Mle bungeni kuna wabunge ambao hawakubaliani na ugawaji holela wa uendeshaji wa bandari yetu. Wabunge hao wamejikuta wanatengwa na Spika kwa kuwanyima fursa ya kuchangia muswada wa bandari ili kutoa nafasi kwa wabunge wenye kuweka mbele masilahi yao binafsi ndani ya chama kuchangia.
Leo hii...
Utangulizi
Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa...
Juzi kwenye mjadala kuhusu Bandari,nilimsikiliza Mbunge wa Biharamuro akiwataka wananchi kuwaamini wabunge wao(spika pia akakazia). Ezra anasema this time around wabunge hawatawakilisha mawazo na hisia za waliowatuma Bungeni, instead wabunge wataamua wanavyojua au kuambiwa wao.
Swali ni je, Si...
Nashangaa kelele ni nyingi mno kana KWAMBA mikataba ya hovyo au makubaliano yameanza leo.
Kwani Samia ndio wa Kwanza kuliingiza Taifa kwenye hofu ya HASARA!?
Mikataba ilianza leo!? Si tangu awamu ya pili ndio kazi Rasmi ya kuuza rasilimali vilianza!
Nani aliuza loliondo!? Nani aliuza NBC...
Ndugu zangu watanzania wenzangu,
Ninajua tunapitia kwenye kipindi kigumu sasa tunapojadili juu ya huu mkataba unaolenga kuuza bandari zetu na kuturejesha utumwani kwa waarabu.
Ninachojiuliza mpaka sasa ni wapi alipo Jakaya Mrisho Kikwete? Kuna mtu amesikia kauli yoyote toka kwake?
Mimi...
Naona kosa alilofanya Rais wa awamu ya nne ndugu Jakaya M. Kikwete kuuza Shirika letu la Reli (TRC) Kwa wahindi na kubadilishwa kuwa Tanzania Railway Limited (TRL) analifanya tena Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuuza Bandari zetu Kwa waarabu wa Dubai..
Mtindo na ushawishi uliotumika kuaminisha...
Habari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson...
Bado hawaamini kama Watanganyika wameamka na wanatolea macho maliasili zao walizopewa na Mungu.
Wamesahau kama bongo movie ilishakufa, kila mwaka graduate laki sita wanaingia mtaani na hawana kazi, wanasubiri kusoma kila tangazo la Serikali, wakaona tangazo la kuuza bandari, bwana wee...
Marekani ameendelea kuwa mwiba mkali dhidi ya miungano ya kikomonisti. Kumbukumbu zinaonyesha alivyofanikiwa kuisambaratisha USSR kupitia mtu wao Gorbachev.
Kwa ukanda huu wa Afrika na mashariki ya mbali alikuwa amebakiza China na Tanzania. Hatimaye, mbinu iliyoboreshwa kutoka ile ilivyotumika...
Wasalaam watanganyika,
Leo pita pita zangu u twitani nikakutana na trend ya huyu aliyekua kamanda (ME) chadema akasaliti chama akajiunga na ccm,
Tangu aingie ccm amekua akipamgiwa/akiamua kushiriki vikao na shuhuli za kina mama ccm zaidi ya shughuli nyingine.
Hatukuelewa ni kwann ana attend...
Kwenye social media kwa kiwango kikubwa mijadala ni kuhusu mkataba wa bandari. Sasa najiuliza hizi kelele tunazopiga kwenye social media zitasaidia kweli?
Au tunajadili Ili kuriwadha mioyo yetu? Ikiwa tayari Tulia na rafiki zake wameshaafiki.
Hili jambo halijakaa sawa katika angle zote, na limelenga sehemu nyeti ambayo inaweza kudhoofisha nchi yetu hasa Tanzania bara na kufungua ukurasa mpya wa ukoloni mambo leo.
Saini petition kwenye website ya change kupaza sauti dhidi ya uhalifu huu uliopangwa kutokea mbele ya macho yetu...
Ikiwa ni siku moja baada ya Bunge la Tanzania kupitisha Azimio la Serikali kuingia Makubaliano na Kampuni ya DP World kuendesha bandari za Tanzania, inadaiwa kuwa Viongozi wa Dini wamejiandaa kutoa tamko zito kuhusu suala hilo hapo kesho.
Je, tutarajie nini kutoka kwa Viongozi hao?
====...
Anonymous
Thread
bandari
dini
dp world
kesho
kuhusu
suala
viongozi
viongozi wa dini
world
Bila kujali Mkataba husika unasema nini kuhusu kulinda ajira za wazawa, lakini maadam tunaenda kuwakabidhi wageni watuendeshee bandari yetu, basi hilo nililolisema ipo siku mnaweza kulishuhudia kwa watoto ama wajukuu zenu au kwa watoto na wajukuu wa ndugu na jamaa zenu wakati huo nyie mkiwa ni...
Watu wenye akili, werevu na wazalendo walipokuwa wanalilia demokrasia wakati wa Mwendazake, walipingwa kwa hoja dhaifu kama vile demokrasi inachelewesha maendeleo na kwamba sasa tumepata kiongozi anaeweza kutuvusha na kuwa demokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa haina maana na hata katiba bora...
Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume
"Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye kipindi kifupi sana. Dubai haitegemei mafuta.Badala ya kubaguwa basi ndugu zangu tujifunze.Acheni...
Asalaam Aleykum wana jamvi,
Ama baada ya salamu hizo nidondoke kwenye mada tajwa hapo juu.
Kiukweli suala la kubinafisha (??!kumilikisha) Bandari zetu, ni suala ambalo limeibua hisia za Watanzania wengi wazalendo wa dhati (na wasio na uzalendo wa dhati).
Ni suala ambalo kwa kweli kwa kila...
Mdude Chadema: Yani mkodishe bandari kwa makataba wa milele halafu mtutishe na juu? Jaribu uone Nape. Utashugulikiwa na huyo SSH unayeamini ndio god-father wako hatakusaidia. Unamtisha nani wewe mwoga wa taifa? Sisi tutaendelea kupambana kuhakikisha bandari zetu zinarudi katika mikono salama.
Wazee wa Dar walikuwa na nguvu sana enzi hizo. Nakumbuka Tibaijuka aliondolewa uwaziri kwa nguvu zao.
Hili la Bandali mnalionaje? Mnataka Bandali iende tuu ?
NB.
Ni marufuku mtu kulinganisha mkataba wa bomba la mafuta na Bandari.
Bandari ni yetu na mafuta sio yetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.