bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kuna wanafunzi wa shule za umma bado wanakaa chini

    Nafikiri ifike mahala watu wamalize hii changamoto jamani. Hivi unajionaje uko mjini unatembelea usafiri wa Nguvu halafu kule kijijini ulikotoka Watoto wanakalia mawe darasani? Na kuna mikoa ina misitu na inauza mbao nayo eti inamatatizo ya madawati; Ni aibu! Naamini hili la madawati na vyoo...
  2. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ulawiti adhabu yake ni miaka 30 jela bado Spika anasema anataka hiyo irekebishwe

    Eti irekebishwe iwe kali zaidi. Hayo sasa ni masihara. Ile sheria ni kali sana kwa vitendo vya ulawiti. Ile sheria inapinga hata mwanamke kulawitiwa. That is how mean that law is. Sasa unataka kuifanyia marekebisho gani? Kwa sababu ukianza kusema unataka sheria iwe taiti zaidi ndio utawaibua...
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya kwenye ubunifu wa Programming kwa wahitimu wa IT Tanzania, Roughly 80% wanaishia kujua html tu.

    Wengi huwa wanaambulia html tena ile basic kabisa, wachache angalau wataongezea php, javascript, wachache sana hawa wenye passion ndio wataingia mpaka kwenye python, c#, c++, java... Hapa nazungumzia kuelewa kwa lengo la uundaji na ubunifu sio kukariri tu kwajili ya test kisha baada ya hapo vina...
  4. Mzawa_G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya warusha satellite angani

    Nchi ya Kenya wamefanikiwa kurusha satellite yao kwenda anga za mbali muda mchache uliopita ikiwa imesafirishwa ndani ya rocket ya Falcon 9 kutokea huko katika kambi ya Vendeberg space center Mara baada ya majaribio matatu kishindikana siku chache za nyuma kutokana na hali mbaya ya hewa ambayo...
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Zanzibar (1991) - Mwinyi Azimio la Arusha Halijageuzwa

    Maamuzi ya Zanzibar Mwaka 1991 Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ilikutana mjini Zanzibar na kufanya mabadiliko ya Azimio hilo. Akizungumza na wazee wa chama, viongozi wa Taifa, mashirika ya umma na watu binafsi Februari 25, 1991 jijini Dar es Salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Bakhmut bado ni kimbembe, mfupa uliomshinda fisi, Mrusi hana hamu

    Mrusi ametupia kila kitu hapo Bakhmut, "mizoga" ya Warusi kila siku inaongezeka kwa maelfu lakini wazalendo wa Ukraine wamesimama kidete, wanapambana kuingia kwenye historia kama Daudi dhidi ya Goliathi, tuliaminishwa siku zote Urusi ni jitu............ =================== Kiev, April 11...
  7. marehem x

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Rais bado unatembelea mvuke wa mtangulizi wake

    Nisikuchoshe, Nimeona waziwazi maisha yalivyo mambo ni kama ya mwendazake, pamoja na muendelezo wa alipoishia hayati, bado hujapindua changamoto, kuna kufeli maeneo mengi. Zaidi na zaidi unatumikia bahati njema alizoziacha jamaa yule. Mbaya zaidi wahuni na wajanja wamekurubuni. Wanakula...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye akili timamu bado atasema tusiue nyoka Kwakuwa ni rafiki wa binadamu?

    Kwa hali kama hii, ameshindwa kuishi vichakani mbali huko, kaja mjini na kufanya uharibifu wa kuua kuku, kula mayai na kuua vifaranga! Bado mtu mwenye akili timamu, anajiita msomi wa wanyama pori anawatetea nyoka na kusema ni rafiki zetu tusiwaue.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu Dola ya Marekani bado itazidi kuwa hela inayoaminiwa zaidi duniani

    Pamoja na vita na kampeni ya Urusi na China dhidi ya dola ya Marekani tangia vita ya Ukraine ianze, dola ya Marekani imezidi kuonyesha ndio hela stable zaidi duniani. Dola imezidi kubaki imara kama chuma huku fedha za nataifa mengine tajiri zikiporomoka na kuifanya dola kuendelea kuwa hela...
  10. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Hivi Mchakamchaka bado upo shuleni au ndio basi tena?

