bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu bado haijatimia

    Natamani kuwa mkaka fulani hivi yaani mtu akisikia jina langu atamani kuniona lakini pia yaani ukiniona unishangae kwa bashasha sana Af niwe mkaka nae semwa sana na watu zile sifa za kuwa mkaka yule analinga sanaa mambo mengi mengi kila mtu awe natamanio la kuniona sijui nifanyeje
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Waafrika wengi wana akili ndogo na wengine hawana akili kabisa?

    Nilishaongea sana na sasa naona kazi kurudia . Icheki hii video fupi hapo chini uone jinsi akili za Mwafrika huyu na ma bodyguards wake Mimi ni Mtanzania ila simjui huyu kijana I mean sio maarufu sana, sio potential sana kwamba anaweza kuvamiwa akitembea mchana maeneo ya wazi hasa pahali...
  3. JamiiForums Tanzania Hii hapa ndio Sababu ya CCM kupiga marufuku mikutano ya hadhara. Umati wa Kahama ni kitisho kikuu

    Wakuu kwanza Poleni kwa Msiba mzito wa Kiongozi wetu Bernard Membe. Hata hivyo bado Ratiba nyingine za kisiasa ziliendelea kama kawaida, huko Kahama Tundu Lissu alikuwa na Mkutano wa hadhara ambao umevunja rekodi yake mwenyewe ya Mahudhurio, na sasa tumeelewa kisa cha ccm na Magufuli kuogopa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

    Wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile. Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Legacy ya Hayati Magufuli haitofutika mbele ya wanyonge ila bado hakuwa malaika, alikosea pia

    Moja kati marais ambao wanakumbukwa kwa miradi na kulinda maslahi ya wanyonge wa Tanzania ni hayati John Magufuli, huyu jamaa itachukua muda sana kuja kupata Rais kama huyu mchapa kazi. Nikiangalia jinsi nchi inavyotafunwa na wachache namkumbuka sana huyu mwamba, kwa sasa uzembe serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi bado tupo nyuma kiasi hicho?

    Bado na hoja kuhusu Hamza yule yule waliosema ni gaidi. Hoja sio hiyo bali najiuliza hivi tupo nyuma kiasi hicho mtu mmoja kusumbua kikosi kizima cha polisi kilichopelekwa pale? Hatuna technology kiasi hicho? Kwanini walihangaika kumlamba shaba badala ya kumchoma sindano ya usingizi au ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi: Bado Halaand ana safari ndefu sana kuyafikia mafanikio ya Cristiano Ronaldo, japo mwelekeo anao!!

    Tatizo ni kwamba watu warefu kwa kawaida hawakai kwenye form kwa muda mrefu , lakini pia Halaand anatumia mguu mmoja tu wa kushoto wakati R7 mashine inakubali kote kote. Halaand ni mrefu zaidi ya Ronaldo. Nafahamu exceptions huwa zinatokea. Naziachia namba hapa zizungumze!! Domestic Tournaments...
  8. JamiiForums Tanzania Ongezeko la V8 mtaani na bado watu wanaamini masikini ni wengi Tanzania?

    Wakuu za sasa hivi hapo, Ni siku nyingine tena kutoka kwa bwana nikasema ngoja niwasabahi na kutoa baadhi ya mawazo niliyonayo. Kuhusu msemo wa Tanzania masikini ni wengi, personally napingana na huu msemo kabisa. Maana huwezi sema masikini ni wengi wakati haya ma V8 yamejaa barabarani kama...
  9. JamiiForums Tanzania Kifo cha Nusra wa UDOM Bado ni pasua kichwa, UDOM waikana taarifa iliyosambaa

    Kuna nini kimejificha nyuma ya kifo cha huyu Binti?? Anadaiwa kufariki tarehe 29/04/2023 ila taarifa zimeanza kuzagaa Leo kwenye social media. Kuna maswali mengi kama haya.... Haya maswali yamechukuliwa sehemu nyingine, sio yangu. Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar- iki...
  10. JamiiForums Tanzania Drones zimeanza kufika chumbani kwa Putin, je bado atahutubia Mei 9?

