bahati mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayala;Niliumizwa Awamu ya Magufuli,Aliyeniumiza si Magufuli,ni watu wa kati bahati mbaya hadi leo wapo,Magufuli hakujua hadi nilipomwambia.

    Niliumizwa Awamu ya Hayati Rais Magufuli hadi leo sijapona,Aliyeniumiza si Magufuli,ni watu wa hapa kati bahati mbaya hadi leo wapo na wanaendelea kuichafua nchi wakitumia jina la Rais,na Rais hajui!. Mayala amezungumza hali halisi. Kuna watu wanatumia jina na taasisi ya Rais kwa manufaa yao...
  2. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Basi la mafunzo la NIT laparamia maduka na pikipiki eneo la Maji Chumvi, Tabata

    Nimekuta hili Basi la Mafunzo la Chuo cha Usafirisha (NIT) likiwa limevamia maduka na baadhi ya pikipiki zikiwa uvunguni mwa gari hili hapa eneo la junction kona na mlima mkali Maji Chumvi. Sijaweza kupata madhara yaliyotokea. Kama alikuwa anaendesha mwanafunzi wa mafunzo ndo basi tena...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tamko la Wizara ya Mambo ya Nje kujibu Azimio na Bunge la EU lazidi kuivua nguo Serikali. Ni bahati mbaya sana hawajui ngoma wanayocheza

    Tatizo kubwa zaidi kwa CCM na Viongozi wake wa kuokota okota, wanafikiri kwamba kwa namna walivyofanikiwa kuwafanya Watanzania wengi kuwa Wajinga basi Dunia nzima ni wajinga pia hivyo hivyo. Katika tamko lililotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje kuhusu Azimio la Bunge la Umoja wa Ulaya kutokana na...
  4. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Huenda Mimba zetu zilitungwa kwa bahati mbaya, pengine hatukutarajiwa tuzaliwe.

    Najaribu kuwaza tu asubuhi hii hapa. Pengine ni matokeo ya mihemko ya kimwili ya wazazi wetu ikapelekea mimba zetu zikatungwa. Hawakutarajia. Labda washua wetu walikuwa na ile mentality ya "Hit n Run". Na mama zetu walikuwa na ile mentality ya "Nakupa tu kwa leo ila sitaki mazoea"😅😅🤣. Paap...
  5. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tofauti na jamii zingine za ndege, bata hajaongelewa hata kwa bahati mbaya kwenye biblia

    Huenda bata zamani hawakuwepo wameibuka siku hizi Kuanzia mwanzo hadi ufunuo hakuna mstari unaomtaja iwe kwa mazuri au mabaya
  6. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Andiko Hili Huthibitisha kwamba Watu hujua Mambo ya Mbele (Spiritual Foresighting)/ ClairVoyance, Wengine Huyasema Na Wengine Huchagua Kuyaweka Siri

    Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku Vingine Vikisubiriwa Kutimia.. Nitakuandikia Utabiri aliotoa Tarehe 23 September 2020.. Ambao Ulikuwa...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu hawacheat kwa bahati mbaya, kuteleza au by accident, Wana cheat kwa hiari

    Ewe mdada, Mwanaume wako atakaye cheat, atacheat kwa sababu yeye ni cheater. Sio kwa sababu eti huwezi kupika, au wewe sio mtaalamu kitandani, au mlikuwa na mtafaruku. Hakuna kitu ambacho unaweza kufanya kwa njia tofauti ili usiwe muathirika wa mwanaume wako anaye cheat isipokuwa kupata mtu...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, ni bahati mbaya au makusudi kuacha nguo ya ndani mahali ulipokaribishwa kwa mtu kwa shughuli ya faragha?

    Unasahauje kitu kama nguo ya ndani uliyokua umeivaa wakati unaelekea kwenye faragha hiyo? Ni sahihi kweli kufanya hivyo? Mbona hukusahau blauzi au suruali? Hata kama game ilikua ya moto sana, mbona hukusahau simu badala yake unasahau nguo ya ndani? don't stamp authority scientifically plz kwa...
  9. Elly official

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanamke Anayefanya Usaliti wa Mapenzi kwa Bahati Mbaya

    Habari zenu wana nzengo Katika mahusiano ya kimapenzi, usaliti ni suala linaloibua mijadala mikubwa. Ingawa mara nyingi wanawake wanaweza kujitetea kuwa usaliti wao umetokea kwa bahati mbaya, ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anayefanya usaliti bila kuwa na sababu ya msingi. Mwanamke anapohusika...
  10. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Hakuna bahati mbaya kwa mwanamuke akikusaliti hakuna hakuna

    Habari Me kinachoniuma ni kwamba ukimkamata mwizi mala ya kwanza basi ujue hiyo ilkuwa mala yake ya arobaini kukusaliti na ndo ya mwisho, imagine mtu anakusaliti mala 39 halafu unamkamata round ya 40
  11. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kumbe mzee wa bongo bahati mbaya mwanetu Young D alihamia USA!

