Hpana sista tafuta kwa watu zipo nyingi tuu mkononi tangaza dau fasta unapata..yaani utumiaje wake wa mafuta nikama bajaji tuuniuzie
Hana msaada wowote ila anashukuriwa😅Sasa ukimshukuru Mungu inasaidia nini?
Mwafrika badala ajishukuru mwenyewe kwa juhudi na jitihada zake binafsi.Hana msaada wowote ila anashukuriwa😅
Ashukuruwe Mungu nimepona kwenye ajali nimevunjika mkono ila kuna wengine wamekufa kabisa😅Mwafrika badala ajishukuru mwenyewe kwa juhudi na jitihada zake binafsi.
Amepumbazwa kutoa sifa na shukrani kwa li dude linaloitwa Mungu.
😃😃bado nakudai kitu
Mibongo bana kwa kupenda na kuendekeza anasa. Ya nini hiyo mi Vitz na migari na miguta ya kuchaji wakati mna miguu?Mi natafuta kiguta hapa cha kuchaji.....kama bado unapishana sheli....
wewe ni mpambanaji na pia mshukuru Mungu
Tusubili huruma ya Iran, akiendelea chachamaa wese litafika hata elfu 8, kwa wenye gari za kuanzia 2.5L ndio namba za kirumi zitasomeka vizuri6000 kwa lita
Mibongo bana kwa kupenda na kuendekeza anasa. Ya nini hiyo mi Vitz na migari na miguta ya kuchaji wakati mna miguu?