    Serikali ya Urusi imetoa katazo la drones za aina yoyote angani mwake siku zikisalia chache kabla rais kuhutubia huku tishio la drones likitamalaki, ambazo zimeonyesha jeuri ya kupaa juu ya kichwa cha rais akiwa kwake chumbani. Wafuasi wa mtume Putin povu ruksa...supapawa anakutwa bedroom Pia...
  11. JamiiForums Tanzania Bado unatafuta wazo la biashara ya kufanya?

    Ngoja nikushirikishe hizi pia. Ufanye biashara gani Kama una 100k, 500k au 1 M? Kwenye biashara kwanza zingatia vitu vitatu (3) A. Uhitaji wa bidhaa husika au tatizo ambalo lipo kwenye jamii/eneo unalotaka kufanya biashara. B. Ujuzi ambao unao. C. Kiasi Cha Mtaji ambacho unacho. Hivi vitu 3...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa hivi bado kuna wanaume wakiombwa hela muda mfupi baada ya kutongoza wanatoa?

    Group yangu ya wana wote wakipigwa vizinga na wadada waliotongoza siku moja kabla wanakataa, hapa mtaani hadi madogo wa kiume wanaosoma sekondari wanajua hiyo style ya utapeli, nilishangaa sana kuona mtoto wa kiume wa form 2 akimwambia mwenzake, "huyo ukimtumia hela, ghetto kwako hatokuja, na...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ligi yetu bado sio shindani kwasababu utaona Singida kesho watakavyoiachia Yanga

    Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu. Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga bado mna vita kubwa. Mnahitaji kuwa more professionals na uwezo mnao, maamuzi ni yenu.

    Yanga kwa maana ya viongozi na wachezaji, Ushindi wenu na dhidi ya Rivers United kule Nigeria ni chachu tu kuelekea safari amnayo bado ni mdefu pamoja na kuonekana kama safari iliyobaki hatua tatu tu. Waacheni mashabiki wenu wafurahie pia wajigambe, lakini ninyi wakati wenu wa kujipongeza...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa kupata Rais kama Magufuli mwenye makali zaidi

    Habari JF, Ukitaka kuliongoza taifa la Tanzania na kuliletea maendeleo ni lazima uwe in mtu mkali. maono na Mwenye msimamo. Tanzania ina asilimia kubwa ya watu wa aina 3:- 1. Wavivu - hawapendi kujituma kufanya kazi 2. Uwezo Mdogo wa kufikiri -Elimu kwa Tanzania haiwakomboi Uwezo wa alie prof...
  16. JamiiForums Tanzania Bado masaa machache tu wanasimba waingie nusu kaputi

    Hi, Anayebisha kuwa Simba haitaingia nusu fainali leo bali itangia nusu kaputi aje. Aweke andazi Mimi naweka laki moja
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Nilipewa hadi "NINI" na bado nikamtosa

    Mdada aliniuliza siku hizo Cheese unataka nikupe hadi Nini ndo unipende....? Nikamwambia hapana. Hiyo nini akae nayo tu au awape wengine. Mimi siwezi. Siwezi oa mwanamke ambaye amenyorodoka kama yeye. Ameshapigwa sana mitih. Mayai alisha kaangia chips wanasema hata mimba kwa sasa hapati. Ila...
  19. JamiiForums Tanzania Safari ya kumkomboa mtu mweusi bado ndefu sana

    Safari ya kumkomboa mtu mweusi itachukua miaka mingi, maana uhuru wa mtu mweusi upo katika mikono na miguu lakini akili bado imefungwa minyororo. Naandika haya kwa kuona kuwa, ili taifa liendelee hatuitaji mambo mengi zaidi kufungua akili zetu zilizofungwa minyonyoro.
  20. W

    JamiiForums Tanzania Ila wabongo wabishi aisee, tozo na mfumuko wote huu wa bei bado sikukuu zimefana kama kawa!!!

    Nazungumzia sikukuu zote za hivi karibuni; x-mas, mwaka na hii eid el fitr ya leo. Yaani... -majumbani mapilau yametawala -watoto wamewaka kwa mavazi mapya -kuna maeneo bidhaa kama viazi mpaka vilikwisha kwa jinsi vilivyonunuliwa kwa wingi. -wanawake walivaa -shows za wanamuziki kama zote -kumbi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…