bandari

  1. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Bandari za Tanganyika hazijauzwa wala kukodishwa kwa waarabu wa Dubai bali zote wamepewa bure!

    Nimesikitika sana kusikia malumbano ya watu mbalimbali kuhusu suala la kuuzwa dhidi ya kukodishwa kwa bandari zote za mwambao wa bahari ya Hindi upande wa Tanzania bara kwenda kwa waarabu wa Dubai (DP world). Baada ya kupitia kwa kina, kipengele kwa kipengele, kusikiliza maoni tofauti tofauti...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru Umulike Bandari zetu: Historia yetu itulinde

    MAANA YA MBIO ZA MWENGE za Mwenge nchini Tanzania ni tamasha na sherehe za kila mwaka zinazofanyika kuanzia mwezi Aprili hadi Oktoba. Mbio hizo zina lengo la kuadhimisha na kuenzi uhuru wa Tanzania, kukuza umoja na mshikamano wa kitaifa, na kuelimisha umma kuhusu maendeleo na rasilimali za...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo haiwezi kujengwa DP World akiwa kinara wa bandari zote za Tanganyika

    Ujuha wetu ni kuendelea kudanganywa kwamba ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo tutauanza hivi karibuni; kama tunavyozimwa akili na kutengwa kwa Bajeti ya kazi hiyo kulikowasilishwa na Waziri Mbarawa Bungeni. Hivi hawa watu hata kudanganya waziwazi hawana uwezo nako? Au sasa watageuza habari na...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Somo kutoka Uchina, namna walivyoweza kuendeleza biashara ya Bandari

    Tusilaumiane bali tujifunze na tutoe mustakabali wa Taifa letu kwa upendo tu, naweka document ili tuendelee kujifunza.
  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini waarabu wa Dubai wameuziwa bandari tu badala ya kuuziwa Tanzania yote?

    Nimesikitika sana kusikia waarabu wa Dubai kuuziwa bandari pekee badala ya kuuziwa nchi nzima ya Tanzania. Huku ni kujinyima na kujirudisha nyuma sana. Madalali wa taifa la Tanzania (Serikali la CCM na bunge la CCM) wamesema kwa kupewa Bandari tu, waarabu wa Dubai wataongeza mapato maradufu...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Sababu (10) tata za kisheria uuzwaji wa Bandari ya Tanganyika

    UTANGULIZI: Bila kugusia maudhuni yalivyoandikwa, au kukosoa kilichoandikwa, nimeandaa sababu 10 tata za kisheria ambazo zinatambainisha kwa nini mkataba wa uuzaji wa Bandari ya Tanganyika ni batili na ni wa aibu kwa nchi ambayo inawasomi wengi wa sheria; Katika sheria za kimataifa za...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akikagua meli mpya ya MV Mwanza (Hapa Kazi Tu) katika Bandari ya Mkoa wa Mwanza

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Meli Mpya ya hapa kazi tu katika Bandari ya mkoani wa Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteremka kutoka ndani ya Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi, Bandari ya Dar es Salaam

    Karibuni.
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wakirudi Majimboni wanakwenda kuwaeleza nini wapiga kura wao kuhusu DP WORLD kununua Bandari zote Bara?

    Nimejaribu kufikiria hili swali sijapata majibu. Mfano wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam wanakwenda kuwaambia nini wapiga kura wao kuhusu kuuzwa kwa Bandari zote? 2. Mbunge wa Jimbo la Hai huko Kilimanjaro wapiga kura wake wamemkataa tangu apitishe mkataba wa kuuza nchi. 3. Mbunge wa Arusha...
  10. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Fananisha bandari kavu zetu za Kwala na Isaka na hii ya DP World Kigali

    Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾 Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuia maendeleo.
  11. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupeleka Mahakamani zuio la makubaliano ya Bandari kati ya DP World na Serikali?

