Nipeni 2.5m bila discount wakuu niwe nimekula hasara ya 1.1m ndani ya mwezi
Pikipiki ni Honda ace 150, cc150
Ipo Mbarali mbeya
Pikipiki ni mpya namba yake ni FRD....
Imetembea jumla kilometa 380
Nzuri Kwa kufanya boda, maeneo yenye Barabara mbovu ,matumizi binafsi, kubeba mizigo mizito n.k
Ulaji wa mafuta lita 1 km 40-49 kutegemea na gia unazopanga
KADI YAKE IPO KWA MAJINA YANGU
NIPIGIE 0789088982
AU BIPU