Mimi waraka haukunitisha sana japo ulikuwa na facts, ila kilicho nitisha ni zile wiki 6. Kwa wasio fahamu nenda kasome saikolojia ya kuamini ukisha maliza utagundua ni kwanini ulisomwa kwa wiki 6 sio zaidi au pungufu.
Kama kuna mahali serikali inapaswa isijichanganye ni hapa. Ningekuwa nahusika...
Sijui hata ni kwanini ilikuwa hivo.
Makampuni makubwa yanayotikisa dunia yanaongozwa na watu smart sana.
Hata hapa bongo, makampuni yanayofanya vyema yanaongozwa na watu smart. Kampuni halichukui mtu wa hovyo kuongoza alimradi tu eti anaweza kupiga kabobo.
Nchi, Taifa, Taasisi nyeti kabisa...
Kwa sasa Tanganyika inatumia Takriban Megawatt 1,500 za umeme, ukijumlisha na zile Megawatt 100 wanazopewa bure wala urojo inakuwa MW 1,600.
Bwawa la Nyerere likikamilika litazalisha Megawatt 2,100, na kufanya jumla ya Megawatt kwenye Gridi ya Tanganyika kuwa 3,700.
Kwakuwa umeme unaozalishwa...
Wakili Madeleka amesema mamlaka aliyonayo Masauni kama Waziri wa Mambo ya Ndani ni mamlaka ya kisera kuhusu vyombo ambavyo vipo chini ya wizara ile lakini hana mamlaka ya kiutendaji ya kila siku ya vyombo vile. Kama ni polisi kuna IGP mwenye majukumu yake na yuko trained kuyatekeleza majukumu...
Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! Rais Samia Suluhu amerudisha sana heshima ya Tanzania kwenye diplomasia na sasa imerejea mahali pake, Serikali ya awamu ya tano ilififisha mahusiano kati ya Tanzania na nchi nyingi lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani amefanikiwa kuimarisha...
Picha hii iliyopewa jina la "kitone cha samawati (The blue dot)" ilipigwa na Voyager 1 mwaka wa 1990. Chombo hicho kilipo kimbia kuelekea anga za juu, kiliikamata Dunia kutoka umbali wa maili bilioni 3.7 (kilomita bilioni 6).
Nb:
Atheists mrudieni mungu bado hamjachelewa
Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini Yangu muwazima wa afya. Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwezi wa January napenda kulizungumzia suala la uelewa wa wahitimu wa darasa la Saba ambao kwasasa wako kidato cha kwanza.
Sitawazungumzia hao waliopita kwakuwa sina uzoefu nao, ila nataka kuwazungumzia hawa...
Najihisi nina bahati mbaya
maana hili jambo limenitokea mara tatu,imefika mara ya tatu kupendwa na wadada wenye mimba tena kimapenzi,hata sielewi kwanini inajirudia.sielewi ni mkosi au nini,halafu kibaya zaidi wote ni wake za watu dah!!
Yaani Tanzania tunahangaika bado Usiku na Mchana Kufuzu AFCON Yeye analaximisha mwaka 2030 Tanzania tucheze World Cup.
Rais Samia huyu Mtu ulimtoa wapi?
awamu
baada
bahatibahatimbaya
ccm
chama
chama cha mapinduzi
ethiopia
hii
kondoo
kufuata
kutamka
kutoka
maelekezo
mapinduzi
mbaya
mbuzi
mgeni
nafuu
rais
rais samia
samia
video
wapi
Mechi ya Yanga dhidi ya Mbeya City nilishangazwa kuona matendo ya Kayoko yakipingana na akili yake na hata Ile ya mshika kibendera wake wakati wa kulikataa goli zuri la Kisinda. Huwezi kufanya kama vile Bure Bure kabisa,
VIJANA TUNAWEKA AKILINI SANA MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA KITANDANI TU ILA TUKUMBUKE MAANDALIZI YA TENDO LA NDOA YA NJE YA KITANDA NI MAKUBWA NA YANAHITAJI MUDA MREFU ZAIDI KULIKO YA KITANDANI SABABU DAIMA TENDO LA NDOA LINA ATHARI ZA DAIMA KWENU NA KWA WATOTO WENU.
"Natamani nikipata mtoto...
MBINGU KUMI NA NNE
Tanzania ni binti mrembo wa Kiafrika ambaye kwa bahati mbaya alifiwa na wazazi wake pamoja na mdogo wake wa kiume akiwa na umri wa miaka kumi na mitano tu.Ilichukua masaa kadhaa tu kumfanya binti huyu mrembo kuuitikia upweke uliobisha hodi ndani ya nafsi yake na kumfanya...
Kwa nini? Kwa mtazamo wa kwanza, inaonekana kama nambari ya kawaida. Lakini hadithi nyingi na imani zinahusishwa nayo. Mtu anaamini kabisa kuwa 13 ni nambari isiyo na bahati. Kwa nini? Hii ndio hasa itajadiliwa katika makala hii.
Sababu ya nambari ya bahati mbaya 13 inatoka nyakati za...
Ninaamini pamoja na zoezi hili kupangwa vema na serekali yetu lakini bado nadhani wapo ambao zoezi hili litashindwa kuwagusa kutokana na pengine shughuli zao, aidha wengine kuwa single katika nyumba fulani au kwa namna yoyote ile kutokana na shughuli za kibinadamu, je watu hawa waelekee wapi...
Hivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ?
Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko Ulaya ni bora waendelee kuishi huko .
Ni wakati muafaka kwa Tundu Lissu na Lema watupe sababu ya kueleweka kwanini hawarudi
Umefuta Message kwa bahati mbaya ??
Kuna wakati unajikuta katika kupunguza punguza vitu basi kwa bahati mbaya ukafuta (sms) au taarifa zako muhimu. Je unatakiwa upate stress🤔? Hapana!
Kuna mbinu kadhaa unaweza kuzitumia ili kurejesha sms zilizopotea kwenye simu yako. Katika andiko hili...
Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
Salaam wanabodi,
Ndugu zangu hasa kwa wale wapenda mbwa wenzangu watanielewa uchungu wakupoteza mbwa.
Leo ni siku ngumu sana kwangu kwani nimefiwa na mbwa watatu kwa mpigo ndani ya siku mbili nikahisi kuchanganyikiwa. Mbwa walionesha mwenendo usioridhisha kiafya kwa takribani kama wiki moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.