Najihisi nina bahati mbaya!

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Jun 29, 2019
8,116
14,015
Moja ya fantasy yangu ni kula mwanamke mwenye mimba tumbo kubwa kidogo mchumba au mke wa mtu

Sjui nilikuwa nataka nisemeje

Embu ngoja kwanza nitarudi baadaye
 
grand millenial

JF-Expert Member
Jul 29, 2018
2,774
3,285
Moja ya fantasy yangu ni kula mwanamke mwenye mimba tumbo kubwa kidogo mchumba au mke wa mtu

Sjui nilikuwa nataka nisemeje

Embu ngoja kwanza nitarudi baadaye

1. Ukicheki upande wa kushoto imeshikwa glock ipo full loaded na tayari tayari kutema risasi.

2. Ukitupa jicho kulia kuna mkebe wa mafuta ya samli unawaka waka

Uchaguzi ni wako uchague kupakwa au kuzikwa .
 
millerson

Member
Aug 5, 2022
64
65
Moja ya fantasy yangu ni kula mwanamke mwenye mimba tumbo kubwa kidogo mchumba au mke wa mtu

Sjui nilikuwa nataka nisemeje

Embu ngoja kwanza nitarudi baadaye
nilijichanganya
nikapita nae mmoja nilipata shida nikahama na mtaa
 
Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
245
310
Najihisi nina bahati mbaya
maana hili jambo limenitokea mara tatu,imefika mara ya tatu kupendwa na wadada wenye mimba tena kimapenzi,hata sielewi kwanini inajirudia.sielewi ni mkosi au nini,halafu kibaya zaidi wote ni wake za watu dah!!
Kwanza achana na iyo dhana ya bahati mbaya, tafuta maneno mengine ya kujiambia.
.
Jiepushe nao, weka mipaka na uisimamie. Muoneshe huhitaji chochote kwake na usimamie hilo. Hata misaada midogo midogo apo upunguze, mana haba na haba hujaza kibaba.
.
Tafuta mwanamke/ wanawake wako wa kukuhudumia vizuri. Pakiwa na ka uwazi tu apo kwamba hauna mwanamke wako wa kudumu basi ushawishi juu ya wake za watu unaongezeka.
.
Kuwa bize na shughuli zako.
 
nimekupata vizuri kaka
 
2025DG

JF-Expert Member
Jan 30, 2023
221
529
Najihisi nina bahati mbaya
maana hili jambo limenitokea mara tatu,imefika mara ya tatu kupendwa na wadada wenye mimba tena kimapenzi,hata sielewi kwanini inajirudia.sielewi ni mkosi au nini,halafu kibaya zaidi wote ni wake za watu dah!!
Itabidi nikuombee.

Amina.,,
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Top Bottom