bahati mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Biden ataka kuchunguzwa asili ya Covid-19 wakati vyombo vya intelijensia Marekani vikiunga mkono kuwa imetokea China

    Tusije kushangaa kwanini Corona imekuwa kali hivi ukweli unaanza kuonyesha kwamba Corona hii imetoka kwa bahati mbaya kwenye maabara huko China. Inawezekana walikuwa wanafanya uchunguzi wa chanjo za magojwa ya corona na bahati mbaya wakatengeneza virus na wakatoka pale na kuambukiza watu na...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa letu lina bahati mbaya sana, mwaka 1984 yalitukumba pia

    Ni mwaka ambao kila mtanzania anakumbuka jinsi tulivyopata setback kubwa kwenye taifa letu. Hayati Moringe Sokoine alikuwa mstari wa mbele kusafisha wazembe, walarushwa, walanguzi na mafisadi alifariki katika ajari huko mkoani Morogoro. Sokoine alikuwa kiongozi shupavu aliyekuwa akitoa tamko...
  3. Kuku kwiyoyo

    JamiiForums Tanzania Muda wa kulipwa kwa madeni ya Watumishi wa Serikalini

    Habari zenu wanajamii Naomba mnisaidie kitu kimoja. Mimi kwa bahati mbaya mama yangu mzazi alifariki tangu 2016 na alikuwa mtumishi wa Serikali. Amefariki akiwa anaidai Serikali malimbikizo ya mshahara.Sasa mimi nimeamua kufuatilia hayo madeni tangu mwezi wa pili pale ofisini kwake Sasa...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Minneapolis, Marekani: Polisi wasema tukio la Mmarekani mweusi kupigwa risasi ni bahati mbaya

    Mkuu wa polisi huko Minneapolis, amesema polisi aliyemuua kwa kumpiga risasi Mmarekani mweusi mjini humo hakunuia kumuua kwa kuwa alitoa bastola yake kwa bahati mbaya wakati mtu huyo alipokuwa akipambana na polisi. Haya yanakuja wakati ambapo maafisa wa polisi mjini humo wamepambana na...
Back
Top Bottom