    Natumaini mu wazima na wavumilivu wa hali kwa jina la Mwenyezi. Kabla ya yote nimpongeze kijana Bwana Wangwe kwa ushindi mkubwa alioupata kwa niaba ya watanzania wote. Ushindi wa zuio la wakurugenzi kusimamia uchaguzi mahakamani ni kuchonga barabara ya haki iliyokua iki kanyagwa mara kwa mara...
  12. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania DP World tayari imejenga "Bandari Kavu" Rwanda yenye uwezo wa kontena elfu 50, wakati bandari yetu ni ya kontena elfu 19 tu

    Katika hili wala hauhitaji kujua aliye nyuma ya hawa DP World ni nani, haijatokea kwa bahati mbaya, hakuna coincidence hapa, ni mipango iliyopangwa ikapangika na sasa tunaenda kupigwa mchana kweupeee. ========================== TAARIFA KUHUSU UWEKEZAJI UNAOPENDEKEZWA NA DP WORLD TANZANIA DP...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bandari ikiwa mikononi mwa wageni kwa asilimia 100, hatuwezi tena kudhibiti kinachoingia na kinachotoka kwa asilimia 100. Ni hatari kwa usalama wetu!

    Kwa jiografia ya nchi yetu ilivyo, bandari ndio mlango mkubwa wa nchi yetu wa kuingilia na kutoka. Mlango huu ukimkabidhi mgeni kwa miaka 100, hatuwezi tena kudhibiti kwa ukamilifu kitakachokuwa kinaingia na kitakachokuwa kinatoka. Hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi yetu. Silaha zinaweza...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, haya ndio madhara ya awali ya kubinafsisha Bandari?

    Ameandika Martin Maranja Masese huko twitter: Bohari ya kuhifadhi kontena ya nchi kavu (Inland Container Depots (ICD) eneo la Kurasini, wamepewa SALISLA kwa utaratibu gani? Ni sehemu ya makubaliano na DP WORLD? Je, malipo hayafanywi kwa control number isipokuwa kwa utaratibu wa SALISLA? Ni nani...
  15. Decree Holder

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema mkataba wa kuwakabidhi bandari baina ya Tanzania na Dubai ni swala nyeti (very seriously) ndiyo maana limepelekwa bungeni. Akiongea club house amesema kitendo cha mkataba huo kupelekwa bungeni kinaashiria unyeti wake na athari ya mkataba...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania DP World amepata Bandari bila kupingwa

    Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa sana kwa waandishi wa habari kukubali kujidhalilisha kwa kudhalilisha taaluma yenu

    Nimefuatilia siku hizi mbili tatu za sakata la uuzwaji wa bandari ya tanganyika, kwa waarabu wa dubai, kazi wanayoifanya waandishi wa habari ni ya kipuuzi sana, ni bora wangechagua kukaa kimya kuliko kupotosha habari. Kiufupi dunia imebadilika sana na watu wanachagua source ya kuwabarisha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Aibu: Vyombo vya Habari nchini kwa makusudi vyapotosha alichokisema Dkt. Slaa kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari

    Katika mkutano wake na vyombo vya habari uliofanyika leo, Dkt. Slaa ameongea kiuzalendo na kuonyesha ubaya wa miataba tuliokuwa nao, lakini cha ajabu vyombo vya habari nchini kinyume na maadili ya umma vimepotosha kwa makusudi kauli na mantiki na dhima ya alichokizungumza. Ili kuwachanganya...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Madini tuliuza, Gesi tukauza, Mbuga tukauza na sasa bandari tumeuza. CCM ni laana

    Katika kipindi cha miaka 60 ya utawala wa CCM (zamani TANU na ASP) karibu rasimali zote muhimu zenye kubeba urithi wa vizazi vya sasa na vizazi vinavyokuja vya Watanganyika zimeuzwa kilaghai kwa wageni. Madini yaliuzwa kwa Mzungu, Mbuga zikauzwa kwa Muarabu, Gesi ikauzwa kwa Mchina na sasa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kwa akili ya kawaida mtu hawezi kubinafsisha Bandari zote nchi nzima! Waziri alilishwa nini?

    Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba. Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu...
Back
Top Bottom