of resources. (ingawa angefanya kwa njia nyingine) Hakuwa na watendaji wazuri na viongozi wenzake wakati ule hawakumulewa (ni ngumu sana kumuelewa idealist na mtu mwenye vision ya miaka zaidi ya 100 ijayo)...
Sisi madereva wa magari makubwa hususani malori tunanyanyasika sana barabarani imefikia hatua hata ya kuichukia serikali yetu inayoongozwa na mtukufu Rais Dkt. John Pombe Magufuli tunaimani sana na Rais wetu huyu kwa utendaji kazi wake wenye kuleta maendeleo nchini na mtetezi wa wanyonge lakini...
Wadau heri ya mwaka mpya,
Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu.
Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.