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU Katika kitu ambacho nilikuwa sijui ni kuwa kama mwanetu Young D mzee wa bongo bahati mbaya kuwa alihamia Marekani Leo ndo nimejua MWENYEZI MUNGU aendelee kuwabariki hawa vijana katika ridhiki zao na mapambano yao ya kila siku AMINA tuendelee...
  12. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanoteseka wamezaliwa kwa bahati Mbaya, ni zao la uzinzi na wengine one night stand

    Binadamu ambao wanateseka ukifatilia Kwa makini ni unplanned human being. Hawakupanga kuzaliwa ni zao la uzinzi na wengine one night stand. Ukitaka kupata mtoto huwa kuna sauti inakuijia inakuambia kabisa kuwa huu ndo muda wako wa kuwa na mtoto. Maaana viumbe huwa vinawasiliana kupitia inner...
  13. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Nilijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke wangu sasa bahati mbaya mke wangu huyo amefariki

    Wakuu ndiyo ipo hivyo Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake. Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia...
  14. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ama kweli katika siasa hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya. Alaumiwe mama Abdul, vijana wa Kaunda suti, au viongozi wa chama?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Wakuu kuna mambo mengine yanashangaza sana, kiasi ya kwamba sometimes mtu unajiuliza kwamba haya mambo yanayotokea huwa yanakuja tu yenyewe au kuna mtu/watu wanayapanga yatokee kwa sababu fulan. Kwa leo naomba nizungumzie haya yanayotokea kipindi hiki cha mwezi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huwezi kufungwa mara 4 mfululizo kwa bahati mbaya, siku mkiukubali ubora wa yanga na kuwaheshimu mtafanikiwa kupata matokeo!

    Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na Simba! Ukiangalia ubora wa mchezaji Mmoja Mmoja pamoja na uzoefu kwa vikosi vyote viwili utagundua...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hili goli la uwanja wa taifa lina bahati mbaya?

    Hii post nimetaka kuileta muda kidogo ila naamuaga kupotezea ila leo nimelazimika kuileta. Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini, kila derby at least za hivi karibuni lazima mpira ugonge mwamba na tena mpira unagonga karibu eneo lile lile. Nikikumbuka hivi karibuni: 1. Penati ya Mukwala...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kapeleka mpenzi geto bahati mbaya mwanamke akafariki. Anatakiwa kufanya nini ili asifungwe?

    Kuna njemba imepata msala hapa kitaa, muda huu watu wamekusanyika baada ya njemba kutoa taarifa kwa mjumbe. Iko hivi:- Njemba kavusha demu getoni kwake mida ya saa 1.30 jioni ya leo leo. Kamtafutia misosi kagonga kama kawaida. Saa 2 na madakika wakaingia kwenye uwanja wa 6 kwa 6. Bahati mbaya...
  18. Magical power

    JamiiForums Tanzania Daaaah, juzi nilikuwa kwenye harusi nikakanyaga waya kwa bahati mbaya Mziki ukazima

    Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja Mni follow basi jaman 😌
  19. haszu

    JamiiForums Tanzania Nina bahati mbaya na ma Ex, wengi wanavinyongo na hasira na mimi.

    kuna huyu dada ye mwenyewe ndo alijileta, baada ya muda kwenye mahusiano nikamwambia ukweli kwa nia njea ya kumsaidia kua mi naona yeye sio type yangu , kuliko kupoteza muda ni vema aangalie atakaeendana nae mana mi sioni future na yeye. Ningeweza kumchezea na kumpotezea muda ila nimeamua kua...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRC inahujumiwa? Ni makusudi au bahati mbaya?

    Kuna mchezo siku hizi unachezwa nafikiri ni makusudi na wafanyakqzi wa TRC ili kutengeneza mianya ya rushwa. Sasa hivi TRC wameweka utaratibu mzuri sana wa kukata ticket kwa njia ya mtandao, ki ukweli ni utaratibu mzuri sana na unatupunguzia adha ya kukaa foleni muda mrefu. Lakini kuna mchezo...
Back
Top Bottom