bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi mahakama ya mafisadi iliyokuwa pale Mawasiliano bado ipo? Imefanya kazi kwa mwaka 2023 mbona hakuna kesi iliyoripotiwa kutoka ukanda huo?

    Magufuli aliamini mapambano dhidi ya rushwa ni kuunda mahakama maalum. Lakini alisahau kwamba wala rushwa na watoa rushwa ni watawala na siyo wananchi. Wakati anatawala watawala waliokuwa wanapelekwa mahakama ya mafisadi ni wale waliokinzana kimtazamo na yeye na utawala wake. Kwa bahati mbaya...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna wakati unajenga nyumba baadae unagundua hujajenga nyumba bado

    Katika maisha Kama binadamu unaweza kudanganywa na AKILI yako pamoja na HISIA hasa pale unapojenga nyumba ili uishi Ila ghafla anatokea jirani yako anajenga Hekalu na unaanza kuamini katika Akili yako kuwa haujajenga bado. Unaoa mke mzuri Ila unapomuona mke Wa rafiki yako au ndugu yako...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Papa Francis anawaandalia watoto na wajukuu SODOMA? Kwa nini hakuonyesha huu msimamo wake ujanani? Bado anabaki kuwa mtakatifu?

    Papa kwa sasa ni mzee sana, anapaswa kuepuka kuweka misingi ya kesho ya Dunia hasa pale anapotakiwa kutoa msimamo wake kuhusu mambo yenye utata. Naamini wapo watu wanatumia vibaya uzee wake. Wapo watu ndani ya Vatcan wana ndoa wanatafuta msamaha wa Mungu kwa kuweka misingi ya kubarikiwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tumelala giza tumeamka bado hakuna umeme !.

    Jana Arusha kutwa nzima hakuna umeme,usiku umeme ulirejea saa 7 asubuhi saa 1:43 wamekata. Tumeshindwa kupasi nguo,vyakula kwenye fridge vimeharibika,tumelipia Dstv full package hatuna tunaweza kutazama. Kipindi kuelekea Christmas 🎄 majumbani ukiwa mtupu. Tunajuwa Makamba alihujumu TANESCO...
  5. JamiiForums Tanzania Vifo vya Wapalestina vimepitiliza 20,000 na bado kipigo kinaendelea

    Sijajua Israel wanataka kuua wangapi ili uwiane utimie... At least 20,000 people have been killed in the Gaza Strip since Israel began bombarding the enclave more than 10 weeks ago, according to Palestinian officials. At least 8,000 children and 6,200 women are among those killed, Gaza’s...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi mpaka sasa bado kuna wanandoa ambao hutenganisha chumba chao kuwa vyumba viwili kwa kutumia mashuka makubwa?

    Hizi mambo mara ya mwisho kuziona ilikuwa ni 2008. Nimeshtuka sana pale nilipocheki chumba cha mfanyakazi mwenzangu Ona sasa!
  7. JamiiForums Tanzania Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa. Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo...
  8. JamiiForums Tanzania Wengi bado hamjamuelewa Papa. Wengine tumeanza kumuelewa toka usiku wa manane, ndiyo maana tukafanya maamuzi haya

    Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit. Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania TANESCO bado shida ni kubwa sana, wiki 3 transformer imeungua haijabadilishwa

    TANESCO imeshindwa kabisa kujiendesha kwanza sehemu kubwa ya nchi iko gizani umeme unakatika Zaid ya masaa manane kwa siku na kuna sehemu transformer imeungua watu wako gizani wiki ya 3 hiii sasa na hakuna hata matarajio,na kuna maeneo watu wanakatiwa umeme Zaid ya saa 24 na bado ukirudi...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekanaje mtu huna kazi bado unasoma Master's Degree?

    Wakuu habari za Jumapili, Niseme, mwaka huu 2023 nimehitimu Shahada ya Umahiri ama Master's Degree kwenye fani ya uchawi na ushirikina chuo kikuu. Kwenye kuisoma hiyo fani, kilichonishangaza sana na bado nazidi kushangaa ni kuona vijana wakisoma Shahada za Umahiri huku hawana kazi. Najiuliza...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Miaka 62 ya Uhuru na 59 ya mapinduzi PEMBA bado ni kitovu cha umaskini Tanzania ; tatizo ni nini?

