baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali: Wamasai wanafukuzwa Ngorongoro baada ya ‘Vasco Da Gama’ kuwauzia Wajomba zake waarabu eneo lao

  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Arsene Bucuti, Msemaji wa Vital O ajiuzulu, ni baada ya Kichapo kutonga Yanga Afrika

    Arsene Bucuti, Msemaji wa Timu ya Mpira kutoka Burundi ya Vital O, ameamua kujiuzulu. Ni baada ya Timu yake kufungwa na Timu kutoka Tanzania ya Young Africans. Amesema ametimiza ahadi yake. Kabla ya Mchezo uliochezwa Azam Complex Mkoani Dar Es Salaam, aliahidi kwamba Timu yake ya Vital O...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwaka 2025 baada ya Mama Samia kushinda uchaguzi, unapendekeza nani awe Waziri wa Sheria?

    Kati ya manguli hawa wawili wa sheria, unapendekeza Samia amuweke nani pale Wizara ya Sheria?
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno haba

    Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno hafifu kwa kile wanachodai mvua kukata mapema mwaka huu. Baadhi ya wakulima kutoka katika mikoa ya kilimanjaro ,manyara wamesema ni kweli mvua zilikuwa nyingi sana mwaka huu LakinI pia ziliwahi kukata kabla ya mazao Kufikia stage...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanaojivunia Uzuri wa Makalio wamejisahau kwenye Usafi wa Mwili: Wazingatie Manukato baada ya kuoga

    Sina mengi sana ile wenye wapenzi vibonge tunapata hio kero ya kujirudia miongoni mwa vibonge ambao ni wapenzi wetu. Vibonge ukiona mwanaume hakutafuti mara kwa mara jiulize kama sio shoo mbovu basi ujue umekosa maksi kwenye Usafi wa mwili. Zama hizi sabuni nzuri zipi na perfume nzuri zipo...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

    Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema. Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli. Baada ya mkutano kuisha...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais wa Iran kumuomba Ayatollah asiishambulie Israel, Makamu wa Rais kajiuzulu, Vifo vya Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas vyaleta hofu

    Kinachoendelea kwa sasa Iran, viongozi wa juu wanapaza sauti wasikike kwamba Israel isishambuliwe, Juhudi hizi zinawasaidia kukwepa kilichowakuta Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas akiwa Iran. Wiki iliyopita Rais wa Iran alimsihi sana Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah khamenei asithubutu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mafao kwa viongozi baada ya kustaafu

    Moja kwa moja kwenye mada: Mtu anakuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, baadae anateuliwa kuwa jaji kisha anateuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa wizara na hatujui mbeleni atateuliwa nafasi gani nyingine. Swali langu mtu ametumikia nafasi tatu au nne au tano tofauti na zote zina maslahi tofauti ya...
  9. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baada ya Jerry Silaa kuondoka Ardhi, Papa Msofe aibuka na kutaka kudhulumu ardhi Salasala

    Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu. Papa Msofe anadai anamiliki ardhi yapata miaka 7 hajawai kwenda wala serikali ya mtaa haimtambui kama ni mmiliki na ardhi hiyo karibu...
  10. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Je angela kairuki hatakuwa mbunge tena baada ya kuteuliwa kuwa mshauri wa Rais

    Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Screen ya TV AilLyons inazima Kila baada ya dakika 50

    Ni skrini ya mpiga kura AILYONS, hutoa ujumbe kuwa inazimika.....bonyeza any key ndipo inaendelea. Nini kifanyike kuondoa hiyo dhahama?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Chanjo ya COVID-19 sasa Monkey pox

    Baada ya chanjo ya COVID-19 kutolewa nchini kwa mafanikio makubwa ambapo vifo vilipungua kufikia zero baada ya Serikali kuingiza nchini na kuhamasisha matumizi yake kuna janga lingine kwa majirani wetu hasa DRC. Changamoto ya ugonjwa wa monkey pox tayari imeshapatiwa chanjo na hivyo muda si...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeacha tabia mbovu kwa ajili ya ndoa usimuamini

    Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu. Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo. Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria
  14. X

    JamiiForums Tanzania Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

    Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani. Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi. Kuna sababu...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Makonda amerejea baada ya likizo

    Makonda amerejea baada ya likizo ya kiutumishi kwa mujibu wa sheria. Waliosema kada watakufa wao kabla yake ila awe makini USSR
  16. cutelove

    JamiiForums Tanzania Cutelove nimerudi upya Jf baada ya kukosekana kwa muda wa miezi 8 nashukuru walionitext pm kuniulizia kama nipo hai

    Wanafamilia nimerudi tena dada na mdogo wenu kutoka Kanda pendwa ya ziwa mkoa wenye wasomi wa kutosha Nashukuru waliokuja pm kuniulizia kama nipo hai,nawathibitishia kuwa bado nipo hai na ni mzima wa afya Nitoke Jf niende wapi jamani ,mi nipo wa kutosha Credit: Kona ya Bwiru,Mwanza
  17. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Uliishije baada ya kugundua huna nyumbani tena , wala huna mtu yeyote wa kusikiliza shida zako

    Wakuu kwema. Naomba tusaidiane huu uzoefu
  19. W

    JamiiForums Tanzania Travis Scott akamatwa na Polisi baada ya kupigana na Bodyguard wake Ufaransa

    Rapa wa Marekani, Jacques Bermon Webster, maarufu kama "Travis Scott," amekamatwa na Polisi wa Ufaransa jijini Paris baada ya kuhusika katika ugomvi kwenye Hoteli ya Nyota Tano, 'George V,' mnamo Agosti 8, 2024. Vyanzo mbalimbali vimethibitisha kuwa rapa huyo alikuwa amelewa wakati...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
Back
Top Bottom