    Tuna watoto mandazi sana siku hizi, hata Michezo imepungua ya kumjenga mtoto kiakili kwanini mambo machafu yasipate nafasi. kuna maana kubwa ya kuwepo michezo tofauti tofauti katika maisha yetu.
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa mashirika ili kuongeza ajira kwa Watanzania. Kuua mashirika ni kuua ajira

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mimi Meneja Wa Makampuni naomba kuzama kwenye mada moja kwa moja: Nashauri tu: Kama serikali imeshindwa kuendesha baadhi ya mashirika kama TTCL, basi tumpe mwekezaji ili afanye biashara kwa faida huku akitengeneza ajira na kuiletea Serikali mapato. Tunaweza...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Kamji kadogo ka Bakhmut bado kameshindikana, hawa ndio walitaka Ukraine yote

    Nikikumbuka lile limsafara la kwenda kuteka Kyev nacheka sana maana shughuli yote imehamia kwenye kujaribu kuteka kamji ka Bakhmut ambapo Urusi imepoteza wanajeshi karibia laki moja kwenye haka kamji.... Na bado kameshindikana. ================ Kiev, April 6, (dpa/GNA) – Ukrainian soldiers...
  13. The Eric

    JamiiForums Tanzania Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

    Salaam kabla ya habari. Jana kuna report imeeleza. Mikoa ya 1. Dodoma. 2. Singida. 3.Tabora. 4. Kagera. Pia Kigoma ambayo Mh. Philipi Hakuweka bado ina wimbi la umaskini, mambo ya kuishi chini ya dola moja haya daaah. Arusha, Dar, Mwanza, n.k ni maskini kwa sababu watu wake wanateseka...
  14. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii bado ni tatizo

    Kati ya wizara ilokosa maono na mwelekeo wa kimkakati ni wizara ya Mali Asili na utalii. Pamoja na kuwa wazito katika kukabiliana na majanga kama moto na uharibifu wa mindo mbinu hifadhini bado stragestist hakuna katika hii wizara. Hivi sasa Kuna mkakati wanataka kuupitisha bila kushirikiana na...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Tulia Akson asema Ripoti ya CAG haijafika Bungeni Bado

    Asema Ripoti ya CAG haikufika Bungeni na watu wawe watulivu. Amedai baada ya Ripoti kusomwa taarifa huwa inaletwa Bungeni na kujadiliwa na maazimio ya Ripoti kutolewa na Bunge. Ameendelea kusema mambo ya serikali hayaendi kinyemela ila ni kwa sheria na kanuni. Hivyo Ripoti ya CAG ipo jikoni na...
  16. Engager

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia hapa naona kabisa kama Taifa, bado tunasafari ndefu

    Nshachoka hata kuhesabu. Hivi tuko na miaka mingapi kweli ya uhuru... Any way, whatever the number is ila bado hatuko serious. Hatuna dira ya Taifa ya maendeleo, hata maandalizi tuu ya kuwa na hiyo dira hakuna, ila kunamchakato wa maandalizi. Unaweza kuona tuko nyuma kisi gani?! Seriously...
  17. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Bado sisi ni watumwa

    Habari za wakati huu wanajukwaa.. UNATAMBUA kuwa wewe bado ni mtumwa ambaye uko huru. Tunaambiwa tumepata huru mwaka 1961 huru tulipewa sio kwamba tulipigana na huru huu tulipewa kwa mkataba ndo maana bado tunazidi kuteseka na kunyanyasika. Ninaposema bado sisi ni watumwa nieleweke kitu...
  18. 2019

    JamiiForums Tanzania Demokrasia kwa mtu mweusi bado sana labda miaka 100 ijayo, ni fujo tu na uporaji

    Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu) Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu. Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇 Waporaji na wezi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Walioitwa 'stupid' na Rais bado wapo ofisini wanakula kiyoyozi!

    Lile neno stupid kwenye nchi zilizostaarabika lilipaswa kuambatana na barua yakuomba kukaa pembeni Kwa watu wafuatao; 1. Waziri mwenye dhamana na sekta ya usafiri kwa Tanzania Makame Mbarawa. 2. Afisa Masuuri (Katibu Mkuu wa wizara husika). 3. Waziri wa Fedha ambaye ndiye mlipaji. 4. Maafisa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

    Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.
Back
Top Bottom