    Nipo Pemba for the 1st time, nimezunguka hiki kisiwa chote. Naomba nikiri kwamba hali ya kiuchumi huku ni mbaya kuliko unavyoweza kudhania. Hakuna usafiri wakueleweka kama Unguja,. Lakini pia maisha ya wananchi ni duni sana. Hakuna maduka ya bidhaa, hakuna lodge wala hotel zakufikia, hakuna...
  12. JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya 'Kudeti' na Mwanamke Aliyezaa tayari au ambaye bado anajitafuta Kuzaa?

    Majibu yenu ndiyo yatanisaidia kuamua niwe na yupi kati ya hawa Wawili niliowaokota Mkeshani Kawe kwa Usiku wa kuamkia leo. Nijibuni upesi ili nifanye Maamuzi Ok?
  13. JamiiForums Tanzania Paza sauti, taja taasisi za umma/serikali ambazo zinapaswa kufutwa, kubinafsishwa au kuunganishwa. Jana serikali imethubutu, lakini bado uchafu upo

    Hello! Natanguliza shukrani kwa serikali kwa uamuzi makini wa kufuta baadhi ya taasisi zake na zingine kuziunganisha. Nadhani ni mwaka jana kama sijakosea nilileta uzi wa kutaka serikali ifute au iunganishe baadhi ya taasisi zake kwakuwa zingine zimekuwa mzigo na zingine kukosa ufanisi. Few...
  14. JamiiForums Tanzania Bongo tutasubiri sana, kujikomboa bado sana, labda miaka 500 ijayo!

    Kila mtu anawaza upigaji tu, yaani vichwa vimejaa ni namna gani fursa ije ili mtu apige. Huko kwenye ofisi za umma pamejaa mi-ungu watu, kuanzia mfagizi hadi ma-boss! Badala ya kufanya kazi, watu wamejaa majungu, kuoneana wivu na kuchongeana. Watu wanafiki kupitiliza. Usoni wanakuchekea kumbe...
  15. JamiiForums Tanzania Muungano bado una shida nyingi tusidanganyane

    Nikiwa barabarani naendesha gari, Siti yangu ya mbele alikaa mjukuu wangu wa miaka 11. Mbele yetu kulikuwa na gari Ina namba za Zanzibar kwenye number plate yenye bendera ya Zanzibar. Mjukuu akaniuliza Ile gari mbona Ina namba za tofauti na hizi zetu, ni gari kutoka nchi gani?. Nikamwambia ni...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

    Katika harakati za maisha imekuwa na ukaribu na mwanasheria mmoja smart sana kijana. Bahati nzuri ana girl friend wake Tupo office Moja. Yule girlfriend wake ni mwanamke anataka pesa. Ukiwa na pesa tu unaondoka nae. Huyu wanasheria mdogo wangu alikuwa analalamika Tabia za kushangaza za mpenzi...
  17. JamiiForums Tanzania Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Tal Chaimi, mkazi wa Kibbutz Nir Yitzhak, na Joshua Luito Mollel, mkazi wa Kibbutz Nahal Oz , waliuawa wakati wakishikiliwa mateka na Hamas katika Ukanda wa Gaza. Miili yao yote miwili bado inashikiliwa na Hamas. Chaimi aliaminika kutekwa nyara lakini, ushahidi mpya ulionyesha aliuawa Oktoba 7...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yasema kuna ongezeko la wagonjwa wa COVID-19 na Virusi vya Mafua

    Wizara ya Afya imekuwa ikifanya ufuatiliaji wa taarifa za magonjwa ya mlipuko ikiwa ni pamoja na tetesi za kuwepo kwa magonjwa hayo ndani na nje ya nchi. Katika kipindi cha kuanzia mwezi Novemba, 2023 kumekuwa na tetesi juu ya ongezeko la visa vya magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa sehemu...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi 9 kutoka Afrika waliotawala kwa muda mrefu zaidi na bado wapo madarakani

    1. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo - Miaka 44 Huyu anashikilia rekodi ya kuwa Mtawala aliyekaa muda mrefu zaidi madarakani. Ni Rais wa Equatorial Guinea ambaye ameshika madaraka tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua Mjomba wake Francisco Macías Nguema. Mbali na Afrika, Mbasogo anashikilia rekodi...
  20. JamiiForums Tanzania Kikokotoo cha Mafao bado ni kilio kwa Askari Polisi

    Nini hatima ya kilio cha askari wa Jeshi la Polisi kuhusu kikokotoo? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya askari polisi wengi hususan wale wanaotarajia kustaafu kuanzia mwakani. Kikokotoo kwa askari na watumishi wengine wa umma inaonekana kuwa kaa la moto popote kunapokuwa na mikusanyiko ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…